Uchaguzi wa Meya Manispaa ya Kigoma waahirishwa

Kigoma kuna Halmashauri 4, halmashauri ya Kibondo pekee ndio CCM wana majority. Halmashauri ya Wilaya Kasulu NCCR wanaongoza kwa msaada wa CHADEMA, Halmashuri ya wilaya Kigoma inaongozwa na CHADEMA kwa msaada wa NCCR na Manispaa ya Kigoma inaongozwa CHADEMA peke yake.

Pole na kazi, lakini kaka nikuombe saidia balaza la madiwani katika mijadala yenu hapo KG mjini kila mwaka mpange kukarabati barabara za mitaani, kwa kuweka atleast mitaro, mbona mikoa mingine hayo hufanyika kila mwaka kigoma mnashindwa nini? Hakuna kweli bajet ya ujenzi wa barabara za mtaani kila mwaka?
 
Kazi nzur kaka zitto, endeleeni kuwabana had kieleweke, ninaiman na ww kaka songa mbele tujenge nchi yetu tuijenge CHADEMA.
 
Okay zitto now you doing the right thing hii ndio kazi people's power inataka kusimamia maslahi ya wanyonge sio mafisadi kamati ya baregu imefanya kazi -good boy kuteleza si kuanguka simamia hilo, waombe radhi wananchi hadharani na kutana wabunge wenzio omba samahani, kutana na mwenyekiti wako wa chama kamanda mbowe mwombe radhi harafu tunasonga mbele bila fitina. Kamata hizo halmashauri zote kazi nzuri.
 
Tumepewa barua ya kutoka kwa Waziri Mkuu kwamba uchaguzi umesitishwa. Sababu ni kuwa CCM wamelalamika tume kuhusu uteuzi wa madiwani wa viti maalumu, kwamba wamepunjwa.
Sababu aliyoitoa Waziri Mkuu ni sababu ya kipuuzi na inaenda kinyume na maadili ya kazi.
CCM walikwenda mahakamani kupinga uteuzi wa madiwani na kwamba wamepunjwa. CCM waliomba injunction ili uchaguzi usitishwe. Mahakama ilitupilia mbali ombi la CCM kupitia ruling no. 22/2010.
Kitendo cha Waziri Mkuu kusitisha uchaguzi ni sawa na kutoa injunction ambayo CCM waliikosa mahakamani. Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama na kutumia vibaya mamlaka ya Uwaziri mkuu.
CHADEMA itajibu rasmi barua ya Waziri Mkuu.
Uchaguzi hakuna.
 
Pinda, na mkurugenzi wa Kigoma ujiji na George mkuchika .. mbaka Ocampo aje kuwafunda democrasia ,The Hague mnaibipu' aibu kweli wengine mnajiita mtoto wa mkulima! acheni kubaka democrasia
 
Tumepewa barua ya kutoka kwa Waziri Mkuu kwamba uchaguzi umesitishwa. Sababu ni kuwa CCM wamelalamika tume kuhusu uteuzi wa madiwani wa viti maalumu, kwamba wamepunjwa.
Sababu aliyoitoa Waziri Mkuu ni sababu ya kipuuzi na inaenda kinyume na maadili ya kazi.
CCM walikwenda mahakamani kupinga uteuzi wa madiwani na kwamba wamepunjwa. CCM waliomba injunction ili uchaguzi usitishwe. Mahakama ilitupilia mbali ombi la CCM kupitia ruling no. 22/2010.
Kitendo cha Waziri Mkuu kusitisha uchaguzi ni sawa na kutoa injunction ambayo CCM waliikosa mahakamani. Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama na kutumia vibaya mamlaka ya Uwaziri mkuu.
CHADEMA itajibu rasmi barua ya Waziri Mkuu.
Uchaguzi hakuna.
Au wanataka tuandamane tena kama kwenye matokeo ya ubunge, kama wataendelea hivi iko siku CCM wataingiza vita nchi hii hatuwezi kuendelea kuvumliea huu ujinga wa kila siku....
 
Niliwaambia kwamba Pinda ni mnafiki sana, anapokuwa mbele za watu huwa anajidai ana huruma, kumbe hakuna kitu. Anachokifanya Kigoma ndicho alichokifanya Sumbawanga Mjini kwa kumzuia msimamizi wa uchaguzi jimbo la Sumbawanga Mjini asimtangaze mgombea wa CHADEMA kuwa mshindi. Jambo hilo lilisababisha akunjwe shati na Mzindakaya!
 
Tumepewa barua ya kutoka kwa Waziri Mkuu kwamba uchaguzi umesitishwa. Sababu ni kuwa CCM wamelalamika tume kuhusu uteuzi wa madiwani wa viti maalumu, kwamba wamepunjwa.
Sababu aliyoitoa Waziri Mkuu ni sababu ya kipuuzi na inaenda kinyume na maadili ya kazi.
CCM walikwenda mahakamani kupinga uteuzi wa madiwani na kwamba wamepunjwa. CCM waliomba injunction ili uchaguzi usitishwe. Mahakama ilitupilia mbali ombi la CCM kupitia ruling no. 22/2010.
Kitendo cha Waziri Mkuu kusitisha uchaguzi ni sawa na kutoa injunction ambayo CCM waliikosa mahakamani. Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama na kutumia vibaya mamlaka ya Uwaziri mkuu.
CHADEMA itajibu rasmi barua ya Waziri Mkuu.
Uchaguzi hakuna.

kheee kumbe ndo ilivyo basi kazi ipo mwaka huu
 
huyu mzee mnafiki sana...sijawahi kumpenda hata siku moja kwa kuwa mi mnafiki na ana tabia za hovyo kabisa
 
Tumeamua kuwa hatutatoka katika kikao mpaka uchaguzi ufanyike. CCM wanafanya mchezo wa kijinga sana. Tumewazidi madiwani. Hawataki kutupa Council yetu. Wanakaa kwenye vikao RC, DC na wengine kuhujumu. Wajue tu huu mji ni wa CHADEMA na labda watuue, Umeya ni wetu.

Tumechoshwa na siasa kuendeshwa mtandaoni. Hivi nikikuuliza "uchaguzi ushafanyika au bado mtalala hapo hapo kikaoni?" nitakuwa nimekosea?
 
huyu mzee mnafiki sana...sijawahi kumpenda hata siku moja kwa kuwa mi mnafiki na ana tabia za hovyo kabisa

mpango wangu wa kutafuta telescopic rifle bado uko palepale
hii nchi bila watu kujitolea na kujilipua watatuinjamisha sana hawa..
tujitayarishe naskia umeme unapanda kwa zaidi ya asilimia 34 pindi january
 
Tumechoshwa na siasa kuendeshwa mtandaoni. Hivi nikikuuliza "uchaguzi ushafanyika au bado mtalala hapo hapo kikaoni?" nitakuwa nimekosea?

....hapa sijaelewa nini haswa kipo kichwani kwako! Mh. katujuza tu kinachoendelea huko Kigoma....sasa haya ya siasa mtandaoni yanakujaje ndugu? Nafikiri kama unatofauti zako na Mh. tumia venue nyingine na tena kuna thread zipo tayari, unaweza toa dukuduku yako huko......! hapa naona unapoteza sana....Sorry!
 
CCM wanadhani wao ni nani? hawajui kuwa watu wakiamua lazima liwe, nikisikia habari kama hizi nashindwa kuwaelewa. nadhani siku tukichapana heshima itakuwepo hakuna haja ya kina Ocampo
 
Shukrani Zitto kwa thread hiyo, system iko corrupt kinoma, kuna haja ya Slaa(PHD) kwenda kanda ya ziwa kuhakikisha hao majambazi hawapori wananchi halmashauri zao
 
Tumechoshwa na siasa kuendeshwa mtandaoni. Hivi nikikuuliza "uchaguzi ushafanyika au bado mtalala hapo hapo kikaoni?" nitakuwa nimekosea?

Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi. Wakati tunakaa ofisini kusubiri uchaguzi, hapakuwa na barua inayoonyesha hivyo. Sasa wameleta barua. Sidhani kama tunafanya siasa za mtandao, hii ni njia mojawapo bora ya kujulisha umma mambo yanayofanyika. Nadhani ndio mantiki ya mitandao ya kijamii.
 
....hapa sijaelewa nini haswa kipo kichwani kwako! Mh. katujuza tu kinachoendelea huko Kigoma....sasa haya ya siasa mtandaoni yanakujaje ndugu? Nafikiri kama unatofauti zako na Mh. tumia venue nyingine na tena kuna thread zipo tayari, unaweza toa dukuduku yako huko......! hapa naona unapoteza sana....Sorry!

Next level

Hawa wanasiasa wa siku hizi wamekuwa wepesi wa kuja kusema wapendacho kwenye hii mitandao, halafu yale maneno yao yakinukuliwa wamekuwa wepesi vile vile wa kulalama kuwa watu wanawapikia majungu. Wakionyeshwa waliyosema, wanagwaya, wanabaki ile ilikuwa thread nyengine haihusu huku, au ilikuwa hali haijajuulikana.

Hakukuwa na haja ya kuambiwa kila kijihatua cha 'maneno' kilichofikiana na Chama kwenye mkutano wao. Na utoaji huo wa ahadi za kiholela ndio inapelekea wao kushindwa kuzitimiza.

Haya keshasema 'hawatoki mpaka uchaguzi ufanyike', na ndo barua ya Pinda ndo hiyo ishakuja...........ahadi hiyo wataitimiza vipi?

Tunaomba wanasiasa waache kusema ahadi zisizotimizika hata kama ni ndogo kiasi gani.......unless unambie kuwa hizi ahadi nyengine tuzipuuze kwa sababu lengo lake ni kugain cheap popularity na kuamsha hamasa za watu tu.
 
Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi. Wakati tunakaa ofisini kusubiri uchaguzi, hapakuwa na barua inayoonyesha hivyo. Sasa wameleta barua. Sidhani kama tunafanya siasa za mtandao, hii ni njia mojawapo bora ya kujulisha umma mambo yanayofanyika. Nadhani ndio mantiki ya mitandao ya kijamii

Tatizo langu linakuja katika 'kutoa ahadi' bila ya kujua mazingira halisi husika hasa ukizingatia kuwa hakukuwa na haja ilolazimisha ahadi hiyo itolewe kwa wakati ule.

Vitu kama hivi ndo vinampa uhalali Ngeleja wa kutukatia umeme kwa kuwa 'hakujua kama kudura ya Mungu ya kutonyesha mvua itakuja'.

Mtataka tukubali kuwa asitimize ahadi waliyoiweka kwa sababu mvua hazikunyesha.
 
Tumepewa barua ya kutoka kwa Waziri Mkuu kwamba uchaguzi umesitishwa. Sababu ni kuwa CCM wamelalamika tume kuhusu uteuzi wa madiwani wa viti maalumu, kwamba wamepunjwa.
Sababu aliyoitoa Waziri Mkuu ni sababu ya kipuuzi na inaenda kinyume na maadili ya kazi.
CCM walikwenda mahakamani kupinga uteuzi wa madiwani na kwamba wamepunjwa. CCM waliomba injunction ili uchaguzi usitishwe. Mahakama ilitupilia mbali ombi la CCM kupitia ruling no. 22/2010.
Kitendo cha Waziri Mkuu kusitisha uchaguzi ni sawa na kutoa injunction ambayo CCM waliikosa mahakamani. Huku ni kuingilia uhuru wa mahakama na kutumia vibaya mamlaka ya Uwaziri mkuu.
CHADEMA itajibu rasmi barua ya Waziri Mkuu.
Uchaguzi hakuna.

Mh. Zitto,

Nafikiri msiishie kujibu hiyo barua ya PM tu, kwa sababu mnaweza kuijibu hiyo barua, akakauka asiifanyie kazi. Hivyo basi wakati mnataka kuijibu hiyo barua inatakiwa pia muangalie uwezekano wa kuiona mahakama irrevoke hiyo barua ya PM na imwamuru Mkurugenzi kuitisha uchaguzi haraka sana.
 
Back
Top Bottom