uchaguzi ubunge africa mashariki....mbona naona wabunge wengine english ngumu kuuongea

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
wadau leo nilikuwepo baa moja .....sinza naangalia presentation za c.v za wabunge wanaotaka ubunge africa mashariki ila tulikuwa tunaangalia wanavyoji presents .....ila mbona wengine naona kama english inawasumbua kuongea mi naona wachaguliwe watu ambao very competative
 
Back
Top Bottom