tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Sasa huo uchanga na ukomavu wa JF unahusiana nini na mtu kuandika point au pumba?
Ukiwa mchanga unaweza kufikiri kwamba kila unachofikiria basi unakipost jamvini.
Sasa huo uchanga na ukomavu wa JF unahusiana nini na mtu kuandika point au pumba?