Uchaguzi Mkuu Congo: nani Rais wa halali kati ya Kabila na Tshisekedi?

Sawa Mkuu...Wenzangu wameenda kuhojiana na mwami kazi wa bukavu...Ukizingatia alihusika sana wkaati wa kufungua mgodi wa kwanza wa dhahabu wa Banro.Atahusika sana kama wakimpeleka kwenye media kwa ushawishi wa juu ya kabila mission ya mataifa mengi ya ukanda wa east and central africa wangependa kabilla apite...

Ila mie naweza toka uku before hakujaripuka .

Ni vizur ukakimbia kabda hayajaanza huko Eastern ndio machafuko yanapoanzia. Tuuombee uchaguzi uishe kwa Amani.
 
Kumbe ni hatua za kumrudisha madarakani Rais kabila na sio uchaguzi? Mhhh!!!
 
Updates

Naaaam nakaribia Kinshasa tayari kwa mkutano na Mr Kabila.
Ninawaomba muwe wavumilivu nitawahabarisha kilicho ongelewa baada ya mkutano wetu!
 
Matokeo ya awali upande wa mashariki mwa congo Kamele..yuko vizuri...Bore bore,Nia Nia,Bunia, Makapela.....
 
Tanzania tuko bize na Congo toka kitambo nakumbuka wanajeshi wasiopungua 300 waliendaga enzi za kabila baba mtu.
Mkuu kumbuka kurudi na AK47 au hata kapisto ka kiushikaji kale nilikokuja nako last time kananizingua.
 
Population.JPG With an estimated population of 71 million, DR Congo is the fourth most populous country in Africa. Some 35% of the population live in cities and the capital Kinshasa is by far the largest, with more than 8 million inhabitants. DR Congo has around 200 ethnic identities with the majority of people belonging to the Kongo, Luba and Mongo groups
 
Life Expentancy.JPG
Given its size and resources DR Congo should be a prosperous country, but years of war, corruption and economic mismanagement have left it desperately poor. In 2011 it lags far behind in many key development indicators, with average life expectancy increasing by only 2 years since 1980, after a period when it actually fell during the mid 1990s.
 
Mineral Wearth.JPG
DR Congo has abundant mineral wealth. It has more than 70% of the world's coltan, used to make vital components of mobile phones, 30% of the planet's diamond reserves and vast deposits of cobalt, copper and bauxite. This wealth however has attracted looters and fuelled the country's civil war.
 
Matokeo ya awali upande wa mashariki mwa congo Kamele..yuko vizuri...Bore bore,Nia Nia,Bunia, Makapela.....
Asante sana mkuu nakuomba endelea kuwajuza wana jf hali ya mambo inavyokwenda hapa kongo, nitaungana na wewe baada ya kumaliza kikao!
 
wadau naomba kwa yeyote mwenye update za uchaguzi uliofanyika Congo DRC matokeo yanaendeleaje? Nawasilisha hoja.
 
Nipo kinshasa kusimamia uchaguzi hapa kongo! Hali ya usalama ni nzuri na watu wanaendelea kupiga kura bila hofu yoyote!

Nitawajuza kila kitu kitakachoendelea hapa Kongo!!

Updates:
Nipo jimbo la Katanga mida hii watu bado wapo kwenye vituo na upigwaji wa kura unaendele na sijajua saa ngapi utaisha!
Kulikuwa na rabsha za hapa na pale kule kinshasa lakini mungu anasaidia vikosi vya usalama viko imara, binafsi kwa mtazamo wa wapigakura japo kuhesabiwa kura bado taswira nyingi za wakongomani zinatoa ushindi kwa Kabila!

Uwepo wangu huku ni kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha Joseph Kabila anashinda hiyo ni kwa mujibu wa agizo la magogoni!

Ningewapa picha ila mtanisamehe hii ni kwa mjibu wa taratibu za kazi yangu ya kiusalama japo ninasimu yenye kamera!
Endelea kufuatilia kila hatua ya kumrudisha madarakani kabila!!

UPDATES

Naaam ndugu wanajf niasubuhi kumekucha pilika ni nyingi hapa kongo, hali ya usalama siyo mbaya japo jana mapigano ya ghafla yalizuka na kusababisha watu watano kupoteza maisha kule kinshasa!

Shuguli za kuhesabu kura zinaendelea katika vituo karibu vyote!

Mida ya saa nne na nusu asubuhi za hapa nitalazimika kurudi kinshasa kwa mkutano wa dharura na Kabila! Usi log off jf upate yatakakuwa yameongelewa!

Updates
Jana majira ya saa sita kasoro maafisa usalama toka tz tulikutana mgombea wa upinzani ndugu Etienne Tshisekedi kutaka kujua mtazamo wake kuhusu uchaguzi na matokeo yajayo! Kwa hakika alionyesha kujiamini na akatuahidi kuyapokea matokeo yoyote yale ya haki. Ingawa aliosha kulalamikia dalili za hujuma ambozo ni kweli zipo, hakusema atapinga matokeo.
Jamaa wewe ni muogo!
 
wadau naomba kwa yeyote mwenye update za uchaguzi uliofanyika Congo DRC matokeo yanaendeleaje? Nawasilisha hoja.

Usisumbuke sana kama DRC iko Afrika matokeo yanajulikana hata kabla ya uchaguzi wenyewe.

Preliminary results so far Kinshasa...Etien Chisekedi amekamata kama 70% akifatiwa na Kamere then kabila....kumbuka haya ni matokeo ya awali....uku sasa upande wa mashariki...Victor Kamele bado anaongoza kwa sasa....lets wait.
 
Matokeo yanajulikana ni Kabila jamaa si kasema katumwa toka magogoni ahakikishe kabila anashinda sasa atahakikisha vipi ana shinda mikakati kibao imepangwa
 
Sasa Mkuu mbona unajiweka uchi namna hiyo? usalama wa Taifa waliokutuma si watakuwa washakujua jina lako halisi ni nani? maana umeweka hadi kituo chako ulichopo au unatudanganya kwenye jina la kituo?
Ila hakikisheni kweli kabila anarudi madarakani,hivi kwanini watanzania tusizitawale hizi nchi chovu zilizokuwepo hapa Afrika? Nalog off
 
Bila chenga jamaa ni kijana wa JK pale magogoni sasa maadili yanamkaba.
asije akaunguza picha au sio? ila kwa hayo maelezo yake kama yuko peke yake aliyetumwa huko kwenye huo mkoa aliousema basi ni rahisi kumjua yeye ni nani! Nalog off
 
Updates
Jana majira ya saa sita kasoro maafisa usalama toka tz tulikutana mgombea wa upinzani ndugu Etienne Tshisekedi kutaka kujua mtazamo wake kuhusu uchaguzi na matokeo yajayo! Kwa hakika alionyesha kujiamini na akatuahidi kuyapokea matokeo yoyote yale ya haki. Ingawa aliosha kulalamikia dalili za hujuma ambozo ni kweli zipo, hakusema atapinga matokeo.

Updates

Naaaam nakaribia Kinshasa tayari kwa mkutano na Mr Kabila.
Ninawaomba muwe wavumilivu nitawahabarisha kilicho ongelewa baada ya mkutano wetu!
magogoni au vichochoron,ww unadhani maafisa usalama huwa wanajitangaza kijinga hivvo kama ww,go to hell
 
Back
Top Bottom