Uchaguzi wa wabunge EAC Mbunge amwita mama Makinda Mr Speaker!!

hahahah natamani ningekuwa ninawaona live....kingereza ni wito...
 
Kimonbo kazi kweli kweli mgombea wa CCM amemwita mama Makinda Mr Speaker, kazi kweli kweli
Mfupa hauna ulimi we mgozo kweli baada ya hapo ulifuatilia kujua alichoongea alishusha nondo za nguvu CCm tuna vipaji bana alaaa
 
chingereza kazi we huoni wabunge wakiwa katika kamati wanavyopata tabu na kingereza katika miswada yao iliyoandaliwa kingereza tabu tupu.

kwa shule hizi za st.kayumba unategemea nini.
 
Back
Top Bottom