Uchambuzi wa Free Car Giveaway

Tafadhali unaposhiriki shindano hili hakikisha unatumia email ambayo unaitumia mara kwa mara.
 
Watanzania tunapenda sana kupuuza mambo lakini kile kile tunachokipuuza na kukiona hakina maana, utakuta mataifa mengine ambayo wametuzidi kwa kila kitu wao wanakichangamkia!! Kwa mfano, hapa chini nimechukua Top 10 ya nchi zinazoshiriki na Top Ten ya nchi zenye points nyingi. Ingawaje kwenye ushiriki tupo vizuri, lakini linapokuja suala la points Tanzania tupo nyuma sana kwavile ni watu wa kupuuza!! Lakini wakati sisi tunapuuza, watu wa mataifa mengine wameshupalia kweli kweli!!!
View attachment 410829
Nguvu yote hii kwa ajili ya nini?
 
Umekuwa moderator wa JF? BTW, Jukwaa la Biashara umeona kinauzwa nini hapa?
Una promoti biashara yako bana
Mara niulizeni maswali niwajibu,mara unaweka takwimu za walioingia yote hayo yanakuja vipi kama sio wewe ni mmiliki wa hiyo project?
Ulianza vibaya ni wewe huyo huyo ulieshupalia
Wenzako wanakua na Id kama tano wanajibishana
Sasa wewe unataka tukuulize maswali kwa faida ya mwenye hiyo project au ya kwako wewe
 
Una promoti biashara yako bana
Mara niulizeni maswali niwajibu,mara unaweka takwimu za walioingia yote hayo yanakuja vipi kama sio wewe ni mmiliki wa hiyo project?
Ulianza vibaya ni wewe huyo huyo ulieshupalia
Wenzako wanakua na Id kama tano wanajibishana
Sasa wewe unataka tukuulize maswali kwa faida ya mwenye hiyo project au ya kwako wewe
Unafaa kupuuzwa manake hujaitwa kwenye huu uzi na wala hakuna aliyeku-tag lakini unamwaga povu! Mbaya zaidi, huu uzi upo hapa kwa karibu mwezi mmoja sasa... unataka kusema mod hawajauona muda wote huo?! Yaani wasilalamike wahusika kwamba naweka matangazo unakuja kulalamika wewe; hivi hujishangai?!
 
Wadau,

Hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la Free Car Giveaway. Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona shindano hilo nikalazimika kulifanyia utafiti ili nijiridhishe nalo kabla sijaleta habari zake hapa.

Pamoja na yote hayo, hapa naomba niseme jambo moja. Sitaki kusema shindano hili ni halali/legit kwa 100% lakini nilichofanya kabla ya kuleta mada hii ni kuichambua kampuni inayoendesha shindano husika. Assumption ni kwamba, ikiwa shindano husika linaendeshwa na kampuni halali basi HUENDA na shindano lenyewe likawa halali. Nilichofanya mimi ni kutumia taarifa zilizotolewa na kampuni husika kisha nikazichunguza kwa kupitia external sources.
Ikiwa utahitaji kulisoma kwa makini shindano lenyewe na ikiwa unataka kujaribu, basi linapatikana hapa Free Car Giveaway:

UTAFITI WANGU & SUPPORTING EVIDENCE

1. Physical Address:
Kwanza nilichukua physical address iliyowekwa na hiyo kampuni. Adress yao ni hii hapa chini:
View attachment 410639

Nikataka kufahamu ikiwa kweli hiyo address ipo na hiyo kampuni inapatiakana kwenye hilo jengo. Google Map na Google Street Map ikathibitisha hayo yote mawili:
View attachment 410640
View attachment 410641

EVIDENCE 2: Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA):


JUMVEA ni Jumuiya ya Wasafirishaji Magari huko Japan na wamethibitishwa na Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda ya Japan. Watu wanashauriwa kabla ya kuagiza gari/magari kutoka Japan wahakikishie kwanza kampuni wanayotaka kufanya nayo biashara ni mwanachama wa JUMVEA.

Ukitaka kuufahamu UHALALI wa JUMVEA soma angalizo la Ubalozi wa Kenya nchini Japan. Screenshot na link ya habari husika ni hii hapa.
View attachment 410633
View attachment 410634

Kwahiyo hapo utaona Ubalozi wa Kenya unawaasa Wakenya kabla hawajaagiza magari wahakikishe dealer husika ana uhalali wa kufanya kibiashara na amesajiriwa na JUMVEA. Bila shaka ushauri huu ni muhimu hata kwetu sisi Watanzania. Aidha ni ushauri mzuri kwako hata kama huna haja na hili shindano.

Hapa nikataka kujiridhisha ikiwa kampuni inayooendesha hili shindano imesajiriwa na JUMVEA na nimethibitisha ni kampuni halali inayofanya biashara halali na ni mwanachama wa JUMVE. Hata hivyo, unaweza kuthibitisha wewe mwenyewe mbali ni hizi screenshots:
View attachment 410635
Ikiwa hadi hapo umeridhika na ungetamani kujaribu bahati yako, hilo linafayika kwa kutumia hii link: Free Car Giveaway

Kama vipi, tuendelee na uchambuzi wetu. Ukiangalia kwenye hiyo screenshot, unakuta hao Car From Japan ni Safe Trade Member. Safe Trade Member ni Car Exporter anayekuhakikishia usalama wa pesa yako wewe mnunuaji hata kama pesa umeshamtuma lakini gari haijasafirishwa. Bila shaka, kampuni inayoingia kwenye hili group ni lazima ithibitishwe ina uwezo wa kufanya biashara bila magumashi:
View attachment 410636
Kwa mara nyingine, hata kama huna haja ya kujaribu hili shindano kumbe tayari na wewe utakuwa umefaidika na taarifa hiyo hapo juu siku utakapotaka utakapotaka kuagiza gari kutoka Japan. Ili kujihakikishia usalama wa pesa yako, hakikisha dealer husika ni member wa Jumvea Safe Trade. Kwa maelezo zaidi, hawa ndio JUMVEA

Kwa hofu ya kuifanya thread kuwa ndefu sana, naomba niishie hapa lakini sina shaka wengi wetu tutakuwa tumejiridhisha kwamba shindano husika linaendeshwa na kampuni halali inayofanya biashara kihalali na inatambuliwa na mamlaka husika. Kwahiyo, ikiwa unataka kujaribu bahati yako, unaweza kufanya hivyo kupitia link: Free Car Giveaway.

Nakaribisha Maswali


UDUKUZI 101!
 
FAQ

WHAT WILL HAPPEN WHEN YOU WIN THE CONTEST? WILL YOU BE ABLE TO CHOOSE THE CAR OF YOUR CHOICE?

Can I choose the car?

Winners of 1st & 2nd prizes may choose any vehicle from our selected vehicle list, to be shared later. We will select multiple cars and body types for you & you can select any of those cars. We will deliver the chosen vehicle to the nearest port of the winners & CAR FROM JAPAN shall bear all cost up to the selected port. Winners of 3rd and 4th prizes will receive coupons (valid for 6 months); that can be used to buy any car, from the available stocks at CAR FROM JAPAN website. You can check available cars from our website CarFromJapan.com.
 
Back
Top Bottom