Uchaguzi wa CCM Monduli ni lini?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Nategemea watu wa Arusha/Monduli watakuwa wanalijua vizuri hili. Hivi uchaguzi wa CCM wilayani Monduli ni lini? Pia, vipi duru za kisiasa huko, nani anapewa nafasi kubwa ya kuwa MNEC wilayan Monduli?
 
Naona kama wewe ndiye unapewa nafasi kubwa
 
Back
Top Bottom