Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,406
- 31,387
- Thread starter
- #201
DEMOCRAT NA MBINU NYINGINE
Katika kuhakikisha hawazui timbwili na wafuasi/Sanders, viongozi wa Dem wamekuwa na harakati za kuhakikisha uchaguzi unafikia mwisho kesho
Wanatambua Sanders hatatangaza kuachia ngazi, ataendelea kwenda mkutano mkuu.
Hilo wanaliona ni tatizo kwani muda wa kuunganisha chama utakuwa mdogo
Katika viunga vya Washington imefikiriwa namna nyingine ya kumwekea shinikizo Sanders. Kwamba, hadi sasa Clinton ana upungufu wa wajumbe 25 kufikia 2383
Baada ya matokeo ya kesho atafikia namba kabla ya saa 3 za usiku Marekani, siku zinazofuata zitakuwa za 'endorsement' kwa Clinton
Hali ya duru kadhaa za wachambuzi inaeleza hali kama ifuatavyo
California ni Toss up kwamba yoyote anaweza kushinda kati ya 50.01-53%
New Jesrsey Clinton anaongoza na kwamba atashinda kati ya 55-60%
New Mexico nayo ni toss up, ingawa Clinton ana uwezekano mkubwa zaidi
Montana, South Dakota, North Dakota, Sanders atashinda kwa 60-70%
Hesabu,California wanaweza kugawana wajumbe,uwiano wa 225 na 230 kwa mshindi
New Jersey Clinton atakuwa na advantage ya wajumbe 18-20 dhidi ya Sanders
Montana, North and South Dakota kuna wajumbe 55 kwa ujumla.
Katika 70% Sanders, mgawanyo utakuwa 35 kwa 20 , Sanders akiwa na advantage
Wajumbe wa New Jesey peke yake watampa Clinton 2383.
Wakijumlishwa na maeneo ya Montana na Dakota, atakuwa na zaidi ya 2300,
California itampa 225, wakijumlishwa na 2300 ni 2550
Hii inaeleza kuwa, usiku wa kesho Super delegates 250 wakiamua kuahamia kwa Sanders bado Clinton atakuwa mgombea kwa namba ya 2300
Hapa ndipo vichwa vya wachambuzi vinauma, Sanders anatumaini nini?
Anatumaini bahati mbaya kutokea kwa Clinton!
Anataka umakamu wa Rais kupitia shinikizo?
Tusemezane