Elections 2010 Uchakachuaji Kwimba

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na watuhumiwa makada wa sisiem wamefikishwa kituo cha polisi Ngudu. Nitawapasha zaidi kadri ntakavyo kuwa napata taarifa zaidi
 
Mwaka huu hakuna kulala lazima mafisadi tule nao sahani moja. Hongereni wana Kwimba. Kesho msicheze mbali na kura zenu mzilinde mpaka kieleweke
 
Halafu jana tu JK anatudanganya kwa kusema wizi wa kura hauwezekani!!!!!

Mkuu Marksman
mbona unaniangusha namna hiyo, hivi wewe ulikuwa uko serious kumsikiliza jamaa (JK) na ukaamini anachokisema kuwa ni cha kweli?
 
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na watuhumiwa makada wa sisiem wamefikishwa kituo cha polisi Ngudu. Nitawapasha zaidi kadri ntakavyo kuwa napata taarifa zaidi

Hongereni wana Kwimba, na hii liwe ni mkakati kwa taifa zima, wa kulinda kura
 
We need photos of people read handed pls. Otherise more reliable sources pls
 
Jana jioni maeneo ya Mwadubi Wilaya ya kwimba jimbo la kwimba yamekamatwa mabox ya kupigia kura. Habari za uhakika kutoka kwa Mgombea wa Ubunge Letty Nyerere amesema wamekamata masanduku mawili na watuhumiwa makada wa sisiem wamefikishwa kituo cha polisi Ngudu. Nitawapasha zaidi kadri ntakavyo kuwa napata taarifa zaidi

GHiiiiiii bhagosha natubha getegete hamoo!!!!!

Sasa wajameni hi ndio nini sasa, Mtuambiage basi hayo ma habali nasi tuyajuage kumbe nguvu zote za kusema kuiba ni vigumu sana sasa hayo mabox wameyatoa wapi tena.

Kwahiyo ujanja utakao tumika ni ku switch mabox au kuchomekea mabox yawe mengi eeeh??

Sasa mawakala lazima mpewe angalizo mabox yote muyawekee alama za pekee siku hiyo mje na sticker za siri ili tu wakisema turudie kuhesabu maaana ndicho kitakuwa kisingizio kikubwa basi hapo ndipo mtawakamata

Back
Top Bottom