Uchaguzi mdogo: Chadema liangalieni sana hili.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Swala la posho mnaweza kulitumia kwenye chaguzi ndogo zitakazoibuka kabla ya mwaka 2015 kwa kuakikisha mjadala wa swala la posho ukianza ni muhimu kuhakikisha mnapata video za wabunge wote wanaotetea kulipwa posho kinyume na matakwa ya wananchi kwa ajili ya kutumia maneno yao wenyewe ndani ya bunge kama ushahidi wa kujali maslahi binafsi badala ya umma wakati wa kampeni za chaguzi ndogo zitakazotokea hivi karibuni.

Video zao zinaweza kuwaraisishia sana kazi ya kujenga hoja maana wanaweza kudai kuwa tumewa misquote au kudai wamezushiwa tu LAKINI VIDEO YA MTU NI MWISHO WA MCHEZO na PIA MSISAHAU YA JOHN KOMBA KWANI UMEFIKA MAHALI PA KULETA USHAHIDI UONGEE WENYEWE NA KUWASUTA MBELE YA WANANCHI KWA KUWAONYESHA WANANCHI "TRUE COLORS" ZA WABUNGE WA CCM NA SI MANENO YA KUSIKIA TU.
 
Politiki nakubaliana na hoja yako, ni vizuri vyama vyetu vya upinzania (zaidi CHD) kupitia kurugenzi yao ya habari kuwa na kitengo/ unit ya yanayojiri kutoka bungeni (hapa watakusanya live video za section zote za bunge pamoja na hansard), pili yanayojiri kutokana na hotuba za rais na mawaziri (hapa ni muhimu kukusanya video zake).

Wakiweza kukusanya archive zote hizi, zitawasaidia sana huko mbeleni, kwasababu viongozi wetu ni wajuzi wa kutunga uongo wa muda mfupi.
 
swala la posho mnaweza kulitumia kwenye chaguzi ndogo zitakazoibuka kabla ya mwaka 2015 kwa kuakikisha mjadala wa swala la posho ukianza ni muhimu kuhakikisha mnapata video za wabunge wote wanaotetea kulipwa posho kinyume na matakwa ya wananchi kwa ajili ya kutumia maneno yao wenyewe ndani ya bunge kama ushahidi wa kujali maslahi binafsi badala ya umma wakati wa kampeni za chaguzi ndogo zitakazotokea hivi karibuni. video zao zinaweza kuwaraisishia sana kazi ya kujenga hoja maana wanaweza kudai kuwa tumewa misquote au kudai wamezushiwa tu LAKINI VIDEO YA MTU NI MWISHO WA MCHEZO na PIA MSISAHAU YA JOHN KOMBA KWANI UMEFIKA MAHALI PA KULETA USHAHIDI UONGEE WENYEWE NA KUWASUTA MBELE YA WANANCHI KWA KUWAONYESHA WANANCHI "TRUE COLORS" ZA WABUNGE WA CCM NA SI MANENO YA KUSIKIA TU.

I salute you, yaani wabunge ndio wanaotakiwa kuukemea uwizi huu, lakini duh, yaani CDM na NCCR tu ndio wanaliona. Jamani sisi watanganyika tuna machungu mengi. Msituchezee namna hii. Hata Takukuru wamekaa kimya tu.
 
Back
Top Bottom