Uchaguzi mdogo Jimbo la Segerea unanukia...

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
wadau......mnaotoka jimbo la segerea huenda ukarudiwa kutokana.......matokeo ya ubunge jimbo hilo .....la segerea hii inatokana na kesi aliyowakilishwa na fred....mpendazoe......na mashaidi waliotoa ushaidi huenda uchuguzi ukarudiwa...
 
Udanganyifu alioufanya Mahanga kwenye uchaguzi mkuu jimboni ni hapo ni tusi kwa misingi ya demokrasia hakuna mfano wake.

Ningependa mahakama kuwalazimisha watu wanaoingia bungeni kwa udanganyifu kama huyu kurejesha fedha zote na mafao mengine atakayokua amejipatia kutokana na udanganyifu wake huo.

Hadi hapo ni kwamba ni wapiga kura pamoja na walipakodi ni wazi kwamba tumetapeliwa.
 
Ingefaa kabisa kuwa na jinai kwa mtu yoyote atakaye patikana na hatia ya kuchakachua matokeo kama huyo bwana mahanga na wenzake wote magambaz
 
Ndoto za jinamizi zinaruhusiwa kwenye siasa tuendelee kuota lakini uamuzi wa mwisho ni wa hakimu
 
Huyo hakimu kama hataki kazi yake basi tuonr kama atabsdilisha matokeo. Ccm itamfukuza kazi.
 
Kura za jimbo la Segerea zilichakachuliwa kwa 100%.
Kwanza mpaka ushahidi wa mpendazoe unakamilika hawakutoa hata ushahidi mmoja mezani kwa jaji, hivyo huyo jaji anafuta matokeo kwa vigezo gani? Kwa nini hamfuatilii kesi mahakamani, mnabaki kuchonga tu humu jamvini? Halafu huyo mahanga mnayesema aliiba kura mnajua hana hata shitaka moja mbele ya mahakama linalomhusu yeye kama yeye? Ati mnajiandaa kwa uchaguzi! Wishful thinking!
 
Igunga na Arumeru kumewatoa magamba jasho. Watakubali au watalazimisha kupindisha hukumu?
 
Back
Top Bottom