Uchaguzi Mkuu Congo: nani Rais wa halali kati ya Kabila na Tshisekedi?

Joseph Kabila ni mtaalam wa kuchakachua yule. Huyo Chisekeli aliye tu.
 
Wakongo wanamwita Kabila ni imported presida toka tanzania, akishindwa tunamkaribisha tzo aje ajaribu maana huku nothing is impossible.
 
Kwa vile dogo alikulia TZ atakuwa amekwisha fanyiwa orientation na wataalam wa kuchakachua matokea,hivyo kufumba na kufumbua utasikia kibao kimegeuka na kuonyesha Kabila anaongoza.
 
Wana JF,

Nimebahatika kupata matokeo yasiyo rasmi ya awali katika Uchaguzi Mkuu wa DRC.

Hali inaonekana kuwa mbaya kwa Rais Kabila.

Source: RADIO VATICAN.
Date: 30 Novemba 2011

KABILATSHISEKEDI
JIMBO%%
Kinshasa1174
North Kivu3627
South Kivu2720
Maniema4845
Katanga4241
Bas Congo1169
Bandundu2759
Orientale3936
Kasai Occidental589
Kasai Oriental787
Equateur2550
JUMLA25.4954.27

Tunao vijana wetu huko wanatoa ile huduma pekee ambayo Tannzania tunajivunia kuwa mahiri wake. Wataweka mambo sawa si muda mrefu. Soma hapa chini!

....Kutokana na halihalisi ya mambo tumelazimika kweka kambi makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa kazi moja tu ya kubadili matokeo, nitawaomba niwape habari baada ya kutangazwa matokeo ila kwa wale wana jf mliopo Congo naomba endeleeni kutoa matokeo!
 
_56962970_jtr3l096.jpg


Mr Tshisekedi has expressed fears that the poll will be rigged in favor of incumbent Mr Kabila


_56962906_xlnr9jti.jpg


Police prevented Mr. Tshisekedi's entourage from leaving N'Djili airport, resulting in a tense standoff




_56962949_jhzeeau3.jpg




_56962955_cuism9yx.jpg




_56962952_cmqddtl1.jpg




_56962968_bgnaebe1.jpg
 
Tunao vijana wetu huko wanatoa ile huduma pekee ambayo Tannzania tunajivunia kuwa mahiri wake. Wataweka mambo sawa si muda mrefu. Soma hapa chini!
Hizi ni propaganda za wafasi wa tshisekedi. Ina maana kina Kendo na Kamerhe hawakupigiwa kura? Cheki mkutano wa Kamerhe Bukavu:
Meeting Populaire UNC.jpg
 
Nipo kinshasa kusimamia uchaguzi hapa kongo! Hali ya usalama ni nzuri na watu wanaendelea kupiga kura bila hofu yoyote!

Nitawajuza kila kitu kitakachoendelea hapa Kongo!!

Updates:
Nipo jimbo la Katanga mida hii watu bado wapo kwenye vituo na upigwaji wa kura unaendele na sijajua saa ngapi utaisha!
Kulikuwa na rabsha za hapa na pale kule kinshasa lakini mungu anasaidia vikosi vya usalama viko imara, binafsi kwa mtazamo wa wapigakura japo kuhesabiwa kura bado taswira nyingi za wakongomani zinatoa ushindi kwa Kabila!

Uwepo wangu huku ni kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha Joseph Kabila anashinda hiyo ni kwa mujibu wa agizo la magogoni!

Ningewapa picha ila mtanisamehe hii ni kwa mjibu wa taratibu za kazi yangu ya kiusalama japo ninasimu yenye kamera!
Endelea kufuatilia kila hatua ya kumrudisha madarakani kabila!!

UPDATES

Naaam ndugu wanajf niasubuhi kumekucha pilika ni nyingi hapa kongo, hali ya usalama siyo mbaya japo jana mapigano ya ghafla yalizuka na kusababisha watu watano kupoteza maisha kule kinshasa!

Shuguli za kuhesabu kura zinaendelea katika vituo karibu vyote!

Mida ya saa nne na nusu asubuhi za hapa nitalazimika kurudi kinshasa kwa mkutano wa dharura na Kabila! Usi log off jf upate yatakakuwa yameongelewa!

Updates
Jana majira ya saa sita kasoro maafisa usalama toka tz tulikutana mgombea wa upinzani ndugu Etienne Tshisekedi kutaka kujua mtazamo wake kuhusu uchaguzi na matokeo yajayo! Kwa hakika alionyesha kujiamini na akatuahidi kuyapokea matokeo yoyote yale ya haki. Ingawa aliosha kulalamikia dalili za hujuma ambozo ni kweli zipo, hakusema atapinga matokeo.

UPDATES

Mtanisame net inasumbua sana hapa!
Kwa wale wenye kubeza siwashangai kwakuwa nililitarajia hili! Naamini wengi hamjui misheni za kiusalama!
Kuna haja ya kuanzisha mafunzo hapa jf ili kupunguza ubishi usio na maana!

Kutokana na halihalisi ya mambo tumelazimika kweka kambi makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa kazi moja tu ya kubadili matokeo, nitawaomba niwape habari baada ya kutangazwa matokeo ila kwa wale wana jf mliopo Congo naomba endeleeni kutoa matokeo!
Sawa mkuu, mie ni mmoja wa waliobishi. Basi nimeamini! endelea kutujuza! hii ndiyo africa.
 
I hope watemdaji wetu wa TISS wa watakuwa wamepata ulaji kwenye dili la Chakachua huko Dr Congo. tatizo la chaguzi zetu ni kwamba wengi wetu tunagombea nafasi za kazi badala ya nafasi za uongozi. Ndiyo maana mtu kushindwa uchaguzi anaona kama amefutwa kazi ni lazima atetee unga for tooth and nails, especially if he is in the job already(waliopo madarakani).
 
ikiwa ni asilimia 15 ya kula zimeshahesabiwa kabila anaongoza kwa kura mil 1.52 ambayo ni asilimia 52. mpinzani wake hadi sasa amepata kura 977400. Mia
 
Drc joseph kabila atashinda kwa zaidi ya asilimia 60,wala usiwe na wasi mkuu kabila atashnda kihalali kabisa,anakubalika mno huko drc,ktk kipindi kifupi alichotawala amefanya makubwa sana,ila lile li nchikubwa mno,atashinda kabila hakuna mwengine.
 
Lzm ashinde unafanya mchezo na ccm nin??

Unafikiri wale wanajeshi wa tz walienda buree
 
UPDATES

Wana jf upepo unakwenda vema baada ya kuubadili mwelekeo, ikiwa ni tayari 25% ya kura zote zimeshahesabiwa Mr Kabila anaongoza kwa asilimia 58 dhidi ya wapinzani wake akiwa na kura 1.86milioni!
Kwa mda wa siku mbili hali ilikuwa tete kidogo baada ya mkuu wa tume kuonyesha kusimamia haki huku ikulu ya kinshasa ikishinikiza matakwa yake!
Vuteni subira lakini hiyo ndiyo hali halisi ya Uchaguzi hapa ba Kongo!
 
Back
Top Bottom