Uchangudoa ni tabia ya mtu au kipato duni??

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala
hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa?
Kipato duni au ni tabia ya mtu?
Kama ni kipato duni je hawa wanaofanyia uchangudoa kwenye makasino wana vipato duni??
Je kama ni tabia ya mtu na wanataka mwanaume wa kuwaridhisha je hawa wanaofanya short time wanaridhishwa kweli???
Nimejiuliza hili swali nikaona bora nije ni share na ninyi hapa
 
....Mzima wewe? mapochopocho vipi? :).....Mbona kuna wengi wana kipato kidogo lakini hawafanyi uCD!?

mi mzima, mapochopocho si ulininyima. Lol.
Mimi nasema wanaofanya wanafanya sababu ya kipato duni. Si lazima mwenye kipato duni awe changu.
 
mi mzima, mapochopocho si ulininyima. Lol.
Mimi nasema wanaofanya wanafanya sababu ya kipato duni. Si lazima mwenye kipato duni awe changu.[/QUOTE]

....lol! we ndio ulininyima bana....Nakubaliana nawe hapo.
 
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala
hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa?
Kipato duni au ni tabia ya mtu?
Kama ni kipato duni je hawa wanaofanyia uchangudoa kwenye makasino wana vipato duni??
Je kama ni tabia ya mtu na wanataka mwanaume wa kuwaridhisha je hawa wanaofanya short time wanaridhishwa kweli???
Nimejiuliza hili swali nikaona bora nije ni share na ninyi hapa

ni nani kakwambia wanafanya hivyo...............kama hujawahi kushiriki basi aanza na hawa waliokuelekeza hivyo......
 
80% ni tabia binafs ya mtu 20%kipato duni

Wengi huwa wanaanza kujiuza kutokana na hali ngumu ya maisha na wengine ni tamaa ya kuwa na fedha tu. Kuna wengine wanafanikiwa kuacha maana huwa tunakutana nao mitaani wanauza vitenge, wengine wanakuwa wameolewa, n.k. Ila wengine wanashindwa kuacha kabisa sababu ile hali inakuwa imewaathiri (ndio watu wanaiita tabia).
 
Nimewahi jibu hii katika thread fulani kule jukwaa la wakubwa.... Hivo nime copy na kupaste na ku edit tu....

Kuna wadada wanamaisha mazuri saaana kwa njia hii hii ya kujiuza.... Wanaofanya ukahaba hapa inchin (naamini na maeneo mengi ya duniani) wapo in three categories (at least to me) The following ndio makundi hayo ma tatu... (Take note Men treat a lady the ways she wants to be treated - labda isiwe in her power)

Kahaba Anaejitambua...

Yupo kwa ajili ya kutengeneza pesa.... She makes all the rules... ana malengo na ana fixed dau la kulala nae, hatoki na wanaume ambao chini ya viwango anataka No matter how Broke! Huishi maisha ya gharama na kuenda sehemu za gharama hivo hukutana na wanaume wenye pesa ndefu. Hakubali umpleke sehemu ya ovyo, hakubali kuanza mechi wala kumtoa kwanza kabla hujakabidhi pesa. In short in high quality katika sector zooote!

Kahaba Asiejitambua...

Yupo kwa ajilii ya kutengeneza pesa ila tu hana Focus, kama anayo ipo short sighted, hutoka na mwanaume yeyote mradi alipwe, hupangiwa dau na mwanaume huyo anae mtoa (thou sio mara zooote); sehemu yoyote twende kazini, hawa hata makaburini, mapagalani, vichochoroni, popote pale mradi shughuli iishe... In short anaendesha ukahaba ki hali ya chiini saana na anakua haelewi umuhimu wake OR niseme umuhimu wa uwepo wake kwa service atoayo kwa hao wanaume....

Kahaba sababu tu anapenda ngono....

Huyu mwanaume mmoja hamtoshelezi no matter WHAT!!! Yaaani huyu akikosa mwanaume mda mrefu aweza umwa na yupo radhi atumie alternatives au hata apate wa kusagana....
 
Hapo tatizo ni kufuata mkumbo kwa story zao kwamba ukitaka hela ya chap chap ni kujiingiza huko na wengine tu ni hulka washapinda kitambo hila kwa kifupi mademu wengi ni machangudoa sema kuna wengine wanajiuza mtaani na wengine wanajiuza ambiance
 
Nimewahi jibu hii katika thread fulani kule jukwaa la wakubwa.... Hivo nime copy na kupaste na ku edit tu....

Kuna wadada wanamaisha mazuri saaana kwa njia hii hii ya kujiuza.... Wanaofanya ukahaba hapa inchin (naamini na maeneo mengi ya duniani) wapo in three categories (at least to me) The following ndio makundi hayo ma tatu... (Take note Men treat a lady the ways she wants to be treated - labda isiwe in her power)

Kahaba Anaejitambua...

Yupo kwa ajili ya kutengeneza pesa.... She makes all the rules... ana malengo na ana fixed dau la kulala nae, hatoki na wanaume ambao chini ya viwango anataka No matter how Broke! Huishi maisha ya gharama na kuenda sehemu za gharama hivo hukutana na wanaume wenye pesa ndefu. Hakubali umpleke sehemu ya ovyo, hakubali kuanza mechi wala kumtoa kwanza kabla hujakabidhi pesa. In short in high quality katika sector zooote!

Kahaba Asiejitambua...

Yupo kwa ajilii ya kutengeneza pesa ila tu hana Focus, kama anayo ipo short sighted, hutoka na mwanaume yeyote mradi alipwe, hupangiwa dau na mwanaume huyo anae mtoa (thou sio mara zooote); sehemu yoyote twende kazini, hawa hata makaburini, mapagalani, vichochoroni, popote pale mradi shughuli iishe... In short anaendesha ukahaba ki hali ya chiini saana na anakua haelewi umuhimu wake OR niseme umuhimu wa uwepo wake kwa service atoayo kwa hao wanaume....

Kahaba sababu tu anapenda ngono....

Huyu mwanaume mmoja hamtoshelezi no matter WHAT!!! Yaaani huyu akikosa mwanaume mda mrefu aweza umwa na yupo radhi atumie alternatives au hata apate wa kusagana....

Kuna wale ambao wachukuliwa vijijini na kuahidiwa kazi nzuri, ila wakifika town wanaingizwa katika hizo biashara tena kwa kulazimishwa. Hawa wanaingia katika kundi lipi?
 
sidhani kama sababu ni moja tu, lazima zinatofautiana kati ya mtu na mtu.
Kuna wengine watoto wa kishua machangu, wengine ni kipato duni.

Na ukifanya research unaweza kuta kuna zaidi ya haya mawili pia.
 
Back
Top Bottom