Uchambuzi:Elias G KAMWELA acha kigeu geu...

Hahahahaaaa...Nilianzisha huo uzi makusudi kutaka kupima mambo kama matatu hivi:
1:Uwezo wa watu kuhimili wazo geni bila kufuka matusi.
2:Mapenzi ya jukwaa hili kwa wana Chit-Chat.
3:Ujenzi wa hoja kwa wana Chit-Chat.
Kwa namba 1 na 3 wengi wamefeli humu,ila mapenzi kwa jukwaa hili kweli yako juu.
Otherwise,mimi ni m-Chit chat na mtaendelea kuniona humu.

Hahahaaa...ulitukamata wengi!
 
Kaizer nakuona hapo chini unanichungulia kwa nyuma, ole wako unekobee!
 
Last edited by a moderator:
Huwa nikimjibu Ally Kombo nakula ban! Cheat chat ni Chaka la infidelities

Nkwingwa hivi bado huwa unahangaika naye yule jamaa,mimi akili zake siku zote nazifananisha na za huyu..

608acdc41f962ed9f339fcdb82d043e2.jpg
 
mie nadhani wote wanaoliponda na kulisakama hili jukwaa wana matatizo flanflan ila wanashindwa kujieleza au wanaona aibu so nawashauri waweke mambo hadharan wasaidiwe
 
Ally Kombo amekupga albadiri?

..............utukufu wa watu walikufa katika Vita ya Badri si wakufanyia dhihaka, ni vita ambavyo Malaika walipigana upande wa Waislaam ! Makafiri 1,000 wenye mamia ya Farasi, Ngamia na Tembo, dhidi ya Waislaam 300, askari wa miguu !

" (Waislaam walipozidiwa vitani, wakamuomba Mwenyezi Mungu awape msaada ), .....mlipokuwa mkimuomba msaada Mola wenu mlezi, naye akakujibunikwa: kwa yakini nitakusaidieni kwa malaika "elfu" wanao fuatana mfululizo. Qur'an:8: 9.

'' (Na Malaika wakapewa amri na MwenyeziMungu )..........Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walioamini (Waislaam). Nitatia woga katika nyoyo za waliokufuru (Makafiri). Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
Qur'an:8:12.

Mh,comment zilizo kaa kidini dini hizi zinanuka ban...
 
...............itoke wapi sasa ? .......nimemnukuu huyo Mtei na nimemuelimisha kuwa Vita ya al Bdri sio jambo la mzaha, kisha nikamuwekea ushahidi wa aya. Kwa nyongeza, Waliokufa kwenye vita hiyo wakitetea Uislaam, mpaka leo hii wanaruzukiwa (wanakula na kunywa) hali wakiwa wamezikwa, mpaka siku ya hukumu !
 
..............utukufu wa watu walikufa katika Vita ya Badri si wakufanyia dhihaka, ni vita ambavyo Malaika walipigana upande wa Waislaam ! Makafiri 1,000 wenye mamia ya Farasi, Ngamia na Tembo, dhidi ya Waislaam 300, askari wa miguu !

" (Waislaam walipozidiwa vitani, wakamuomba Mwenyezi Mungu awape msaada ), .....mlipokuwa mkimuomba msaada Mola wenu mlezi, naye akakujibunikwa: kwa yakini nitakusaidieni kwa malaika "elfu" wanao fuatana mfululizo. Qur'an:8: 9.

'' (Na Malaika wakapewa amri na MwenyeziMungu )..........Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walioamini (Waislaam). Nitatia woga katika nyoyo za waliokufuru (Makafiri). Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
Qur'an:8:12.

sijakuelewa kabisaaa Ally Kombo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom