VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
You might have a point... lakini shouldn't we talk about the problem at hand???? au wewe hili suala la CCM kuahirisha vikao vya uchaguzi unaona ni sawa??? au haukutaka, Mkuu hapo juu atupe habari????? Binafsi kwa hili sioni kosa alofanya bali amewajibikaTatizo langu linakuja katika 'kutoa ahadi' bila ya kujua mazingira halisi husika hasa ukizingatia kuwa hakukuwa na haja ilolazimisha ahadi hiyo itolewe kwa wakati ule.
Vitu kama hivi ndo vinampa uhalali Ngeleja wa kutukatia umeme kwa kuwa 'hakujua kama kudura ya Mungu ya kutonyesha mvua itakuja'.
Mtataka tukubali kuwa asitimize ahadi waliyoiweka kwa sababu mvua hazikunyesha.