Uchaguzi wa madiwani mbozi, wazito akiwemo mwang'onda wakutana

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Viongozi walio kamati ya ulinzi na usalama mkoani mbeya akiwemo Rpc Diwani na RSO,pamoja na Rco wamekutana katika hotel ya Mkolla usiku huu huku mzee Abson Mwang,onda ambaye ni DGI mstaafu akiwa mmoja wa walioketi katika kikao hicho ambcho mkuu wa wilaya mbozi na mzee simpasa pia wamo. Sina uhakika wanazungumzia nini lakini yawezekana suala la uchaguzi wa kesho kwa kata mbili za wilaya ya mbozi likahusika!
 
Walepula mlomu ungiza utuwuzye zye bhakupa//////??????????????????
 
m4c si kitoto, hao wazee NNS zao zimeisha nini sasa wanatafuka kuiba kwenye Udiwani?
 
Back
Top Bottom