Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

Status
Not open for further replies.
mpaka kieleweke, hayo ya kununua shahada haitoshi kusema, pandeni watu watakaojifanya wanauza warekodini muwaumbie hadi hivi sasa hakuna ushahidi wowote wa CCM kununua maana ungekuwepo ungetolewa.

Kuna ugumu gani wa kupanda wauza shahada feki ili muwakamate wanaonunua?

You are right. Nafikiri this time mbinu zote zitumike ili hili liwe wazi na watu waumbuke na ndio utakuwa mwisho wa huu mchezo kama huwa kweli upo. Bila kukamatwa mtu itaonekana ni manung'uniko ya kawaida, kama iliwezekana kuwaumbua katika BoT naamini hili ni rahisi zaidi maana linahusisha wananchi wenyewe. Wapeni vijana hadi tape record warecord kila kitu, ngoja tuishie hapa tusije tukasema na yasiyotakiwa kusikika!
 
Jameni, paanze kuwepo na utaratibu wa kuondokana na haya mambo ya michezo michafu katika chaguzi 'once and for all.' Tutaendelea na takataka hizi hadi lini?

Njia ya kuondoa uchafu huu ni kuwa na ushahidi usiopingika kirahisi. Pafanyike kila juhudi inayowezekana ushahidi huu upatikane mapema.
 
Ndio maana mimi siamini kuna watu wamenunuliwa ndani ya miaka zaidi ya 15 hakuna hata mtu mmoja aliyejitokeza na ushahidi wa wazi. Yote ni mazingira tu, yaani hakuna uwezo wa watu kufikiria jinsi ya kufanya hivyo?
 
Ndio maana mimi siamini kuna watu wamenunuliwa ndani ya miaka zaidi ya 15 hakuna hata mtu mmoja aliyejitokeza na ushahidi wa wazi. Yote ni mazingira tu, yaani hakuna uwezo wa watu kufikiria jinsi ya kufanya hivyo?

Tuvute subira. Kama mchezo huo upo, mwisho wake nao upo.
 
Jamani ninaimani kuna wanaJF wenye simu zenye uwezo wa kuchukua picha na clips, hao akina Tinga Tinga na Mr Bean (Makamba) nikuwachukua wakiwa kwenye harakati tuwaambishe hapa huenda wakakatakaa picha zao wakiwa na magwanda ya kijani teh teh teh
 
ndiyo hivyo.. maana tuliambiwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha kule Kigoma lakini ikawa kimya.. sasa haya ya Kiteto kama ni kushinda, wapinzani watashinda bila kulia lia.. ama sivyo wanaweza kujikuta wanafunguliwa tovuti yao wenyewe..
 
wanunuzi wa kadi si Tingatinga personally bali ni wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa Vijiji.Pia labda wahuni wa kupewa pesa na kuingia mtaani kwa kasi . Kazi inafanyika kwa usiri mkubwa lakini pia kwa kasi .Hili ndilo la kuangalia hasa na kulitafutia mbinu na ushahidi .
 
Taarifa nilizonazo mimi ni kuwa Dume la Mbegu Aka Tinga Tinga sasa limepaki bungeni Dodoma, likijazwa mafuta na punde litapelekwa Kiteto- na huko vitambulisho vya mpiga kura vitanunuliwa na uharamia wote utafanyike. Na mwisho Ole Kimesera ataambulia asilimia kumi kama nilivyotabiri. Wapinzani mlie tu. Hivyo vitisho vya Erasto Tumbo aliyeshindwa Kisesa kwamba fedha za ufisadi zitazuiwa zisigawanywe kwa nguvu ya umma vitawatokea puani. Na mkileta ungangari mtapata za Kikenya Kenya aka Ngunguri style!

PM

PM

Hilo ni mashine kubwa linasaga na kukoboa mwendo mdundo!
 
Mshaanza kulia lia ku justify kushindwa kwenu....

wengine watalia mimi simo.. kwenye mapambano ya kifikra kuna muda wa kutoa jasho tu, hakuna muda wa kutoa machozi.. lakini tarehe 24 kuna mtu atapata kipigo cha mbwa koko...
 
MKJJ kuna kikao chochote cha viongozi wa upinzani kilichoketi kuwa mkakati juu ya namna ya kuchukua kiteto?
Kama watu wananunuliwa ujue Umaskini na ELIMU Duni ndio zimetutawala...Ukiona CCM imepata upinzani sehem ujue kwa kiasi kikubwa kuna ELIMU fulani imewafikia Wananchi..Hawawezi kuwadanganya, kinyume chake watumie Nguvu Kuiba...Wasimamizi wapewe pesa zao wasiambiwe wafanye kwa moyo wa Chama then Haki wasipewe na hapo ndipo CCM watakafanya mambo.
 
1.
Taarifa nilizonazo mimi ni kuwa Dume la Mbegu Aka Tinga Tinga sasa limepaki bungeni Dodoma, likijazwa mafuta na punde litapelekwa Kiteto- na huko vitambulisho vya mpiga kura vitanunuliwa na uharamia wote utafanyike.

2.
Taarifa za hivi punde ni kuwa CCM wakiongozwa na mzee Malecela wameanza kale ka mchezo ka Tunduru ka kununua shshada za wapiga kura na wameanzia eneo linaloitwa Matui na hapo yupo mzee Malecela mwenyewe akiongoza hujuma hiyo dhidi ya vyama vya upinzani.

3.
wanunuzi wa kadi si Tingatinga personally bali ni wajumbe wa nyumba kumi na wenyeviti wa Vijiji.

Wakuu heshima mbele, na tunawashukuruni sana kwa kutuletea habari nzito toka huko ground zero, so far so good info plus dataz, keep it up the good works guys!
 
Kweli Tinga tinga ni dume la mbegu maana lina watoto wa nje hata humu tunao .Yaani unamwagia sifa Malecela kwa uharamia anao endesha ama mimi sijaelewa ? Hivi huyu watamtumia hadi lini ?Kama CCM ni safi na inafanya wayatakayo wananchi kwa nini kununua kadi zao za kupigia na kufanya uharamamia kama ulivyo sema hapo juu ?Kukubalika kwa CCM ni kupi sasa kwa wananchi kwa tabia hizi ?
 


Heshima mbele mkuu wakuu, point yangu ni kwamba hizo habari zinajikanyaga mno, na ukweli unajisema wenyewe hapo juu, labda kuwe na mpangilio wa kuleta hizo habari, maana hizo juu ni a little confusing, kwa wale tusiokuwa huko Kiteto, ingawa tuko very grateful nazo,

Kumbe mkuu ulikuwa hujui kuwa Yesu, alikuwa mtoto wa nje? Alichopungukiwa kilikuwa ni kipi ambacho wewe mtoto wa ndani unacho?


By the way kuzaliwa na mama wa ndani ambaye ni malaya anayeiba nje ya mumewe kama baadhi yetu hapa ni bora zaidi au!
 
ndiyo hivyo.. maana tuliambiwa kulikuwa na ushahidi wa kutosha kule Kigoma lakini ikawa kimya.. sasa haya ya Kiteto kama ni kushinda, wapinzani watashinda bila kulia lia.. ama sivyo wanaweza kujikuta wanafunguliwa tovuti yao wenyewe..


Tanzania na Siasa za kufikirika "Virtual Politics"; wewe mzee Malechela na Heshima yake,,, akae vikao vya kuiba kura!!! Mzee ambaye amewahi kupewa heshima kubwa!!!!
 
Kasheshe
Ndiyo maana akaitwa tingatinga kwa ushujaa wa wizi wa kura . Amekuwa anakisaidia chama kwa uovu wa aina hii . Nani asiyejua ? baridi walipiga hata watu kwa Amri yake kule kwa Cheo umesha sahau ? Jina Tingatinga means hodari wa kazi hii ya wizi na fujo kenye kampeni .
 
Kasheshe
Ndiyo maana akaitwa tingatinga kwa ushujaa wa wizi wa kura . Amekuwa anakisaidia chama kwa uovu wa aina hii . Nani asiyejua ? baridi walipiga hata watu kwa Amri yake kule kwa Cheo umesha sahau ? Jina Tingatinga means hodari wa kazi hii ya wizi na fujo kenye kampeni .

POLE,
CHANZO CHA TINGA TINGA, NI KWAMBA YEYE ANAWASAIDIA WENZAKE KUPATA UBUNGE, URAIS ETC... BUT YEYE MWENYEWE HAPEWI... NA HII ILITOKEA KIPINDI AKITAKA YEYE APITISHWE KAMA MGOMBEA URAIS...

ACHA KUDANGANYA WATANZANIA WENZAKO KWA MAMBO YALIYO WAZI!!!


Ili uelewe zaidi ni kwamba tingatinga[bulldozer] linajenga barabara, ikishaisha haliruhusiwe kupita kwenye barabara!
 
Mkuu Kieleweke,

Heshima mbele mkuu, endelea kutuhabarisha yanyojiri huko mkuu, we are very anxious kujua kinachoendelea huko, ukipata nafasi tuhabarishe mkuu japo line moja tu maana tunajua kuwa umeme huko utakuwa na noma kidogo!

Kazi njema!
 
Yaani unamwagia sifa Malecela kwa uharamia anao endesha ama mimi sijaelewa ? Hivi huyu watamtumia hadi lini ?Kama CCM ni safi na inafanya wayatakayo wananchi kwa nini kununua kadi zao za kupigia na kufanya uharamamia kama ulivyo sema hapo juu ?Kukubalika kwa CCM ni kupi sasa kwa wananchi kwa tabia hizi ?

Mkuu Lunyungu,

Ungeandika hoja yako kama hapo juu ungepoteza nini? Wakati mwingine personal attacks zinaua hoja kuliko kuijenga.

Nimeondoa sehemu ya kwanza ambayo naona imeharibu maana nzima ya nguvu ya hoja yako.
 
Mkuu Mtanzania,

Usiwe na hofu mkuu, unajua habari za kuokota vijiweni bila ya kuwa na ukweli, ni vyema kuuliza ukaelezwa ukweli kuliko kujifanya kujua wakati hujui, maana sasa watu wanatafuta za kweli na kuzimwaga kama zilivyo kwa wanaohusika hapa JF,

Na pia kuna mwingine walimpa break wiki iliyopita hapa, wanajua kwamba amebadili jina tayari, amekuwa akiropoka sumu hapa kwa muda mrefu na mara ya mwisho ilikuwa last two weeeks, lakini sasa wanamsubiri ili wamfunue hapa kwanza, halafu wamfahamishe mkewe tabia zake za ku-cheat na mwanamama mmoja pale wa ubalozi wa Botswana, maana mkewe anafahamika kwa kumtwanga vibao kila wakati,

Kwa hiyo mkuu wala usiwe na hofu na habari za vijiweni mkuu maana kwenye siasa watu wamesikia mengi sana, isipokuwa huwa wanachagua ya kujibu, tena on the right time, mengine huwa wanaachia tu, ila sasa kazi maana watu wazima hawatishiani nyau hufanya kweli!

Mkuu Mtanzania, everything is under control na kumkoma nyani mbele tena mpaka giladi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom