Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kuapishwa atarudisha ranchi za taifa zilizoporwa na Lowassa pamoja na Sumaye zitakuwa mali ya serikali kwa kuwa zilichukuliwa kifisadi bila kufata utaratibu ,sheria pamoja na kanuni.

Arudishe kwanza nyumba za serikali.
hakika azirudishe tuuu manake dhuluma ilizidi sana kwa wananchi
lowassa kurejesha nyumba zote ziligawiwa bure NA magufuri ikumbukwe ni nyumba za umma
alizota kwa vimada na ndugu zake
Twiga wetu atawarudisha pia? Na gesi aliyodai wachina wamepewa bure kwa miaka Saba atairudisha? Au anadhamiria tu na kuongelea jambo ambalo amedanganywa na kuaminishwa kuwa linamgusa Lowassa? Ndiyo maana anadai Yeye ndiye kinara wa kupambana na mafisadi ilhali katika miaka yake yote 20 akiwa mbunge na waziri hakuwahi kutamka neno "fisadi" hata mara moja!
Na ikitokea akashinda nafasi hiyo ajue kuwa maneno anayoropoka kama ahadi za mihemko yatamkwamisha. Kikwete aliahidi hivyo hivyo na sasa kaishia kusikojulikana.
CCM out!
Skia hapa
atarudisha kila kitu,wew mpe kura yako tu hicho ndicho cha msingi.hapa kaz tuu.hyo ndo tinga tinga hana mchezo.akisema hapa kaz tuu anamaanisha