Uchaguzi wa Jimbo la Uzini LEO

Ina maana hakuna mwa jf huko atupe pamoja na mambo mengine ila pia na majina ya hao wanaogombea!
Wana JF visiwani ni wachache sana, si unajua tena mambo ya teknolojia. Hao wachache waliopo wamerundikana pale Mji Mkongwe na kidogo Darajani. Ukienda Uzini, Kibandamaiti, Mchambawima na kwingineko watu sio wafuatiliaji wa JF.

Subiri Arumeru kazi ianze ndio utaona JF ni noma, hadi akina Msekwa wanaisingizia ni ya CDM kwa jinsi watu wanavyorusha news na mapicha
 
Hapo ndiyo kivumbi kipo, hali itakuwa tete.
 
Uchaguzi ktk jimbo Uzini unafanyika leo Jumapili Feb. 12. 2012
Vyama vitano vinashiriki ie CHADEMA, CUF, CCM TADEA na ...

Tunaomba walioko huko watupe Update za kinacho endelea

Asante naomba kuwasilisha

kila la heri cccm chama imara,kisichohamasisha vurugu na kinachothamini watanzania wote.viva ccm!
 
Wana JF visiwani ni wachache sana, si unajua tena mambo ya teknolojia. Hao wachache waliopo wamerundikana pale Mji Mkongwe na kidogo Darajani. Ukienda Uzini, Kibandamaiti, Mchambawima na kwingineko watu sio wafuatiliaji wa JF.

Subiri Arumeru kazi ianze ndio utaona JF ni noma, hadi akina Msekwa wanaisingizia ni ya CDM kwa jinsi watu wanavyorusha news na mapicha

Wacha kuleta maneno makavu makavu ambayo hayana ushahidi wowote! Mimi binafsi nipo katika kijiji ambacho hakizidi watu 2000 na wapo watu zaidi ya 100 wapo kwenye mitandao ya kuchat na kupata habari ikiwemo JF, FB, TWITTER na mengineyo. Tatizo kubwa wanaona ndani ya JF habari nyingi zinaikweza na kuisifia CHADEMA ndio maana hawana hamu nao huu mtandao!
 
Wazenji Mdebwedo hajui kubofya keyboard za computer!

Keyboard za Computer hawawezi kuzibofya lakini mambo mengine wanajua kuyachakachua maana wadada wa Kibongo wakisikia kama Kidume hichi kinatoka Zenj hususan Pemba wanakua wapo hoiiiiiiiiii! Inaonekana Wapemba wapo juu zaidi kwa 'Kazi' za usiku ingawa kwenye keyboard wapo nyuma kama alivyosema!
 
Nadhani mtandao wa tiGo wazenj wako juu
 
Huu Uchaguzi hatukupata Habari zozote ni kwasababu ilikuwa ni Visiwani Pemba? Hii inaonyesha jinsi Uduni wa waandishi wetu wa habari Ufinyu wa fedha, Ufinyu wa habari ni lazima waambiwe hawana utafiti wowote kwahiyo habari sio news break kila mtu anaandika hicho hicho, na magazeti ni tofauti - wamechoka angalia mgomo wa Madaktari Waandishi wetu hawakuwa wachunguzi wa kupata mpya

Walikuwa tu wanasema kiongozi wa Madaktari kajificha, hawajui sababu na hawajua madai ila wote wako upade wa kusikiliza serikali itasema nini; Oh RAIS, kaondoka kaacha Mgomo as if RAIS ndio mtu pekee atayesuluhisha masuala hayo...

Tunasikitisha Sana

Hakuna waandishi wa habari TZ. Nikikumbuka walivyokatazwa kuingia na vitendea kazi kwenye mkutano na yule mwarabu wa Dowans,uwa napata tabu kuamini kama tuna waandishi wa habari walio makini.

Kama ulivyosema mkuu,yaani kwa magazeti yetu,ukisoma gazeti moja tu ni sawa na umesoma magazeti yote ya siku hiyo.

Pia habari ya kuhitaji mwendelezo hata siku moja huwezi kuipata. Mfano,siku za nyuma kuna mwili wa mzungu ulikutwa kwenye fukwe za bahari,ikaripotiwa kwamba mwili ulichukuliwa na polisi. Lakini nini kilichoendelea,hadi leo sijawahi kusikia.

Aarrgghh!
 
Uzini na uzinifu ni mapacha? Jimbo la uzini na jimbo la uzinifu/wazinifu sio rahisi kwa chadema kushinda
 
Chance ya CDM kushinda huko ikoje?

chance ni ndogo

wanachoma makanisa dola iko kimya.

wanawanasema CDM ni chama cha kanisa dola iko kimya na wala haikifuti kama ingekuwa kweli ni chama cha kanisa.

CUF wanasema chama cha msikiti kimesalimu amri.

Ushindi wa CCM umejijenga katika propaganda hizi hadi pale watanzania watakapofunguka kutoka utumwani.
 
Hayo ndio majina ya kizanzibari kama Faki, mfereji wa wima, mchamba wima, dole n.k

Kisiwa ndui, mwana kwelekwe! Ushindi utaenda kwa vyama vinavyotambulika Zanzibar kwa muda mrefu na si vile vilivyoenda kujitambulisha kuwa navyo vimo!
 
Keyboard za Computer hawawezi kuzibofya lakini mambo mengine wanajua kuyachakachua maana wadada wa Kibongo wakisikia kama Kidume hichi kinatoka Zenj hususan Pemba wanakua wapo hoiiiiiiiiii! Inaonekana Wapemba wapo juu zaidi kwa 'Kazi' za usiku ingawa kwenye keyboard wapo nyuma kama alivyosema!
Kwa statement yako hii unadhihirisha jinsi mlivyo wajinga.
 
Back
Top Bottom