Uchaguzi wa jimbo la segerea kurudiwa?

Kesi ya Segerea si tatzo,je ya Arusha kwa mr Lema?kesho ndio HUKUMU!
PIA kesi ya maandamano kule arusha imeishia wap?na ya mbunge wa CUF TABORA?vp ile ya Mkuu wa Wilaya wa Igunga imeishaje?alipovuliwa MTANDIO?
 
Kuna kila dalili za kurudiwa kwa uchaguzi wa jimbo la segerea ni kutokana na kesi inaenda vizuri kwani mashaidi wanamkaanga makongoro mahanga kuna kila dalili za wazi aliyekuwa mgombea kwa tiketi ya chadema kushinda kesi hiyo wito wangu kwa makamanda wote tujitokeze kwa wingi kwenye kesi hili tuonyeshe nguvu ya umma kama kawaida
Nawasilisha.

Tena cha kushangaza ni kuwa mashahidi wa upande wa utetezi ndio wanaomkaanga zaidi Mahanga, sasa bila shaka hii ina ashiria kuanguka vibaya kwake, labda nguvu ya mafisadi itumike kwa wingi saana.
 
Mahanga safari hii hatoki, mahakama inatengua ushindi wake na kwa mara nyengine tena chadema tunarudi kilingeni na ccm. Sijui ccm watamleta nani, ingawa tuna uhakika jimbo tunalichukua, tunachosubiri ni ruling tu ya Jaji Prof. Juma.
 
Sidhani kama ni dume,wakishindwa kesi maana yake ni DUME WEZI Calculator :nod::nod:
 
ndiyo na ccm ndo fisi, nasi ni mikono hatudodoki ng'o. labda mtupige kwanza na mabomu yenu ndo iwe rahisi kwenu kusepa nasi, lakini safari hii tupo ngangali. maana sisi tuna mungu aliye weka hiyo mikono. Na mkome kuinyemelea kwenye masanduku pia.....
 
Huwezi jua hawa majaji walioteuliwa miezi 8 nane iliopita hawaaminiki, wengi hawana uzoefu ktk judicial system ingawa ni wahitimu wa fani ya sheria.Fatilia yule jaji wa kesi ya jimbo la kigoma mjini ambaye hajawahi kuwa hakimu zaidi ya kuwa kwny tume ya taifa ya uchaguzi
 
CCM wameamua kuchakachua Majaji na Mahakimu ili kuepusha aibu zaidi!!! Hakuna Mbunge wa CCM atakaye vuliwa ubunge wake hadi 2015 maana wanajua CHADEMA wanaweza wakachukua kiti hicho. Niliambiwa na rafiki yangu mmoja kwenye CCM kuwa sasa wanaenda na falsafa ya "heri nusu shari kuliko shari kamili"!!!
 
Nimeamini kweli upumbavu wa Mungu ndo akili ya mwanadamu. Walivyojifanya wanadhurumu haki za wapigakura Mungu alijifanya mjinga kumbe ni ili watu wengi waweze kuwa na ufahamu wa kujua haki zao. Mungu tunakushukuru. Unabii unatimia kuwa Mungu ameshuka baada ya vilio vya watz kutoboa mbingu.
Kabla ya yote tubu kwanza, kama ulisema usilolijua, kwa hayo uliyosema hapo kwenye red ambayo sithubutu hata kuyanukuu.
 
Katika maongezi yetu yasiyo rasmi,kamanda Mpendazoe nae aligusia hili kuwa jamaa MM kabanwa vibaya.
 
Back
Top Bottom