Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Mkuu Luteni,

Sio wakati wa kampeni ambapo mgombea amezungukwa na waandishi kila upande. Siku hiyo JK angelikuwa Mwanza bila kutegemewa, tungelipata hapa JF mara moja.

Naanza kupata uhakika kwamba hiyo barua ni forgery. Hata majina yalivyoandikwa ni kimakosa makosa tu.

Siasa za namna hii kweli zitatupeleka pabaya Tanzania. Kufikia kesho tutakuwa tumejua maana vyombo vya habari vyote vitakuwa vinaipitia hii barua.
Wacha propaganda zako kabisa wewe mtu. mgombea anazungukwa na waandishi mpaka kwenye kitanda???? umeambiwa hii ishu ilifanyika usiku. uwe makini unapokuja na hoja za kijinga hapa
Tunajua yanayojiri na kinachotendeka kizani tunakijua.
Mgombea gani aliyewahi kuongozana na mwandishi kwa waganga wa kienyeji??? sasa kuhusu hii barua haina tofauti na uchawi dhidi ya taifa.
MBONA hamna huruma na watanzania ninyi watu?????
 
Wacha propaganda zako kabisa wewe mtu.
Tunajua yanayojiri na kinachotendeka kizani tunakijua.
Mgombea gani aliyewahi kuongozana na mwandishi kwa waganga wa kienyeji??? sasa kuhusu hii barua haina tofauti na uchawi dhidi ya taifa.
MBONA hamna huruma na watanzania ninyi watu?????

Wewe ndio una huruma. Acha propaganda zako kabisa wewe msanii.
 
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!

chakachua_halmashauri_mwanza1.jpg

chakachua_halmashauri_mwanza2.jpg

With due respect. Invisible nakuaminia na nimekuwa napenda post zako. Kwa hili nasita kuamini. Kwanza kwa wale wenye kumbukumbu tarehe 16.10.2010 Kikwete alikuwa Mkoa wa Pwani ziara aliyoanza tarehe 15.10.10. Tarehe 17.10.10 alikuwa Mkoa wa Dar. Yaani hata hao walioandika barua ya magizo je hawakujua ratiba hiyo? Barua inaonesha mwandishi hajui kanuni za kuandika barua. Kwanza haina Kumbukumbu. Barua kama hizi lazima zipigwe muhuri wa "SIRI" au "Confidentail". Kichwa cha barua yenyewe kinatia mashaka. Na mwandishi anaonekana kukosa weledi wa kuandika barua za Kiserikali. Kwa mimi naona barua hiyo si barua ya kweli. Ebu rejea source ya barua hiyo na ujiridhishe kama ni credible.
 
Mkuu Inv - Hii barua inanipa mashaka, mbona haina muhuri? Halafu majina yaliyotajwa ni mazito, ulazima wa kuyaandika majina kwenye barua sijauona. Mbona haina hata Kumb. Na.? Mhhhhhhh. Labda kama huyo msimamizi awe ameamua kujitoa muhanga!!!!!!!!!!!!!!
 
mdogo wangu ansema kuwa
mmiliki wa la-kairo hotel ni mjaruo na kikao hicho kilifadhili na Bw Gachuma

ndiye alilipa gharama zote na kuwa walijifungia ndani na kukaa kwa mda huo wa zaid ya saa mbili

asante mkuu, anaweza akatoa copy ya bill? tafadhali mkuu. Mungu atamlipa kwa hili.
 
Wakuu wangu mtanisamehe, mengine tunamezea lakini hili HAPANA!

Na mengi yaliyo katika barua hiyo wameshayatekeleza mbona hawa CCM wamejiandaa kuingiza nchi kwenye Vita kweli wako radhi tuchinjane ili kupindisha haki ya mwananchi ya kupiga kura,Najuta sana kumfahamu Wilson Kabwe nilifanya nae kazi huko Mbeya na Mwanza,Jamaa mchawi sana ,kwani hawezi kukataa maamuzi ya hao manyanq'au uzuri hii barua ni scanned tunaomba viongozi wa Chadema au CUF wangeitisha press conference haraka iwezekanavyo au hata Mzee Baregu aombe nafasi kwenye radio au TV asemee haya wanachi wajue,litawachwea hawaibi kura mwaka huu,majina hewa kwenye mtandao yameonekana ,vituo hewa vimeonekana wanazidi kuumbuka kabisa
 
Ya yule shehe Yahya yanaweza kutimia. mmmmh hii kali hahikisheni hawa jamaa wa news wanapata haraka kabla ya mdahalao wa jk jioni. lazima uchaguzi uahirishwe otherwise naiona vita mbele hili si jambo dogo najua viongozi wa chadema wanafanya kila liwezekanalo.
 
Mimi nilifikiri kuwa mtu unapogombea unatarajia kuwatumikia wananchi na kama hawakutaki basi waache wachague wanayemtaka. Ukiangalia kwa hali hii unagundua kuwa CCM wao hawako hivyo. Wanataka madaraka kwa faida zao, familia zao na rafiki zao na si kwa maslahi ya wananchi hata kidogo. Kwakweli hii sasa imezidi mipaka. Wanaharakati wote waingilie kati, wachunguzi wa kimataifa wapewe nakala. Kingine uthibitisho, je ni kweli majina ya vijana wengi hayaonekani vituoni? Je ni kweli wameanza kubandika majina late kama walivyopanga? Mlioko Mwanza tujulisheni.

NB: Katiba ibadilishwe. Watendaji wakuu wa tume ya uchaguzi wasichaguliwe na rais maana matokeo yake ndo haya ya kumpendelea bosi wao.
 
Too good to be true! Ni kama vile Hitler alivyokuwa anatoa orders zake kwa majenerali wake kuhusu kuwaangamiza Mayahudi -- kimaandishi, document ambazo zilikamatwa baada ya Vita. kama ulibahatika kusoma kitabu "The Rise and Fall of the Third Reich" by William Shirer utaelewa!

Wanaweka vitu hivi kimaandishi! Hawataki amani watu hawa. Bwana Makame -- ahirisha uchaguzi kuepusha maafa. Utakuwa unafanya jambo la maana.

Walaaniwe hawa waotaka kumwaga damu za Watz kwa masilahi yao binafsi
 
With due respect. Invisible nakuaminia na nimekuwa napenda post zako. Kwa hili nasita kuamini. Kwanza kwa wale wenye kumbukumbu tarehe 16.10.2010 Kikwete alikuwa Mkoa wa Pwani ziara aliyoanza tarehe 15.10.10. Tarehe 17.10.10 alikuwa Mkoa wa Dar. Yaani hata hao walioandika barua ya magizo je hawakujua ratiba hiyo? Barua inaonesha mwandishi hajui kanuni za kuandika barua. Kwanza haina Kumbukumbu. Barua kama hizi lazima zipigwe muhuri wa "SIRI" au "Confidentail". Kichwa cha barua yenyewe kinatia mashaka. Na mwandishi anaonekana kukosa weledi wa kuandika barua za Kiserikali. Kwa mimi naona barua hiyo si barua ya kweli. Ebu rejea source ya barua hiyo na ujiridhishe kama ni credible.
mkuu. mhalifu always hafanyi jambo sahihi. lakini kwa sababu haya mawasiliano siyo rasmi ya kiofisi unataka yawekwe kumbukumbu ili yawe filed???
nimefikiria mengi sana kuhusu hii barua na kupata dots nyiingi za kufanyia kazi
 
Yale yale risiti ya ndege alotumia Salma iliandikwa kwa USD!
 
Ya kughushi hii. Mtu akitaka kufanya uhalifu huo hawezi kujitega mwenyewe kwa kusambaza barua, tena kwenye letterhead. Changa la macho hili, sawa tu na zile barua za Lyatonga Mrema alizodai za mgao wa rushwa ya sh milioni 900 enzi ya Mkapa.
 
Shukrani Invisibo.. for risking a wrath with our givernment
for risking you life
for revealing this evil deed
for everything

Maadam yameshajulikana, cha maana ni kuhakikisha watu wa Mwanza wanahakikisha wanavijua vituo vyote... inaonekana kumbe wizi wa mitihani pia ni sera ya CCM... they are thieves

Je kama wana vituo hewa, watakosaje karatasi za kupigia kura walizokwisha chakachua??

i need a gun!!
 
Conclusion: Hii barua nafikiri si ya kweli lakini sasa kuna uhakika kabisa wa moja ya mbinu itakayotumika kuiba kura
Sure, hii barua msihangaike nayo wakuu... Ni usanii tu. Mimi nilitaka mfahamu kuwa kuna kitu kama hicho na mjue ni FAKE tuuuuu!

Kazi ipo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom