Uchaguzi mdogo wa serikali za mtaa jimbo la Ubungo leo

Mbusule

Member
Aug 2, 2011
87
83
Ndg wanaJF,
Kwa sasa nipo mtaa wa uchaguzi Mabibo ambapo kuna vuta n'kuvute kati ya CHADEMA na CCM kutokana na ushindani mkali uliopo. CCM walikuwa wanasomba watu,CHADEMA wakashtukia....Stay tuned!
 
Tunataka katiba mpya iharamishe Kiti moto a k a Nguruwe by Wenye Imani kali.

Hivi uchaguzi n leo jpili kwanini si jmatano? Watu wako kanisani.
 
Waangalie kwa makini sana wale mafukara wanaoitwa WAJUMBE WA NYUMBA KUMI , wako tayari kufanya lolote kwa ajili ya kilo moja tu ya sukari .
 
Mbusule vipi mbona kimya tena?tulitarajia update kila baada ya muda mfupi lakini umepotea
 
Msafiri,aliyekuwa mgombea udiwani alikamatwa na polisi baada ya kumrudisha mama aliyekuja kupiga kura akiwa na namba fake na si mkazi lakini hawakufua dafu mbele ya nguvu ya umma kwani walishinikiza ashushwe na polisi walipoona kitanuka wakamuachia...
 
Ndg wanaJF,
Kwa sasa nipo mtaa wa uchaguzi Mabibo ambapo kuna vuta n'kuvute kati ya CHADEMA na CCM kutokana na ushindani mkali uliopo. CCM walikuwa wanasomba watu,CHADEMA wakashtukia....Stay tuned!
mkuu sisi tuko kimanga kwa maandalizi,tupia ma updates basi...
 
Mama mwingine akumbana na nguvu ya umma baada kuja kutaka kupiga kura mara ya pili, amesalimu amri na kwenda zake asiseme kitu. Walioletwa kwa gari toka mitaa ya jirani nao watimuka!
 
Mama mwingine akumbana na nguvu ya umma baada kuja kutaka kupiga kura mara ya pili, amesalimu amri na kwenda zake asiseme kitu. Walioletwa kwa gari toka mitaa ya jirani nao watimuka![/QUOT
chezeni bundasliga!teh teh teh!
 
Tunataka katiba mpya iharamishe Kiti moto a k a Nguruwe by Wenye Imani kali.

Hivi uchaguzi n leo jpili kwanini si jmatano? Watu wako kanisani.
Mods na Invisible, hivi criteria ya mtu kuwa JF Senior Expert Member ni ipi? Waliberali kama hawa nao wanastahili sifa hizo?...pls assist...
 
Kuna manyinyimu yakiongozwa na wajumbe wa serikali ya mtaa(CCM) yamelewa pombe chakali hapa Chriss Pub karibu na eneo la uchaguzi!
 
Back
Top Bottom