Uchaguzi UVCCM..Ally Hep Vs Sango: Mapandikizi ya Ridhiwani na Saanane

mjue kwamba mkakati wenu wa kuidhoofisha uvccm hautawezekana.na hili litaenda kamatiku ya ccm hakuna tena kuvuruga chaqguzi zetu.Ushahidi upo.mmeshindwa hata kubadili fomati ya tamko lako la uchaguzi wa bavicha na mantiki ile ile ndiyo mliyotumia kuandika tamko la sango na hasa kuitukana jumuiya ya vijana kuwa ya watoto wa vigogo.wewe ndio umekuwa mtumiajia mkuu wa hii misamiati.kamwe uvccm haichaguliwi viongozi na viajana wa bavicha na hata kama wanatishia kuhamia chadema.chama kinasafishwa kurudishwa katika mstari
Toa ushahidi ulio nao.Kama watu wanashindwa ku-face wenzao kwenye ballot box wasitafute excuse.Ni jambo la aibu sana baadhi ya wanasiasa vijana kufanya siasa za kuchafuana zilizopitwa na wakati.

No need for character assassins to continue to use pseudo names in making allegations against me or others that cannot be substantiated . No need for anyone to try to paint me or someone else black because they want people to believe that i'm bad or wicked.All their useless politicking will definitely not work since it has never worked.

ben! Bado tu unarumbana na brains ndogo kama hizi!

Buberwa,

Asante kaka.

Usipoweka rekodi sawa watu wanaweza kuaminisha watu uwongo.I really pity him for I could see the anguish in his mind as he was pouring out his rage.These unpatriotic elements flavour their resolve with some laughable condiments. Reading them only evoke laughter and pity in view of the manifest failure of the intellect as well as the abundance of human inanities

Wanasiasa vijana wanatia aibu kutumia mbinu hii kudhoofisha wengine kisiasa.Ni tabia chafu sana.Watatue matatizo yao huko kwenye chama chao wanakogombania fito.Tuendelee kuijenga CHADEMA,Tusonge mbele kamanda!
 
uchaguzi wa uvccm umeanza kwa kuingiliwa na vyama nje ya ccm huku baadhi ya wanasiasa nje ya umoja wa vijana kupanga safu yao.ridhiwani anatuhumiwa kumpandikiza ally hepi aliyekuwa kiongozi wa DARUSO huku baadhi ya wanasiasa vijana nje ya CCM wakipandikiza wagombea wao kwa ustadi ndani ya jumuiya.Maandalizi ya kuchukua fomu hadi uandishi wa matamko yao na hata ufadhili unafanywa na baadhi ya watu kwa maslahi ambayo hayaendani na umoja wa vijana.

Hali hii inatishia uchaguzi huru na wa hakli kwa maslai ya baraza la vijana kwani madhumuni ya mipango hii hayajawekwa wazi.siasa za kuchafuana zinasukwa kwa ustadi mkubwa unaohusisha mbinu za kimafya jambo ambalo linakosesha haki kwa watoto wa wakulima wasio na watu wa kuwapigia vifua.hali ya mgawanyiko ndani ya chama ndiyo inayoendelea kukiumiza chama jambo lililotoa mwanya kwa vyama vya upinzani kujipenyeza na kuunga mkono baadhi ya wagombea kwa maslahi binafsi.

mkuu ben anaingiaje huko mortuary?
 
I think you should clap for yourself. However popular those words are. Those who uses them are silly and uncultured.Allegations without envidence!

To be candid with you,stop making silly political excuses.

Sina haja ya kupandikiza mtu UVCCM.Siwezi kumuondolea mashine ya oksijeni mgonjwa aliyeko ICU.Chama chenyewe kimeshakufa nijishughulishe nacho kwa nini.Naomba msinihusishe na hizo siasa zenu.Sipendi ujinga huu mnaofanya.Endeleeni kuchafuana huko vichochoroni

ya totaly ryt...waache na siasa uchwara zao, wakafie mbele
 
Back
Top Bottom