Uchambuzi wa Free Car Giveaway

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Wadau,

Hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la Free Car Giveaway. Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona shindano hilo nikalazimika kulifanyia utafiti ili nijiridhishe nalo kabla sijaleta habari zake hapa.

Pamoja na yote hayo, hapa naomba niseme jambo moja. Sitaki kusema shindano hili ni halali/legit kwa 100% lakini nilichofanya kabla ya kuleta mada hii ni kuichambua kampuni inayoendesha shindano husika. Assumption ni kwamba, ikiwa shindano husika linaendeshwa na kampuni halali basi HUENDA na shindano lenyewe likawa halali. Nilichofanya mimi ni kutumia taarifa zilizotolewa na kampuni husika kisha nikazichunguza kwa kupitia external sources.
Ikiwa utahitaji kulisoma kwa makini shindano lenyewe na ikiwa unataka kujaribu, basi linapatikana hapa Free Car Giveaway:

UTAFITI WANGU & SUPPORTING EVIDENCE

1. Physical Address:
Kwanza nilichukua physical address iliyowekwa na hiyo kampuni. Adress yao ni hii hapa chini:
Fact I.png

Nikataka kufahamu ikiwa kweli hiyo address ipo na hiyo kampuni inapatiakana kwenye hilo jengo. Google Map na Google Street Map ikathibitisha hayo yote mawili:
Fact II.png

Fact IIB.png

EVIDENCE 2: Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA):

JUMVEA ni Jumuiya ya Wasafirishaji Magari huko Japan na wamethibitishwa na Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda ya Japan. Watu wanashauriwa kabla ya kuagiza gari/magari kutoka Japan wahakikishie kwanza kampuni wanayotaka kufanya nayo biashara ni mwanachama wa JUMVEA.

Ukitaka kuufahamu UHALALI wa JUMVEA soma angalizo la Ubalozi wa Kenya nchini Japan. Screenshot na link ya habari husika ni hii hapa.
Fact III.png

Fact IIIB.png

Kwahiyo hapo utaona Ubalozi wa Kenya unawaasa Wakenya kabla hawajaagiza magari wahakikishe dealer husika ana uhalali wa kufanya kibiashara na amesajiriwa na JUMVEA. Bila shaka ushauri huu ni muhimu hata kwetu sisi Watanzania. Aidha ni ushauri mzuri kwako hata kama huna haja na hili shindano.

Hapa nikataka kujiridhisha ikiwa kampuni inayooendesha hili shindano imesajiriwa na JUMVEA na nimethibitisha ni kampuni halali inayofanya biashara halali na ni mwanachama wa JUMVE. Hata hivyo, unaweza kuthibitisha wewe mwenyewe mbali ni hizi screenshots:
Fact IV.png

Ikiwa hadi hapo umeridhika na ungetamani kujaribu bahati yako, hilo linafayika kwa kutumia hii link: Free Car Giveaway

Kama vipi, tuendelee na uchambuzi wetu. Ukiangalia kwenye hiyo screenshot, unakuta hao Car From Japan ni Safe Trade Member. Safe Trade Member ni Car Exporter anayekuhakikishia usalama wa pesa yako wewe mnunuaji hata kama pesa umeshamtuma lakini gari haijasafirishwa. Bila shaka, kampuni inayoingia kwenye hili group ni lazima ithibitishwe ina uwezo wa kufanya biashara bila magumashi:
Fact IVB.png

Kwa mara nyingine, hata kama huna haja ya kujaribu hili shindano kumbe tayari na wewe utakuwa umefaidika na taarifa hiyo hapo juu siku utakapotaka utakapotaka kuagiza gari kutoka Japan. Ili kujihakikishia usalama wa pesa yako, hakikisha dealer husika ni member wa Jumvea Safe Trade. Kwa maelezo zaidi, hawa ndio JUMVEA

Kwa hofu ya kuifanya thread kuwa ndefu sana, naomba niishie hapa lakini sina shaka wengi wetu tutakuwa tumejiridhisha kwamba shindano husika linaendeshwa na kampuni halali inayofanya biashara kihalali na inatambuliwa na mamlaka husika. Kwahiyo, ikiwa unataka kujaribu bahati yako, unaweza kufanya hivyo kupitia link: Free Car Giveaway.

Nakaribisha Maswali
 
Wadau, hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la Free Car Giveaway. Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona shindano hilo nikalazimika kulifanyia utafiti ili nijiridhishe nalo kabla sijaleta habari zake hapa.

Pamoja na yote hayo, hapa naomba niseme jambo moja. Sitaki kusema shindano hili ni halali/legit kwa 100% lakini nilichofanya kabla ya kuleta mada hii ni kuichambua kampuni inayoendesha shindano husika. Assumption ni kwamba, ikiwa shindano husika linaendeshwa na kampuni halali basi HUENDA na shindano lenyewe likawa halali. Nilichofanya mimi ni kutumia taarifa zilizotolewa na kampuni husika kisha nikazichunguza kwa kupitia external sources.
Ikiwa utahitaji kulisoma kwa makini shindano lenyewe na ikiwa unataka kujaribu, basi linapatikana hapa Free Car Giveaway:

UTAFITI WANGU & SUPPORTING EVIDENCE

1. Physical Address:
Kwanza nilichukua physical address iliyowekwa na hiyo kampuni. Adress yao ni hii hapa chini:
View attachment 410639

Nikataka kufahamu ikiwa kweli hiyo address ipo na hiyo kampuni inapatiakana kwenye hilo jengo. Google Map na Google Street Map ikathibitisha hayo yote mawili:
View attachment 410640
View attachment 410641

EVIDENCE 2: Japan Used Motor Vehicle Exporters Association (JUMVEA):

JUMVEA ni Jumuiya ya Wasafirishaji Magari huko Japan na wamethibitishwa na Wizara ya Uchumi, Biashara na Viwanda ya Japan. Watu wanashauriwa kabla ya kuagiza gari/magari kutoka Japan wahakikishie kwanza kampuni wanayotaka kufanya nayo biashara ni mwanachama wa JUMVEA.

Ukitaka kuufahamu UHALALI wa JUMVEA soma angalizo la Ubalozi wa Kenya nchini Japan. Screenshot na link ya habari husika ni hii hapa.
View attachment 410633
View attachment 410634

Kwahiyo hapo utaona Ubalozi wa Kenya unawaasa Wakenya kabla hawajaagiza magari wahakikishe dealer husika ana uhalali wa kufanya kibiashara na amesajiriwa na JUMVEA. Bila shaka ushauri huu ni muhimu hata kwetu sisi Watanzania. Aidha ni ushauri mzuri kwako hata kama huna haja na hili shindano.

Hapa nikataka kujiridhisha ikiwa kampuni inayooendesha hili shindano imesajiriwa na JUMVEA na nimethibitisha ni kampuni halali inayofanya biashara halali na ni mwanachama wa JUMVE. Hata hivyo, unaweza kuthibitisha wewe mwenyewe mbali ni hizi screenshots:
View attachment 410635
Ikiwa hadi hapo umeridhika na ungetamani kujaribu bahati yako, hilo linafayika kwa kutumia hii link: Free Car Giveaway

Kama vipi, tuendelee na uchambuzi wetu. Ukiangalia kwenye hiyo screenshot, unakuta hao Car From Japan ni Safe Trade Member. Safe Trade Member ni Car Exporter anayekuhakikishia usalama wa pesa yako wewe mnunuaji hata kama pesa umeshamtuma lakini gari haijasafirishwa. Bila shaka, kampuni inayoingia kwenye hili group ni lazima ithibitishwe ina uwezo wa kufanya biashara bila magumashi:
View attachment 410636
Kwa mara nyingine, hata kama huna haja ya kujaribu hili shindano kumbe tayari na wewe utakuwa umefaidika na taarifa hiyo hapo juu siku utakapotaka utakapotaka kuagiza gari kutoka Japan. Ili kujihakikishia usalama wa pesa yako, hakikisha dealer husika ni member wa Jumvea Safe Trade. Kwa maelezo zaidi, hawa ndio JUMVEA

Kwa hofu ya kuifanya thread kuwa ndefu sana, naomba niishie hapa lakini sina shaka wengi wetu tutakuwa tumejiridhisha kwamba shindano husika linaendeshwa na kampuni halali inayofanya biashara kihalali na inatambuliwa na mamlaka husika. Kwahiyo, ikiwa unataka kujaribu bahati yako, unaweza kufanya hivyo kupitia link: Free Car Giveaway.

Nakaribisha Maswali
Nani kakutuma ufanye yote hayo?
Unakaribisha maswali ili uyajibu kwa niaba ya nani?
 
Ni tangazo zuri la biashara! Inafaa wakulipe Mkuu, au mmeshamalizana?
Hiyo link haikupeleki moja kwa moja kwenye page yao ya kuuzia ambayo ni:
ANS1.png

ANS2.png

Kinyume chake, inakupeleka moja kwa moja kwenye page ya shindano mbayo ni:
ANS3.png

Kwahiyo kwenda kwenye page yao wanayouzia magari ni kiherere cha mtu mwenyewe!!
 
Watanzania tunapenda sana kupuuza mambo lakini kile kile tunachokipuuza na kukiona hakina maana, utakuta mataifa mengine ambayo wametuzidi kwa kila kitu wao wanakichangamkia!! Kwa mfano, hapa chini nimechukua Top 10 ya nchi zinazoshiriki na Top Ten ya nchi zenye points nyingi. Ingawaje kwenye ushiriki tupo vizuri, lakini linapokuja suala la points Tanzania tupo nyuma sana kwavile ni watu wa kupuuza!! Lakini wakati sisi tunapuuza, watu wa mataifa mengine wameshupalia kweli kweli!!!
Car.png
 
Promo at Work
Upo sahihi lakini sio lengo la mleta mada na ndio maana hata link niliyotoa ni exclusively inayohusu hilo shindano badala ya company link inayohusu hiyo biashara! Kwangu nilichoona cha msingi ni kwamba ni legit contest inayoendeshwa na legit company na ndio maana kabla ya kuleta hapa nikachukua muda kuli-research ili nijiridhishe kwamba ninacholeta hapa sio scam.

Lakini kwa upande mwingine, ni vile tu watu tunapenda kuchukulia vitu negatively vinginevyo ungegundua humo ndani kuna very useful information hata kwa mtu asiye na shida na hilo shindano! Kwa mfano, ni wangapi walifahamu kabla hujaagiza Japan jaribu ku-verify exporter legitimacy kupitia JUMVEA? Ni wangapi walifahamu among exporters, kuna wengine unakuwa guaranteed na usalama wa pesa zako no matter what but you can only get those information from approved JUMVEA! Sana sana kilichonishangaza mimi ni kuona ni jinsi gani Ubalozi wa Kenya nchini Japan ukitoa updates za mara kwa mara kuhusu matapeli wanaojifanya kuuza magari Japan lakini nilipotembelea website ya Ubalozi wa Tanzania nchini Japan, hakuna hata taarifa moja as if huku watu hawatapeliwi!
 
Bwana yule nakozi zinamfaa
Usisahau kujaribu bahati yako; hakuna unachopoteza! Jambo muhimu ni kwamba hili ni shindano halali linaloondeshwa na kampuni halali. Uzuri zaidi, taarifa za hapo zinaweza kukusaidia hata kuagiza gari kwa usalama zaidi kv kuna taarifa za kiserikali.
 
All the best kwa wale wote walioamua kujaribu bahati yao. Ninachoweza kuwathibitishia kwa sasa hili shindano ni halali kabisa na hii si mara ya kwanza Car From Japan kuendesha shindano sawa na hili.
 
Guys, lengo la kutumia active email address; I mean ile unayoitumia mara kwa mara ni kwa sababu original communication itakuwa emails.
 
Back
Top Bottom