UCHAMBUZI: Report ya Jaji Manento na Jaji Ihema - Mauaji ya Januari 5, 2011 Arusha

Mohamedi Mtoi
Habari za Umra! Basi hata hujamaliza sunna umeshajiingiza kwenye kwenye uzushi? Mtume wako slaa hajambo???? Hizi tume hazibadili ukweli wa tukio mlijinadi mtatoa sehemu ya pili ya mkanda wa mauji hadi leo zimebaki ngonjera tu; nyie endeleeni kujilipua tu tume hazirudhi roho za watu; presha atakufa nayo babu yako anayelazimisha mambo; sisi tupo baridi tunamwaga sera na kulijenga taifa; siku moja moja pita Lumumba usome taarifa maendeleo uzipeleke Tanzania Daima.
 
Back
Top Bottom