Uchaguzi Mkuu 2010 bila Tume Huru TENA?

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
JF / Wanasiasa,

Mnalionaje hili, tunaingia tena katika uchaguzi Mkuu mwakani bila Tume Huru? ( Bara na Visiwani) hakutatokea tena malalamiko kama ya miaka ya nyuma baada ya chaguzi? Je kuna utata ngani kuwepo na tume ambayo kila kundi linaloingia kwenye uchaguzi Mkuu litaridhika kuwa limefanyikwa haki?
Vyama vya siasa vipi mmechoka kudai tume huru - au ni dalili za kukata tamaa? CUF, Chadema mi naona ndivyo vyama vyenye focus na vision vipi mnaingia hivyo hivyo na tume yetu hii iliyopo?


Natoa hoja.
 
Back
Top Bottom