Uchambuzi wa Faida-Hasara Unawezekana katika Mapenzi?/Does Cost-Benefit Analysis Apply in Love?

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
1,704
Je,moyo wako ukiwa umemzimikia mtu akili yako inaweza kufanya uchambuzi wa faida-hasara ya uhusiano huo?/When your heart has fallen for someone can your mind do a cost-benefit analysis of that relationship?
 
ndio, unafanya sana, ila hauufuati matokeo ya uchambuzi huo.

Ukimpenda mtu, kuna saa unajikuta unatumia mkia kufikiri badala ya ubongo.

Akikuumiza ndio akili hurudi.

Mbona unajikanganya?
 
kuna haja gani ya kufunya uchambuzi kama hautumii kabla ta kuanza mahusiano mapya.

Hizo analysis zinaweza fanyika, je zinafuatwa? Ukute ushaanza mpenda, au mshaanza kuwa karibu unagundua ni muongo, je utasepa fasta?

Au utasubiri hadi uwe victim wa uongo wake kwanza ndio unasepa?

hapo ndipo kwenye kiini cha swali; je, mtu akiwa amemkolea mtu anaweza kweli kufanya cost-benefit analysis ya, mathalan, huo uongo unaousema? kama anaweza kwa nini sio rahisi kwa watu kusepa hata wanapokuwa wanaumizwa?
 
Mie naamini kuwa wengi wa waliopenda wana uwezo wa kufanya hio analysis, ila ni wachache wana uwezo wa kuukubali ukweli wala kuufanyia kazi. Kuufanyia kazi huja pale tu ambapo umechoka vituko vyake na mapenzi kuisha aidha kwa push factors toka kwake ama ile tu inevitably...
 
Best way to do things ni kufanya cost benefit analysis kabla ya kufall in love. Na huwa inafanyika sana tu. Ila kama ilivyosemwa, watu wanakataa matokeo. Fikiria kijana anaedate mume ama mke wa mtu. Unadhani hakufanya cost benefit analysis? Hata akilalamika haolewi ama haoi anajua moyoni mwake why.

Tz tuna wataalamu wa mazingira. Na wanafanya cost benefit analysis juu ya kila uwekezaji kabla ya vibali. Ikifika kwa waziri anapingana na wataalamu na mostly mambo huwa yanabackfire.
 
Je,moyo wako ukiwa umemzimikia mtu akili yako inaweza kufanya uchambuzi wa faida-hasara ya uhusiano huo?/When your heart has fallen for someone can your mind do a cost-benefit analysis of that relationship?

Sorry sir... Nini kinachopenda/zimikia moyo au ubongo(akili)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom