Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Swali la pili: Alikuwa mkali kwenye kampeni, je anathibitishaje kuwa hatakuwa mkali akipewa hiyo nafasi?

Jibu: Kwakuwa hakuwahi kulalamikiwa kisheria hivyo basi hayo malalamiko si sahihi
 
Wabunge wapambanaji wa ccm wangeamua kumpigia Marando. Wanashindwa kuelewa kura yao ya leo ndio itawafimba mdomo bungeni na kuwa chanzo cha wananchi kuwakataa 2015.
 
Marando anamkumbusha huyu mbunge kuwa ya kampeni yalishakwisha
 
Namwona Sugu nyuma ya Zitto anabariz....hizi Mic zinatoa watu ushamba.......kha!
 
Ubishi umeanza, Olesendeka anakuwa bloked kutumia mic ya Marando.

Hizi fitina ni balaa, hili bunge mwaka huu iko kazi
 
Naona anaulizwa eti kwamba alikuwa NCCR askahamia CHADEMA>....Anna Amelikataa hili swali.........
 
Marando anaulizwa anahamahama chama je akipewa uspika hatahama? Poor question toka kwa Olesendeka.

Anna abdalah analipiga chini
 
wabunge wa CCM wanafanya fitina wanawasha mic zao ili ya Marando isisike.
 
Baada ya nusu saa hivi kuanzia sasa, kikao cha uteuzi wa spika mpya kitaanza hapo Dodoma yeyote mwenye la kuchangia hii thread ndiyo mahali pake..............nitajitahidi kuwaletea dondoo za matukio muhimu kutoka huko Dodoma.......................na kila mmoja ajaribu kufanya hivyo kuwapasha habari wale ambao hawataweza kuona tukio hili muhimu moja kwa moja..................

The Following User Says Thank You to Rutashubanyuma For This Useful Post:

Muadilifu (Today)​
 
Back
Top Bottom