Mbona matokeo haya yamewahi sana kutangazwa, leo saa 1 asubuhi kwa majira ya E.A matokeo yalikuwa tayari, mbona wa 31st yalichukua week nzima, NEC tuelezeni tuelewe.
chadema walikuwa na 45 kabla ya mpanda mjini. itakuwa 46 total. ukiongeza na at least 1 special seat itakuwa 47.Kwa hesabu hii inamaana CUF watakuwa na 35+ CHADEMA 43. Kwahiyo inamaana CUF wakiongeza na NCCR +TLP +UDP wanaweza kuwazidi CHADEMA?
6 speacial seats to go, nec waliweka 2 CDM 2 CCM na 2 CUF, walitaraji CDM watapata viti viwiwi TZ bara, kwa hii naona CUF watapata 3 CCM 2 na CDM 1
6 speacial seats to go, nec waliweka 2 CDM 2 CCM na 2 CUF, walitaraji CDM watapata viti viwiwi TZ bara, kwa hii naona CUF watapata 3 CCM 2 na CDM 1
Is a good penetration for cuf in unguja. Will misplace ccm in future while it is establishing itself in coastal then mainland as i can foresee. Well done to cuf and chadema. Chadema still have a long way to go in zanzibar but should struglle and suffer had in mainland as cuf did in zanzibar. Light for opposition parties is clear.
Those people with hatred in their hearts against cuf seem to more semitic than realistic.
This is bullshit! Wapinzania hawana budi kuacha tofauti zao..nilimsikia Maalim Sif akisema kama CUF walifuatwa na CHADEMA ili watengeneze kambi ya upinzani ila kwa sharti ya kutoshirikisha vyama vingine. CUF waka kataa na matokeo yake CHADEMA wakatangaza kambi yao peke yao na the rest (CUF, NCCR,TLP na UDP) wakatangaza kambi tofauti waliyoiita the minority utumbo gani sijui.
Mimi ushauri wangu wapinzani wote bado wana muda wa ku-revisit maamuzi yao ili wawe na win-win situation. Kuunganisha nguvu ni muhimu hasa kuelekea kwenye mgombea mmoja miaka ijayo. Naamini NCCR kuna vijana wazuri tu ukuinganisha na baadhi ya vichwa vilivyomo CUF plus CHADEMA wanaweza kutengeneza alliance nzuri sana. Haya mambo ya kutoiaminiana hayana maana..the most important wawe na bylaws zao na do's na dont's zoeleweke vizuri kwa washiriki wote badala ya kushutumiana na kutoaminiana bila mpango.
Yaani kama wangejipanga vizuri wangeweza hata kuleta ushindani mkubwa kwenye chaguzi za speaker.
Sheikh Yahya- Magomeni.
6 speacial seats to go, nec waliweka 2 CDM 2 CCM na 2 CUF, walitaraji CDM watapata viti viwiwi TZ bara, kwa hii naona CUF watapata 3 CCM 2 na CDM 1
6 speacial seats to go, nec waliweka 2 CDM 2 CCM na 2 CUF, walitaraji CDM watapata viti viwiwi TZ bara, kwa hii naona CUF watapata 3 CCM 2 na CDM 1
Si kwe;i CUF wana kura 14 or so Unguja na Pemba ilihali CHADEMA wamepata kura 8075 Mpanda Mjiji na 3,2..,.... Mpanda vijijini kufanya jumla ya kura za wabunge kwenye majimbo haya 2 kufikia around alfu 12 na kidogo. Nkenge hawakusimamisha wagombea.Sio simple counting kama unavyofikiria. Viti vinaendana na jumla ya kura za wabungo walizopata majimboni au 51% ya kura za rais wa chama kile alizopata katika jimbo ambalo chama hakikusimamisha mgombea. Kwa matokeo haya kura za Zanzibar hakuna jimbo lilokuwa na jumla ya kura 5,000 wakati Bara turn up ilikuwa ndogo ila CCM na Chadema wamescore high kuliko jumla ya CUF. ikujumlisha kura zote za majimbo 7 CCM inaongoza ikifuatiwa na CHADEMA na CUF nyuma ila vyote vitatu havipishani sana. Hivyo 2-2-2 bado ni sawa.