Elections 2010 Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA: Kujiandaa kuongoza?

Kwa ushauri kama huu tutaendelea kuchukua majimbo yetu yote na kubaki na viti sifuri vya upinzani.
 
mbona data nzito sana hizi mkuu shy? hizi data kama za ukweli si tunaweza kupeleka kwa nchi wadhamini hili waone misaada inavyo fujika bila huruma. cha ajabu mbona nchi zinaondamana raia wao wanapata ufumbuzi wa matatizo yao baada kuandamna.
na kama sisi raia tutaendelea kuwa kimya duniani nayo ndio inaona kwamba hatuna matatizo tanzania nchi yenye amani.kumbe ni amani inayotokana na uoga wa kudai haki yetu na sio amani ya uongozi ubora.
 
Ushauri ni Mzuri na utafanikiwa kama ni wamoja kwa CCM wana fedha zinawaweka wendawazimu wapinzani.
 
Duh ndugu yangu leo umesema kama nahisi kutetemeka hapa nilipo mzee wangu kuna kila haja ya kubadili mambo haya.
 
MMh nasikitika sana kweli fedha zote hizo situngekuwa peponi hakika hakuna mtoto angeandikia kwenye magati
 
Tafadhali iweke kwenye magazeti wananchi wote wasome na wajue hata wale waliopo vijijini wajue tamu na chungu.
 
(xvi) WILLIAM NGEREJA:
Ameeendela kulipotezea taifa Tsh 35,561,602,550/-Kwa mwaka kupitia kukumbatia ufisadi wa mikataba mibovu ya madini, utapeli wa vigogo wa TANESCO, DOWANS, IPTL, APR, KIWIRA POWER RESOURCE, SONGAS n.k.

hapa (bolded ,italized and underlined)zitto panamuhusu moja kwa moja!
sasa utamshauri nin juu ya hili wakati 'alishachukua chake mapema?'
zitto should go to hell!
 
Haijambo watz bongo mshafumbuka macho wasaidieni watu wa vijijini uko nasikia bado wanaamini kuwa nyerere yu hai, hivyo bado wanaamini kuwa ccm ni ileile ya nyerere.
 
Haijambo watz bongo mshafumbuka macho wasaidieni watu wa vijijini uko nasikia bado wanaamini kuwa nyerere yu hai, hivyo bado wanaamini kuwa ccm ni ileile ya nyerere.

HALAFU NA NINYI MRUDI NYUMBANI!sio mnapiga blah blah kwenye forums halafu hamna msaada wowote!ACHENI HIZO BANA.

kama mnaipenda tanzania,na mnaitakia mema kwanin msianzishe movement yenye akili mkaonekana?
 
Hivi huyu kweli SHY? Mhhhh!!!

Nahisi harufu ya SAULI kuwa Mtume Paulo.....
 
Tatizo la Chadema ni ubinafsi. Ni vigumu sana kukitoa madarakani CCM kwa style ya Chadema ya kujiona bora kuliko vyama vingine vya kambi ya upinzani. Achani tabia hizo na muungane na vyama vingine ili kuleta upinzani wa nguvu
 
Hapana kila Chama ni Kibinafsi, CCM wabinafsi, CUF, UDP wote ni wabinafsi hakuna asiye mbinafsi
 
Mwanafalsafa ukitaka nyeti za Mzee Slaa kaa na aidha Cardinal Pengo au Askofu Kilaini wakueleze vizuri,kama wakikubali waombe wakueleze ya Episcopal Council miaka ya 80 na early 90's.................etc.

P.S: Omuhaya ati 'Kitandugao'!!!!


Mkuu Bishanga.

Ni nani asiye na nyeti (maisha binafsi) ambayo yawezekana yasipendeze au kukubalika kwa wengine? Ni rais yupi au Mfarume yupi. Yawezekana ya Dr Slaa ni nafuu!!

Kila mtu (binadamu) ana mazuri na mapungufu yake. Je unazifahamu nyeti za Papa aliye madarakani sasa hivi? Fuatilia vizuri historia ya maisha yake ndipo umjadiri Dr. Slaa.

Dr Slaa ni binadamu kama wewe na mimi na kama yeyote mwingine.

Wanaopendekeza agombee urais TZ, wamemwangalia kama Dr Slaa tuliyenaye sasa na wamezingatia kuwa ni binadamu kama wengine.

"Kibakyamulugileho"
 
Back
Top Bottom