Elections 2010 Uchaguzi Viti Maalum Chadema Wakwama

OMG.... WTF.... KMA!!!!!

Kitila na wenzako, this is not good aisee, hebu wekeni mambo sawa na muwe organized; chadema sasa ni another level kwahiyo wekeni vitu sawa. Ikibidi ajirini full time people wawafanyie protocol and procedure management na kama mnao watoeni muweke wengine hao wamefeli!! hatujasahau ya kule kusini mlivyotolewa kwenye uchaguzi, fomu imechukuliwa kabla ya confirmation ya mgombea

WE LOOK TO YOU FOR QUALITY, CHANGE NOW!!!

Hii ni dhahiri kuwa Chadema kama chama bado hakijawa tayari kutawala

Kuichagua Chadema kwa namna ilivyo sasa ni kuiweka nchi katika ombwe kubwa zaidi la utawala kuliko ilivyo sasa.
 
Ni muhimu mkiti kuingilia mahali popote mambo yanapoenda kombo. CHADEMA ni chama kichanga hivyo ni lazima kukumbwa na misukosuko kwani ndio kukomaa kwenyewe. Msikata tamaa ndio kazi imeanza tena.
 
@ Njori
Sophia Simba walipotwangana Ngumi na Mwenyekiti UWT-mkoa wa Dar es Salaam Janet walipeleka malalamiko yao kwa mwenyekiti wao Jakaya ilibidi akutane nao kuwasurihisha kwenye kikao chao kwa hiyo siyo chadema tuu waliomshirikisha mwenyekiti,pia ni vizuri mtu au chama kinapokiri mapungufu manake inakuwa ni sehemu ya kutafuta njia ya kujisahihisha kwa hiyo hakuna kosa kueleza umma ukweli ulivyo kwenye katiba yao
 
Sasa ndo nimeelewa,kumbe tatizo sio CCM au CHADEMA..Tatizo hii MIAFRIKA,MIAFRIKA PUMBAFUU SANAAA...MIAAFRIKA JAMANI MWE!!
 
Kama alivyosema Dr Slaa marupurupu ya wabunge ni makubwa sana, wekeni kanuni mbunge wa CHADEMA atoe 50% ya marupurupu yake kwa ajili ya shughuli za uhai wa chama tuone ni wangapi bado watataka huo ubunge.

weka sawa iwe hivi "... tuone wangapi watautaka huo ubunge KUPITIA CHADEMA"
 
TZ wengi wanatafuta njaa, ni wachache wenye nia njema na Tz. Nafikiri Dr Slaa anaweza kusimama katika misingi ya haki kitu ambacho watu wenye nia njema wana la kuiga ili watende haki na kutetea ukweli.
 
Dr Mkumbo alishindwa kweli kusimamia mkutano na kuhakikisha maadili ya chama yanafuatwa? Kama hawezi kusimamia mkutano ataweza makubwa zaidi huko mbele? Au amefanya makusudi? Ni lazima kujiuliza.

Dr Mkumbo, we judge people by the results of their work.

CHADEMA iwe macho sana.
 
Dr Mkumbo alishindwa kweli kusimamia mkutano na kuhakikisha maadili ya chama yanafuatwa? Kama hawezi kusimamia mkutano ataweza makubwa zaidi huko mbele? Au amefanya makusudi? Ni lazima kujiuliza.

Dr Mkumbo, we judge people by the results of their work.

CHADEMA iwe macho sana.
Mwalimu,
Huko Dodoma CCM wameahirisha mkutano wa CC kutokana na kashfa za matokeo ya kura za maoni..lakini hawa jamaa hawazungumzii kama hili ni swala zito kuliko hilo la Chadema na viti maalum.

Sasa Chadema wameweza kuzuia kabla kura hazijapigwa, lakini CCM walioruhusu ufisadi mkubwa kutumika wakati wote na hata kufikia kutaka kupangua matokeo hawana hatia ama mapungufu ya kuongoza nchi isipokuwa Chadema waliozuia kitu kabla haijafikia mahala pabaya.
A good leader nadhani ni yule anayegundua uchafu mapema na kuufagia kabla ya kupanga vitu mezani...
 
Back
Top Bottom