Uchangudoa ni tabia ya mtu au kipato duni??

uchangudoa si lazima kusimama barabarani hata kufanya uzinzi na watu tofauti 2/3 ni uchangudoa
 
Nijuavyo mimi mambo mtu anayofanya ukubwani huchangiwa na mambo mengi.Ila kwa kiasi kikubwa ni malezi na kurithi kutoka kwa wazazi!
 
Kuna wale ambao wachukuliwa vijijini na kuahidiwa kazi nzuri, ila wakifika town wanaingizwa katika hizo biashara tena kwa kulazimishwa. Hawa wanaingia katika kundi lipi?

Hawa mara nyingi wanapangiwa bei..ila akishakuwa advanced ata-fall aidha kwa kahaba anaejitambua au kahaba asiyejitambua....!!
 
Siku zote unapo mstudy mtu kutaka kujua kwanini anafanya vile, ni bora ukae nao afu uwaulize.

Hapa mtaishia kusema maneno mengi sana, siku zote kumjudge mtu ni kupoteza wakati wako.

Mimi nionavyo; Wengine wanafanya vile si kwa kutaka wao wenyewe, mana wanalazimishwa....Yani we unadhani malaya wote wanao jiuza nchi mbali mbali nio tabia zao au wanapenda wao kujiuza?

Niliona ona Milano na Dubai kuna wanawake wanalazimishwa kufanya umalaya, mana waliahidiwa kazi, kufika kule wakambiwa hio ndo kazi yao.

Same thing hapo Dar nimeona msichana anatolewa singida/iringa na Mwanza kadanganywa kule kwao anaenda Dar kufanya kazi. Akikifika hapo Dar anambiwa sex ndo kazi yake, lazimaa afanye sex au alipe gharama zote walizo mgharamia mpaa kafika hapo Dar

Yani mkiwajudge malaya wote vibaya, wengine mtaishia kuchumba dhambi tu.

Siku zote binadamu anatakiwa awe careful kujdge watu.
 
Kuna wale ambao wachukuliwa vijijini na kuahidiwa kazi nzuri, ila wakifika town wanaingizwa katika hizo biashara tena kwa kulazimishwa. Hawa wanaingia katika kundi lipi?

Tunapotaka kumuelewa mtu ambae anafanya ngono saana either kwa ajili ya kipato ama sio kwa ajili ya kipato ni mengi yatakiwa tuangalie....

  1. Aina ya huyo the so called Changu Doa (Refer to post # 15)
  2. Pushing factors mpaka akawa Branded hilo jina na the whole package ya U - CD.

Pushing factors za kua CD (Hii imelenga swali lako hapo kwenye bold)

  1. Ni yatima.... Wazazi wamefariki hana ndugu wala jamaa wa kumlea; hana muelekeo, hana msaada, hana mlezi wa maana ama anaeleweka na wala hana mtu wa kumsimamia katika mahitaji ya kila siku... Na kama yupo maybe ni wa kubabaisha - ama mlezi nae choka mbaya na the like.
  2. Makundi... hasa hizi age za kukua hizi... (teenagers) the type ya youth ambao anashinda nao (vitu ambavo wapenda ni vipi vyashika hatamu? i.e ngono?), sehemu anazoshinda, vitu vinavomvutia, sometimes shule alosoma, tamaa na mambo mengine mengi.
  3. Kukosa kabisa mwelekeo wa maisha, hawezi furukuta kwa njia yoyote ile aweze jikwamua... Kila aendako kuomba msaada woote wanakua na nia yataka mtumia... iwe mwili wake ama nguvu zake na the like. At the end ajikuta tu akiingia katika biashara ya kujiuza ili kuweza kimu maisha yake.
  4. TAMAA.... Tamaa kwa mabinti siku hizi is a chronic and deadly disease.... Kutaka jipandisha na kujiweka sehemu ambayo sio level yao... kutaka vitu vya gharama wala hata mbele wala nyumba zaidi ya uzuri na mwili wake..... At the end anatumia uzuri na mwli wake kupata atakacho.... Akawa na bahati atakua malaya anaejitambua... Akiwa mkurupukaji atakua malaya asie jitambua....

Huo house gal ataingia kundi hilo la 3..... Take note: Niloongea hapa sio absollute....
 
Dada'ngu umeeleweka vizuri sana, labda kuwe na angalizo kwa wasomaji: Usimnyoshee mtu kidole bila kujua historia yake, ukiona upo pazuri mshukuru Mungu.
 
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa?Kipato duni au ni tabia ya mtu?Kama ni kipato duni je hawa wanaofanyia uchangudoa kwenye makasino wana vipato duni??Je kama ni tabia ya mtu na wanataka mwanaume wa kuwaridhisha je hawa wanaofanya short time wanaridhishwa kweli???Nimejiuliza hili swali nikaona bora nije ni share na ninyi hapa
mbona umeshajijibu mkuu wenye vipato na wanafanya ni tabia na huwa hawakubali kupandwa kwa short timuwale wanaopandwa kwa short timE ni mambo ya KIPATO.Swali: Je wewe unayewapanda machangudoa ni kipato kikubwa au ni tabia
 
Tunapotaka kumuelewa mtu ambae anafanya ngono saana either kwa ajili ya kipato ama sio kwa ajili ya kipato ni mengi yatakiwa tuangalie....

  1. Aina ya huyo the so called Changu Doa (Refer to post # 15)
  2. Pushing factors mpaka akawa Branded hilo jina na the whole package ya U - CD.
Pushing factors za kua CD (Hii imelenga swali lako hapo kwenye bold)

  1. Ni yatima.... Wazazi wamefariki hana ndugu wala jamaa wa kumlea; hana muelekeo, hana msaada, hana mlezi wa maana ama anaeleweka na wala hana mtu wa kumsimamia katika mahitaji ya kila siku... Na kama yupo maybe ni wa kubabaisha - ama mlezi nae choka mbaya na the like.
  2. Makundi... hasa hizi age za kukua hizi... (teenagers) the type ya youth ambao anashinda nao (vitu ambavo wapenda ni vipi vyashika hatamu? i.e ngono?), sehemu anazoshinda, vitu vinavomvutia, sometimes shule alosoma, tamaa na mambo mengine mengi.
  3. Kukosa kabisa mwelekeo wa maisha, hawezi furukuta kwa njia yoyote ile aweze jikwamua... Kila aendako kuomba msaada woote wanakua na nia yataka mtumia... iwe mwili wake ama nguvu zake na the like. At the end ajikuta tu akiingia katika biashara ya kujiuza ili kuweza kimu maisha yake.
  4. TAMAA.... Tamaa kwa mabinti siku hizi is a chronic and deadly disease.... Kutaka jipandisha na kujiweka sehemu ambayo sio level yao... kutaka vitu vya gharama wala hata mbele wala nyumba zaidi ya uzuri na mwili wake..... At the end anatumia uzuri na mwli wake kupata atakacho.... Akawa na bahati atakua malaya anaejitambua... Akiwa mkurupukaji atakua malaya asie jitambua....

Huo house gal ataingia kundi hilo la 3..... Take note: Niloongea hapa sio absollute....

Well presented sista!...Hayo makundi mawili niliyo ya highlight yanawahusu sana wanafunzi especially wa chuo.

Utakuta msichana ametoka kwao na maadili yake mazuri tu,ila anapoingia katika mazingira ya chuo anakutana na different people ambao wana different characters. Wapo wanafunzi ambao ni wapotoshaji,na mfuata mkumbo ndio huwa concord akiishaiga vya kutosha..na kuna wale ambao wana tamaa tu,anataka apate mafanikio kwa shortcut..aanze ku-drive bado yupo chuo ili watu wamuone,awe na rum yake iliyosheheni furnitures za HSC ili mashosti wakija wamsifie..Mpaka afanikishe hayo kashafanya sex for money sana tu...hatinaye ana-loose shule na magonjwa tele juu.
 
siku zote ili mwanamke afanye mapenzi lazima awe na SABABU...na mwanaume ili afanye mapenzi anahitaji NAFASI(place)...basi!!!!
 
Ukahaba kwa wote wanaume na wanawake ni Tabia.Kuna jamaa ninamfahamu alikuwa anabeba sana wale Corner bar but ameoa almost a year now ila huwa hapitishi wiki bila kwenda kupitia mmoja pale wa kukata kiu yake
 
Mh. Hadi ifikie hadhi ya kuitwa CHANGUDOA c.v zifuatavyo hua ni visababishi .
> Malezi tofauti na maadili.
> Ukata wa kipato familia husika.
> Japo si zote lakini nyingi ya familia hizi zilizo na mzazi mmoja hutoa matokeo mengi ya wahusika tajwa.
 
Wengi wao wanaofanya haya mambo huwa ni kutokana na kipato duni,nawanafanya ili kjikimu na maisha,
Na kuna wengine wako maisha safi ila tu wanapenda kufanya huu uchangu,aither ilitokea aliiga kutoka kwa marafiki au kushawishiwa na mwisho wa siku anajikuta anapenda tu kuwa na wanaume tofauti tofauti kulingana na anavyojisikia yeye,

Na wale wanaotafuta kipato kuna baadhi akipata mtu wa kumtoa huko au akaolewa huwa wanaacha kbs na kutulia na kuna wengine wanakuwa washanogewa na hata akimpata wa kumtuliza au kuolewa wala hawezi kutulia lzm atoke tu kwan ndio ishakuwa tabia na anakuwa anajihisi hajakamilisha furaha yake hata km kipato sio tatizo.
 
kila m2 anakipaji chake mwingine kuimba,kuogelea, wizi wengine hobi yao ni ngono,

Uko right kabisa! Kuna dada mmoja alikuwa jirani yetu wakati tuko machalii watu kibao tulimpitia ikawa haitoshi akawa anahamia Ohio Usiku, na familia yao ni matajiri wakubwa yaani watu tulikuwa tunajichukulia kiulainiii
 
Naamini ni vitu vitatu:
  1. kipato: kuna wengi wamejiingiza ktk ngono kwa sababu ya kipato ata wengi wamekuwa wakuojiwa wanakili kufanya ngono ili kujipatia kipato
  2. tabia: pia kuna ishu ya tabia, wamama pia wadada wengi wanapenda sana kugongwa tu yani apate kitu tofauti na cha mume pia kibwana chake, hii inawakumba wake za watu wengi ata ndo ukaja usemi wa kuwa mahawala hawaachani, utamsikia anasema vp uko wapi? Nimeimisi sana mashine yako, aah apo game unakumbushia tena kwa sana, ivyo km ulimuoa m/mke chunga sana hawala yake wa zamani watakuwa wanaendelea kupiga game as usual
  3. kujirusha: wanaopenda sana kwenda kwenye maeneo ya mchanganyiko aswa km wako luz luz ni rahisi sana kunasa kwa mijamaa, kwani wanaume tunatofautiana sana, kuna m/ume mdada akimruhusu tu aongee nae... Dah achomoki, kuna w/ume wanavipaji na wako wengi, neno lake moja keshamuondoa lazima aondoke nae
yangu ni hayo, wabeja sana
 
Uko right kabisa! Kuna dada mmoja alikuwa jirani yetu wakati tuko machalii watu kibao tulimpitia ikawa haitoshi akawa anahamia Ohio Usiku, na familia yao ni matajiri wakubwa yaani watu tulikuwa tunajichukulia kiulainiii

Nadhani watu wa design hiyo ni wachache sana.
 
TAMAA ya kupata wanachotaka bila kufanya kazi halali na MAWAZO ya kufanikisha TAMAA zao iwe za KIMWILI au mahitaji mengine kwa urahisi na kwa njia hiyo ndivyo vinavyochangia huo uchangudoa.PIA MAWAZO RAHISI YA KUTATUA MATATIZO YANAYOMKABILI MTU YA KIMWILI AU KIPESA
 
Back
Top Bottom