Uchaguzi wa Igunga haukuwa huru na wa haki! - Freeman Mbowe

Kwahiyo tukusaidieje? Natumaini umefikiri vizuri kabla ya kuitoa hii so naheshimu mtazamo wako!
 
Mimi nadhani tusimshutumu Mbowe eti siasa uchwara. Ni nani asiyejua kuwa CCM walisubiri uchaguzi ukaribie ndiyo wagawe msaada wa chakula kwa watu wa Igunga. Hiyo ni rushwa ya mchana kweupe. Hata kama hawaku-itend itumike kama rushwa mtu yeyote mwenye akili timamu atajua kuwa timing ya huo msaada, yaani siku mbili au moja kabla ya Uchaguzi ilikuwa na nia ya kuwarubuni wananchi ili waipe CCM kura.!
 
Sasa ayo ni kauli mbiu yetu CDM? Manake tulishindwa urais uchaguzi mkuu Kiongozi wetu hakusaini, Igunga nako Kashindye hakusaini je baada ya nguvu ya Umma, hakuna kulala mpka kieleweke sasa tuongezee hiyo?

Unajua maana ya Signature??
Hawawezi kukubaliana na upuuzi.

Kazi mojawapo ya tume ni kuhakikisha watu wanapiga kura. Sasa iwaje hata nusu ya wapiga kura haikufika?
Then unataka asaini ushuzi huo???
 
inawezekana wewe ndiyo mkeo alingonoka na mwigulu! mtafute mwigulu kama unadhani mshiko aliokukatia haulingani na alivyokudhalilisha! ya cdm waachie wale wapigakura zaidi ya 23000.
Naona wewe ndo Mama Mbowe mdogo , haya endelea kujibu maswali yanayomhusu, ehe leo atatoka na nani ww au bi-mkubwa?
 
watu wenye akiji maji kama wewe hawastahili kuwa CDM

wewe nenda kiongozi wako wa kidini akuelekeze siasa
 
Angalia sababu wanazotoa ndio uje na sredi, usitujazie page bana!! Nape katangaza matokeo kabla ya Nec, ungekuwa wewe kwenye ile nafasi ungesain??
 
Huo ni upumbavu wa cdm,washakuwa na tradtion ya kugomea matokeo.hayo magwanda yanawaondolea akili ya kufikiria kimantiki
 
kama alivyosema mchangiaji mmoja kwani hakukuwa na kipindi cha kuuliza maswali? huo upuuzi wako tafuta pa kuupeleka leo niko tayari hata kwa ban kwa maumivu niliyonayo
 
Sasa ayo ni kauli mbiu yetu CDM? Manake tulishindwa urais uchaguzi mkuu Kiongozi wetu hakusaini, Igunga nako Kashindye hakusaini je baada ya nguvu ya Umma, hakuna kulala mpka kieleweke sasa tuongezee hiyo?
na-dedicate ushindi kwa TUME YA CCM, Serikali ya CCM kwa Kugawa Mahindi wakati wa kampeni kwa kisingizio eti kutibu njaa Igunga, pia kwa Vyombo vya Dola kwa kazi nzuri kuhakikisha Jimbo linarudi mikononi mwa waporaji wa raslimali za nchi hii.

Kuna njaa sana Wilaya ya Sikonge Tabora, tena jirani sana na Igunga mbona hawajagawa hata roba moja la mahindi? - huu ni upuuzi mtupu. CDM nyie ndio washindi wa uchaguzi huu, mmefanya kazi kwa mazingira magumu sana. Puuzeni matokeo ya Tume ya CCM ya uchaguzi.
 
Jana usiku katika kipindi cha "CHANNEL TEN ON MONDAY" nilimsikiliza Mhe. Mbowe akijibu maswali ya jinsi gani walivyopokea matokeo ya Igunga na haya yalikuwa miongoni mwa majibu yake.
Hawakubaliani na matokeo kwa sababu ya kasoro kadha wa kadha kama ifuatavyo:
Tume ya uchaguzi siyo huru
CCM waliwarubuni wananchi kwa kugawa vyakula na maji kwa madai kwamba ni serikali inatekeleza kazi zake
Baadhi ya watu walizuiwa kupiga kura kwa vile hawakua na shahada za kura
Vyombo vya dola hususani Polisi na TAKUKURU hawakuwasiliza walipotoa malalamiko yao
CCM walitoa rushwa kwa kugawa pesa hazarani.
Hebu Mhe. MBOWE tupatie majibu ya Maswali haya ili tukubaliane na madai yako kabala na wewe hatujakuweka kwenye kundi la siasa za uchwara:
madai ya tume kutokuwa huru huja baada kushindwa tu au hata pale mnaposhinda?
Kama vijana wako waliweza kumshambulia Kiongozi wa Serikali (DC) , walishindwa nini kuwadhibiti wana CCM waliokuwa wakigawa pesa , vyakula na maji tena hadharani huku wakijua wanatenda kosa?
Barua mlizowaandikia TAKUKURU, na Polisi kuwaeleza ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ziko wapi? mbona cdm tunawaamini kwa uwasilishaji wa document?
CDM mlikiri wenyewe kuwa mliingiza vijana zaidi ya 2000 IGUNGA kulinda kura, je mlitaka tume ya uchaguzi iruhusu watu kupiga kura ili vijana hao wapige kura?

Sababu hazina mashiko jamaa ameanza kujitetea ili wasimfukuze kwani chama kimekosa mvuto. Kwenye matokeo ya udiwani wa viti 22, CCM wamepata 17 , CDM 5 tu. Na ccm wameshinda udiwani kwenye ngome za CDM kama Rorya, Tarime na Moshi. Hapo utaanza kujua jamaa umaarufu kwishnei
 
na dedicate ushindi kwa TUME YA CCM, Serikali ya CCM (Kugawa Mahindi wakati wa kampeni) na Vyombo vya Dola kwa kazi nzuri kuhakikisha Jimbo linarudi mikononi mwa waporaji wa raslimali za nchi hii.

Kuna njaa sana Wilaya ya Sikonge huko huko Tabora, mbona hawajagawa hata roba moja la mahindi - huu ni upuuzi mtupu. CDM nyie ndio washindi wa uchaguzi huu, mmefanya kazi kwa mazingira magumu sana.

we ndo una tope kichwan!be contingent kjana
 
Huo ni upumbavu wa cdm,washakuwa na tradtion ya kugomea matokeo.hayo magwanda yanawaondolea akili ya kufikiria kimantiki
acha ujinga wewe ushakuwa mtu mzima, we uliona wapi mahindi yanagawiwa wakati wa kampeni? mbona wilaya zote tabora zina njaa wameiona igunga tu, sasa tuone kama wataendelea kugawa zaidi.
 
Sababu hazina mashiko jamaa ameanza kujitetea ili wasimfukuze kwani chama kimekosa mvuto. Kwenye matokeo ya udiwani wa viti 22, CCM wamepata 17 , CDM 5 tu. Na ccm wameshinda udiwani kwenye ngome za CDM kama Rorya, Tarime na Moshi. Hapo utaanza kujua jamaa umaarufu kwishnei

Moshi jimbo gani wewe Kilaza?
 
na-dedicate ushindi kwa TUME YA CCM, Serikali ya CCM kwa Kugawa Mahindi wakati wa kampeni kwa kisingizio eti kutibu njaa Igunga, pia kwa Vyombo vya Dola kwa kazi nzuri kuhakikisha Jimbo linarudi mikononi mwa waporaji wa raslimali za nchi hii.

Kuna njaa sana Wilaya ya Sikonge Tabora, tena jirani sana na Igunga mbona hawajagawa hata roba moja la mahindi? - huu ni upuuzi mtupu. CDM nyie ndio washindi wa uchaguzi huu, mmefanya kazi kwa mazingira magumu sana. Puuzeni matokeo ya Tume ya CCM ya uchaguzi.

Wameshinda uchaguzi wa wapi ? kuna jimbo linaitwa Igunga huko Kenya nadhani wameshinda huko sio tz
 
Sababu hazina mashiko jamaa ameanza kujitetea ili wasimfukuze kwani chama kimekosa mvuto. Kwenye matokeo ya udiwani wa viti 22, CCM wamepata 17 , CDM 5 tu. Na ccm wameshinda udiwani kwenye ngome za CDM kama Rorya, Tarime na Moshi. Hapo utaanza kujua jamaa umaarufu kwishnei
toka lini CDM akawekeza kwa Diwani?????????
 
acha ujinga wewe ushakuwa mtu mzima, we uliona wapi mahindi yanagawiwa wakati wa kampeni? mbona wilaya zote tabora zina njaa wameiona igunga tu, sasa tuone kama wataendelea kugawa zaidi.

Mbowe mwenyewe kwenye mikutano yake alikubaliana na serikali vyakula vigawiwe, ww km nani ndani ya cdm kama bwana yenu ameisha kubali
 
Back
Top Bottom