ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
safari waliojiandikisha ni wale wale; hivyo kubwa ni nani anajitokeza kupiga kura.
Mwaka mmoja baada ya uchaguzi mengi yametokea. kuna waliotimiza miaka 18, kuna waliokufa na kuna waliopoteza vitambulisho vyao vya kupiga kura.
NEC kuruhusu uchaguzi kufanyika bila kuhakiki daftari la wapiga kura IGUNGA, ni njama ya kukwamisha wengi kupiga kura.
inawezekana watakaojitokeza wakawa wachache zaidi ukilinganisha na mwaka jana