Uchaguzi mdogo wanukia Sumbawanga Mjini

Bofya sehemu ambayo inasema post a new topic af andika kichwa cha habari af uanze kuflow.


Nilipitiwa kiongozi, asante kwa kurekebisha.
Badala ya kuandika ''topic'' nikaandika ''mesage''
Bila shaka kamanda kule Igunga amekupata
 
huyu alisema aesh alisema wazi kuwa kikwete ni MUNGU, yeye ni YESU KRISTO, na yule DIwanini ROHO MTAKATIFU, sasa mahakama imetengua ushindi wa YESU KRISTO!!!!!!!
laana hizi za kujiita Mungu zitawatafuna wote watatu, kwa kuwa sijamsikia kikwete akikana kuwa yeye si MUNGU kama alivyotajwa huko Sumbawanga, ni wakati muafaka wa yeye kukataa hili
Usitupe hasira na sisi tuende tukachome balozi za Waarabu!

Jua kwamba Dhambi ya kukashifu Roho Mtakatifu huwa Haisameheki
 
Kwani kawaida muda wa mwisho kukata rufaa toka hukumu ya mahakama kusomwa ni siku ngapi na katika hili la Sumbawanga mjini deadline ilikuwa lini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom