Alfan issa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,230
- 852
Kweli tupu wala hujaongopa
Masopakyindi,Tunachongele hapa ni matatizo yaliotkea katika uchaguzi wa 2015 na si 2010.
Sasa kama Maalim Seif alikubali mwaka 2010 kushindwa licha ya kushinda, hivi sasa mnashindwa nini kumshauri vivyo?
Masopakyindi,Usituelekeze kule kwenye mawazo yako.
Ndio ulivyo Mohamed Said, ukibanwa na hoja unairushie kwenye link isiyo na jibu.
Tamka jibu la swali langu ndani ya mada kisawasawa.
Jidu la Mabambasi,Imekuwaje umetumwa wewe kuyasema hayo na si Maalim Seif mwenyewe!!
Unayosema wewe huwa unatumwa na nani?Imekuwaje umetumwa wewe kuyasema hayo na si Maalim Seif mwenyewe!!
Mchango wako ungekuwa na maana kama ungejikita katika hadidu za rejea za mada yenyewe.
Vyombo vya dola viko huko Zanzibar, fujo itatokea wapi?
Pengine huwafahamu wazanzibari, kama ni vurugu na fujo zingekuwa zimetokea tena zamani.
Point zako nyingine ni kama mtu anayejitekenya na anacheka mwenyewe.
We ulikuwa wapi wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, mh Pinda anapigwa marufuku kutoingilia Zanzibar.
Hayo yalisemwa na si mwingine bali makamu wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa -SUK, Maalim Seif!
Matamko ya Seif hayakupingwa na mtu yeyote nje au ndani ya Zanzibar na Muungano.
Predcedence tayari ilishakuwa set.
Sasa ndo nasema pilipili ya Zanzibar yakuwashia nini?
Halafu hivi hanjui kuwa uchaguzi ndani ya Zanzibar si suala la Muungano, hivyo Rais wa Muungano atamwamrishaje Jecha wa ZEC, aliye chini ya rais wa Zanzibar.
Msijitie ufahamu ambao hamna ujuzi nao.
ZANZIBAR NI Nchi!
Hilo nalo hamjalisikia?
Jibu linnguoni mwako!Vyombo vya dola viko huko Zanzibar, fujo itatokea wapi?
Huko zilikotokea fujo hakukuwa au hakuna vyombo vya dola? mfano wakulima na wafugaji?
Wakulima na wafugaji wako Zanzibar au unaongelea nchi gani?
Matamko ya Seif hayakupingwa na mtu yeyote nje au ndani ya Zanzibar na Muungano.
Kwahiyo yalifanywa kuwa sheria?
Katika sheria soma kituinaitwa precedence
Halafu hivi hanjui kuwa uchaguzi ndani ya Zanzibar si suala la Muungano, hivyo Rais wa Muungano atamwamrishaje Jecha wa ZEC, aliye chini ya rais wa Zanzibar.
Huoni kama haya ndo mambo yanafanya muungano kuwa wa sintofahamu? Mara Zanzibar sio nchi, mara mara sijui tume ya huku na kule, unawezaje kujivunia udhaifu huu?
Unatafuta kitu inayo furahisha nafsi, jiridhishe kuwa dhana ambayo sasa ni halisia ya Zanzibar ni Nchi, iliungwa mkono na wazanzibari, tena kwenye Baraza la Wawakilishi.
Sasa sijui wewe unapata wapi ujasiri wa kupinga msimamo huo.
Mwulize Maalim Seif alipo mnanga Waziri Mkuu Wa Serikali ya Muungano, Mh Pinda juu ya hili.
Soma Daily News la leo 9/2/2016 "Fresh polls best for Zanzibar"Unayosema wewe huwa unatumwa na nani?
Unayosema wewe huwa unatumwa na nani?
Soma Daily News la leo 9/2/2016 "Fresh polls best for Zanzibar"
Link ‘Uchaguzi wa marudio ni kuvunja Katiba’"There is no better way to solve the political impasse in Zanzibar than another round of the ballot box, the government has reaffirmed.
The remarks were made by the President John Magufuli in Dar es salaam yesterday , whose speech was read on his behalf by the Minister or Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Ambassador Augustine Mahiga, during a diplomatic gathering at the State House in the city yesterday."
Daily News, 9th February 2016
Nonda , Mohamed Said kuna maneno?
Mkuu watakuwa na neno gani tena?"There is no better way to solve the political impasse in Zanzibar than another round of the ballot box, the government has reaffirmed.
The remarks were made by the President John Magufuli in Dar es salaam yesterday , whose speech was read on his behalf by the Minister or Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Ambassador Augustine Mahiga, during a diplomatic gathering at the State House in the city yesterday."
Daily News, 9th February 2016
Nonda , Mohamed Said kuna maneno?
Link Duni: Bila SUK, hakuna atakayetawala Z’barMkuu watakuwa na neno gani tena?
Tumewaambia wee wao wameweka masikio pamba!
Sasa wamesikia kwa masikio yao, tena live!
Zanzibar ni Nchi ati!
Wewe unasema ni mkoa au wilaya?Zanzibar ni Nchi ati!
Ukiwa ccm usiwe kipofu ,kwenda kwa papa haikua ni sababu ya udini ,amani anashirikishwa yeyote yule ambaye busara zake zitaokoa jahazi
Mkuu! mimi sijui niko unia gani? kwani ni nani alienda kwa Papa?
Nonda ana picha zote isipokuwa ile ya Maalim Seif akimpigia magoti Papa.Mkuu! mimi sijui niko unia gani? kwani ni nani alienda kwa Papa?