Uchaguzi mdogo mwingine wanukia...

Huenda ni kweli kwa kuwa huyu bwana ana Makampuni kama kumi hivi!

Mimi binafsi nilicheka sana siku nilipofahamu kuwa S. KOKA ni mbunge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa jinsi ninavyomfehemu yule kwanza hawezi kabisa kuongoza jimbo. NA ANA DHARAU KUPITA MAELEZO!!!!!!! Sijui hata hao wa Kibaha aliwahonga nini hata wakamchagua.

Kweli nimeamini ukitaka uongozi pitia CCM. Hata IDD AMIN AKIFUFUKA LEO AKITAKA URAISI TANZANIA = NJIA NI CCM TU anaPATA KIUUUUULAINI!!!!!!!!!!!!!!!

MAANA CCM IMEKUWA KAMA CHOO CHA KULIPIA INAANGALIWA PESA YAKO TU!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Huyu bwana ana eneo moja alikuwa na miradi ya kuku na bustani pamoja na biashara zingine hapa Golani matete, kwa sasa baada ya kupata ubunge eneo hili limekuwa ni kama pori hakuna anayepaangalia, sis majirani zake ametuwekea pori yaani ni shida tu. hii itakuwa ni kweli anafilisika, alicho kifuata ndicho sio,

atajuta kiba kura, na bado hadi aseme yote
 
Tatizo watanzania hatutofautishi kati ya kuchagua mbunge, kuchagua hela, na kuchagu mfadhili. Ndo maana tajiri akiingia ulingoni anapigiwa kura bila kujali kama ana muda wa kuwatumikia? Wenzangu waluguru wa Moro mjini mbunge wao yuko busy muda wote lakini ametenga basi moja bovu kusaidia kwenda kuzika, ole wao wamuombe asaidie kupeleka mgonjwa hospitali anawatoa baru. Eti kipaumbele ni kuzika na sio kuponya

Du, hii nayo kali ya mwaka.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..

Hizo ni ndoto ni mikakati na mipango anayoifanyia pale ROSE GARDEN wa wenzake anazidi kujiimarisha zaidi.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..

Aiseeeeee!
 
Mimi binafsi nilicheka sana siku nilipofahamu kuwa S. KOKA ni mbunge!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa jinsi ninavyomfehemu yule kwanza hawezi kabisa kuongoza jimbo. NA ANA DHARAU KUPITA MAELEZO!!!!!!! Sijui hata hao wa Kibaha aliwahonga nini hata wakamchagua. Kweli nimeamini ukitaka uongozi pitia CCM. Hata IDD AMIN AKIFUFUKA LEO AKITAKA URAISI TANZANIA = NJIA NI CCM TU anaPATA KIUUUUULAINI!!!!!!!!!!!!!!! MAANA CCM IMEKUWA KAMA CHOO CHA KULIPIA INAANGALIWA PESA YAKO TU!!!!!!! MIZAMBWA INANIUMA SANA!!!
Mie nahisi wewe ulikua unafikiri ana Cameroon sasa ulivyogundua ukamuona ana dharau. Dharau ni subjective factor, wabongo tumezoea kuomba omba sasa mtu akiwa serious basi ana dharau. Mie namfahamu huyu bwana miaka mingi na ni mtu serious sana kwa biashara na maisha, hanaga dharau hata kidogo na zaidi utakutana anapiga story na hata mtu wa chini kidogo. Pia sio kweli kua ana makapuni kumi!! Jamani acheni udaku. PIA NATHIBITISHA KUWA HANA MPANGO WA KUJIUZULU!! nimeona nithibitishe kwa herufi kubwa maana mtu mwanaume mzima wa sura anaandika maneno utafikiri ndani yupo tofauti! Tusiigeuze JF kuwa kama magazeti PENDWA jamani. Ni hayo kwa leo
 
Huyu bwana ana eneo moja alikuwa na miradi ya kuku na bustani pamoja na biashara zingine hapa Golani matete, kwa sasa baada ya kupata ubunge eneo hili limekuwa ni kama pori hakuna anayepaangalia, sis majirani zake ametuwekea pori yaani ni shida tu. hii itakuwa ni kweli anafilisika, alicho kifuata ndicho sio, atajuta kiba kura, na bado hadi aseme yote
Atajuta KIBA kura ndo nini wewe? Jifunze kuandika kabla ya kusema uongo maana lile shamba linafanya kazi.
 
Huyu bwana ana eneo moja alikuwa na miradi ya kuku na bustani pamoja na biashara zingine hapa Golani matete, kwa sasa baada ya kupata ubunge eneo hili limekuwa ni kama pori hakuna anayepaangalia, sis majirani zake ametuwekea pori yaani ni shida tu. hii itakuwa ni kweli anafilisika, alicho kifuata ndicho sio,

atajuta kiba kura, na bado hadi aseme yote
Huenda amebaki na ile biashara ya kulisha migodi!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta kugombea na kupewa ushindi dhidi ya aliyekuwa mpinzani wake,Habib Mchange-CHADEMA.Koka anadai kuwa muda wa kusimamia biashara zake unakosekana na hivyo anapata hasara kubwa.

Sitajihusisha na swali la 'source' kwakuwa hamnijui siwajui...kila mtu humu JF ana wadhifa/nafasi yake hapa nchini.Mimi ni mpiga kura wa Ubungo ila naishi Kibaha.Kaeni chonjo..

Mkuu source ni Spika wa Bunge.
 
bora kuvuja kwa pakacha.....
hivi kikwete na ule mpango wake wa kutenganisha siasa na biashara ulishia wapi? au amegundua kwapa na mkono haviwezi kutengana?
 
Sidhani kama ataachia ngazi, kwa jinsi alivyotumia gharama kubwa na uchakachuaji alafu leo kirahisi tuu!

Mkuu katika decision making kuna kitu inaitwa sunk cost, hizi huwa huziangalii kama unafanya maamuzi ya mbeleni kwa kuwa ulishazi incur. Kwa maana hiyo hizo cost za kuchakachua alishazitoa hivyo basi anaangalia cost za sasa na za huko mbele kama anaona ni gharama kubwa hakuna faida anaweza kuacha!
 
bora kuvuja kwa pakacha.....
hivi kikwete na ule mpango wake wa kutenganisha siasa na biashara ulishia wapi? au amegundua kwapa na mkono haviwezi kutengana?
Kaswali kagumu hako! Huenda ikawa incorporated kwenye Katiba Mpya kwani sijasikia tena habari hiyo!
 
Back
Top Bottom