Uchaguzi Marekani

Mag3 Hili limefanyika haraka ili kuzuia uharibifu zaidi kutoka kwa Sanders

In fact mkutano wake na Sanders leo aliyeuomba ni Sanders na nadhani ametumia fursa hiyo kumueleza ukweli wa 2008

Haieleweki kama atatangaza kuachia ngazi au ataendelea na kampeni kama alivyosema. Sanders amekuwa tatizo kubwa kwa Democrat

Hata hivyo, sasa ni Clinton Vs Trump
 
Jun 22 2016, 3:36 pm ET
Sanders: 'It Doesn't Appear That I'm Gonna Be the Nominee'

WASHINGTON, DC— Bernie Sanders acknowledged Wednesday that he will likely not be the Democratic nominee for president, as aides privately conceded that his future in the race remains in flux.

When asked in an interview with C-SPAN's Steve Scully if he would be speaking at the Democratic National Convention in Philadelphia this July, Sanders paused before answering.

"Well, you know it's hard to say, it doesn't appear that I'm gonna be the nominee, so I'm not gonna be determining the scope of the convention," admitted the Vermont senator, two weeks after former Secretary of State Hillary Clinton was projected to be the Democratic Party's presumptive nominee.

It's the closest Sanders has come to conceding the prolonged Democratic primary race to his opponent.

Kwa habari zaidi soma hapa;

Kwa mara ya kwanza kabisa Bernie Sanders ameonesha dalili ya kuinua mikono na kukiri hana nafasi yoyote ya kuweza kuteuliwa kuwa mgombea wa chama cha Democrats katika uchaguzi wa Novemba mwaka huu. Kinachosubiriwa sasa ni kuona kama atachukua hatua gani katika kuwashawishi mashabiki wake kumuunga mkono mgombea mteule Hillary Clinton.

Hadi sasa ni asilimia 55% tu ya wafuasi wa Sanders wako tayari kumuunga mkono Clinton huku asilimia 22% wakisema hawatamuunga mkono na badala yake watampigia kura Donald Trump na asilinia 18 wakisema watamuunga mkono mgombea wa Libertarian. Swali ni je Sanders ataweza kubadilisha msimamo wa wapenzi wake? Jibu inaelekea litapatikana ndani ya wiki moja kutoka sasa.
 
Mkuu hadi sasa Sanders hajafanya 'endorsement' kwa Hillary Clinton jambo linaloendelea kuzua mjadala wa nini hasa anasubiri na kwa nini

Wafuasi wa Sanders hawana tatizo, isipokuwa uwepo wa Sanders katika habari ni jambo linaloendeleza malumbano ya wapi wafuasi wake wataekea.
Pamoja na hayo, tangu chaguzi ziishe namba za Clinton dhidi ya Trump zinapanda

Hakuna mahali ambapo wafuasi wa Sanders wanakusanyika, isipokuwa kupitia mitandao ya jamii. Kinachotakiwa kwa Democrat ni kuhakikisha kauli za mitandaoni zinapungua na kuondoa tension

Upo uwezekano kuwa mazungumzo ya Sanders na Clinton yalilenga kuunganisha chama.
Hata hivyo, katika orodha inayotajwa ya wagombe wenza, Jina la Sanders halipo

Na inaelekea bado Sanders anatafuta japo nafasi ya umakamu.
Kwa Sanders huu ndio uchaguzi wake wa mwisho kwa kuzingatia umri alio nao

Kwa upande mwingine Clinton ameweza kuchangisha fedha kiasi cha milioni 40 dhidi ya Trump. Inaonekana wafadhili wa GOP wana hofu na Trump hasa katika wiki hii ambapo Trump amekuwa na wakati mgumu sana kutokana na 'self distractions'
 
WIKI NJEMA KWA CLINTON

MATUMAINI KIDOGO YA SANDERS YATOWEKA

Wiki iligubikwa na kashkash katika kambi ya Clinton,uchunguzi wa FBI kuhusu emails ukiendelea

Katika mambo Sanders aliyotumaini ilikuwa emails na suala zima la Benghazi-Lbya

Sanders alitambua uchunguzi uliokuwa unaendelea wa kamati ya bunge 'house Repub'

FBI wamamaliza kazi yao na kusema hakuna ushahidi wa kumshataki Bi Clinton
Kwamba alichokifanya ni uzembe, lakini hakukuwa na nia yoyote mbaya na Taifa au hujuma

Kamati ya bunge nayo inasema, aliyezembea kuhusu Benghaz ni Rais Obama, si Clinton

Taarifa hizi mbili zimemfungua Bi Clinton na kashfa zilizoonekana zingemwangusha

Taarifa pia zinahitimisha rasmi safari ya bwana Sanders, kwani alikuwa na matumaini ya japo moja ya kashfa kuwa nzito na hivyo kuibukia Philadephia akiwa na hoja ya mbadala

Umuhimu wa taarifa ya FBI na Bunge unamfungua kamba Bi Clinton katika midahalo
Kwamba suala hilo litaongelewa kama uzembe na si kosa linaloweza kuleta doubt kwa wapiga kura

Tusemezane
 
SAKATA LA emails

MKURUGENZI AITWA KAMATI YA BUNGE

Mkurugenzi wa FBI bw Comey ameitwa kutoa ushuhuda wa email alilosema ilikuwa ni uzembe na hakuna ushahidi wa kumshtaki Bi Clinton

Siku moja baadaye mwendesha mashtaka akakubaliana na FBI kutofungua mashtaka dhidi ya Bi Clinton.

Comey akiwa Capito Hill alisisitiza Bi Clinton hakuongopa na hakuna ushahidi wa kumtia katika matata.

Hili la emails limezungumziwa na Trump katika mikutano yake.
Trump alisema ipo hongo kuwa Clinton atamteua Bi Lynch kuwa mwendesha mashtaka akichaguliwa-Rais. Madai yameonekana kuwa si ya kweli

Republican wakaharakisha kumwita Comey kumhoji kuhusu uchunguzi uliofunga jalada la Bi Clinton. Hili ni kosa la kisiasa kwasababu hawakujipa muda wa kutafiti namna ya kumbana bwana Comey aliyejiandaa vema

Hivyo kamati ya bunge ya GOP ilikurupuka katika kumwita Comey ambaye si kuwa anashadidia hoja yake ya juzi bali kwenda mbali na kusema Clinton hakuongopa. Hivyo, hoja za GOP zinazidi kufifia

Wakati huo huo Washabiki 'die hard fans' wa Sanders wamechukizwa na FBI. Hii ni karata ya mwisho kumrudisha Sanders katika convention Philadephia. Nao wanaungana na GOP katika vita dhidi ya Clinton

Pamoja na hayo, suala la emails linatumiwa Trump kumwelezea Clinto asiyeaminika, asiye mwadilifu na mwenye poor judgement.

Hoja hizi zilijengwa na Sanders aliyewafundisha GOP dhidi ya Clinton.

Democrat watambue anayewaumiza ni Sanders na atazdid kuwaumizi kwanini kampeni yake ilikuwa chafu dhidi ya Clinton.

Mpango wa Clinton kutokea katika mkutano na Sanders wiki ijayo hauwezi kubadili hali ya kisiasa hasa kwa wafuasi wa Sanders aliowajaza hasira

Inatarajiwa kura za maoni zitakazotoka wiki ijayo, Trump ataongoza na hili la emails ni tatizo kwa Clinton.

Hii kitampa Trump nguvu ya kuungwa mkono na GOP na wafadhili.

Je kuna ufanano wa kesi ya Gen. Patreus na Clinton katika uchunguzi na majibu?

Tutafafanua

Mkuu Nguruvi3, kwa mara ya kwanza Bernie Sanders ameonja joto la jiwe pale alipozomewa kwenye caucus ya Democrats alipotakiwa kusema ni lini atam-endorse Hillary Clinton lakini akasita kujibu mara moja. Hali hiyo imemshtua na sasa watu wanaamini kuwa sasa ni swala la muda tu atalazimika kufanya hivyo na siku ya Jumanne wiki ijayo Sanders ataungana na Clinton kwenye kampeni New Hampshire.

Kuhusu Email za Clinton, Republicans, kama wasemavyo wahenga, are in a state of self denial kwani inaonekana wazi hawakujua Comey alivyojiandaa kutetea anachoamini ni sahihi. Utayari na hamu aliyokuwa nayo Comey kwa mahojiano nao ilitoa ujumbe tosha kwao ingawa walishindwa kumuelewa...hakusita kuwahakikishia kuwa yupo tayari na kuwataka wafanye haraka kwani hakuna haja yoyote ya kupoteza muda zaidi.

Mpaka sasa mahojiano yanaendelea lakini kwa vyovyote vile amesimama kidete kutetea uamuzi wake na kuwasisitizia kwamba hasukumwi na ushabiki wa kisiasa bali kuhakikisha sheria inazingatiwa. Naye Attorney General keshatamka kwamba uchunguzi umefikia mwisho na yeye yuko tayari kwa mahojiano kama nia bado itakuwepo. Kwa kweli Republicans wameonesha kwamba wengi wao walikurupuka tu.
 
Mkuu Mag3
Kuzomewa kwa Sanders kuna jambo nyuma yake.
Democrat wanaonyesha hasira zao dhidi ya Sanders.

Suala la emails lilikuwa silaha ya Sanders katika caucus na primaries

Kabla ya uchaguzi, GOP walijaribu kuliamsha

Kamati yao wenyewe iliyomhoji Clinton kwa masaa 10 haikuona tatizo.
Sanders akalirudisha na GOP wanaona opportunity ya kuwavuruga Dem

FBI wanasema hawatafungua mashtaka, na AG anasema amefuata.
Ikumbukwe suala la classified documet lilimkumba Gen Petrus pia.

FBI wakashauri afunguliwe mashtaka ,AG akaona hakuna sababu za kutosha

Hoja hiyo inaonekana kujibu tuhuma za 'upendeleo' kwa Clinton.

Dem wana hofu kwasababu Trump na Repub wanatumia 'kitabu' cha Sanders kumsulubu Clinton. Kwa mfano, hoja ya Trump kuhusu free trade ni ya Sanders ambayo ina backfire Clinton.

Kuna hoja ya hotuba ambayo Sanders aliishikia bango na inaweza kurudi.
Bahati nzuri kwa Dem, Trump ana makando kando wasingependa irudi

Timu ya Bernie Sanders ilikuwa nyuma na bega kwa bega na Republican kama jitihada za kumrudisha Sanders katika kinyang'anyiro kupitia mkutano mkuu

Emails itaendelea kuzunguka katika anga za siasa. State Department wanaendesha uchunguzi dhidi ya wafanyakazi kama hawakuvunja taratibu.

Uchunguzi wa state dept utabaki kuwa mazungumzo ya kisiasa

Wakati huo huo James Comey aliyekuwa Capitol Hill aliwakalia kidete Republican waliokurupuka kumwita wakidhani 'wanamfumania'

Kwasa Republican wanatumia hoja nyingine.

Wanataka ofisi ya Intelejensia imzuie Clinton kupata habari classified.

Kwa kawaida wagombea Urais hupewa access ya classified infromation.

Ikifanikiwa itamweka Clinton nje ya classified information na kumuathiri ki-midahalo.

Hata hivyo, akiungwa mkono na Rais haiona athari,habari zitapenyezwa

Tusemezane
 
KAMPENI ZA CHAGUZI ZA VYAMA ZIMEKWISHA

SASA NI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

Kwa kuwa chaguzi za awali zimekamilika, na sasa ni mikutano mikuu wa vyama kule Cleveland (Republican) na Philadelphia (Demo) tumeonelea uzi huu ubaki kwa marejeo

Tunawaomba sana tuendele kuwa pamoja katika uzi Duru : Uchaguzi mkuu USA
Uzi huu utapanda jukwaani muda si mrefu

Ahsanteni
 
CVwCUsWUsAAZdOq.jpg

347b4f3261e9075bcefa57fd9ca006e7.jpg
...
b775f88d37488eaa516d100e537f4e0f.jpg
 
Mag3 Ha ha ha ha ha! si huko tu hapa nyumbani ilikuwa hivyo

Mkuu utakumbuka, Che Guivara, Bros Tito, Nkrumah, Gamal Abdel Nasar
Huari Boumedien, Mandela,Mondlane, Nandi Azikiwe, Tawafal Balewa, Mbiu Koinange, Dedan Kimathi, Nyerere, Hashim Mbita, Sir Churchill, FDR,Gandhi, Nehru, Olf Palme n.k. n.k.

Hawa ni wa karibuni tu, sasa linganisha na Sasa hivi, mhh dah!
 
Naangalia tu democracy in action kwenye Republican Convention mjini Cleveland Ohio. Natamani Watanzania wangefuatilia jinsi chama cha siasa kinavyotakiwa kuendesha mkutano wake katika nchi zilizokomaa kidemokrasia. Sauti pinzani zinazimwa ama kwa maridhiano au kura na katu hazinyamazishwi kimizengwe. Kwa kweli tukubali tusikubali kuna mengi ya kujifunza ingawa si lazima tuyafuate.
 
Naangalia tu democracy in action kwenye Republican Convention mjini Cleveland Ohio. Natamani Watanzania wangefuatilia jinsi chama cha siasa kinavyotakiwa kuendesha mkutano wake katika nchi zilizokomaa kidemokrasia. Sauti pinzani zinazimwa ama kwa ama maridhiano au kura na katu hazinyamazishwi kimizengwe. Kwa kweli tukubali tusikubali kuna mengi ya kujifunza ingawa si lazima tuyafuate.
Ahsante nafuatilia convention pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom