Uchaguzi: Kura ya maoni radio free africa

KURA rfa.GIF
 
Mkuu, Inawezekana unashare IP Address hivyo inawezekana kuna mtu amekuwahi kwa kuvote.
Hauwezi ku share IP address wewe,hiyo kitu ni unique kwa kila machine ambayo iko connected kwa interenet,on top of that,hiyo application ya RFA haiwezi kuwa inteligent (ignorant of developer) enough ku filter user based on IP address ya machine zao,fikiri machine moja wakiwa watu 6 wanataka ku vote itakuweje,lazima kila mtu ata vote,may be kama unatakiwa uji rejiste before hujavote (sijajaribu coz kwa namna yeyote ile nitampa Gwala Dr Slaa)
Nilikuwa najaribu kutoa Darasa la IT,kumradhi ;akin
 
nayo itafungwa hii!
JK anakazi kubwaa sana ya kuchakachua matokeo.

Saa 1 na dakika 5 jioni:

Slaa: 89%
Kikwete 6%

(Hapa tena watasema RFA ni ya Chadema kama wanavyolalama kuhusu JF).

Agizo:
Homeland Security, Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Tunaheshimu na kuthamini kazi yenu.

Kaeni pembeni muwaache Watanzania waamue. Heshima yenu itatukuka hata katika Utukufu wa Mungu. Msidharau kura ya maoni. Jiandaeni kwa haya yanayoelekea kutokea ... Ushindi wa Dr. Slaa na mabadiliko ya utawala kwa Tanzania.
 
......wana kazi kwelikweli mwaka huu wapinzani wamevamia hadi channel za makada zao!
 
Huree!!hata mimi nimepiga yangu lakini mbona it takes forever kufanya loading. Anyways mwaka huu mpaka kieleweke. Nov.01 tutaanza kuimba kale ka wimbo ketu 'Tanzania Tanzania jina lako ni tamu sana nilalapo nakuota wewe niamkapo ni heri' halafu wenzetu CCM wataimba kinyume cha hiyo
 
poll imeishafungwa
 
Next thing ni wapenzi wote wa Chadema wa ukumbi huu wataenda kujazana huko... Sasa sijui ukipiga kura kwenye kila online poll ndiyo kura za Slaa kwenye ballot box zitaongezeka ama zitakuwaje? Endeleeni kujidanganya... :tonguez:
 
Na hiyo Radio Free Africa si ndiyo inamilikiwa na mwajiri wa Slaa wa zamani? Tuendelee kujidanganya... :tonguez:
 
acha ushamba ina maana kila kura ya maoni ni kujidanganya! Hukuona uingereza ilikuaje? Funguka uone mana hujitambui!
 
Now its as follows:-

Nani kati ya hawa utamchagua kuwa rais wako?
  • Dr. Slaa (91%, 105 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (5%, 6 Votes)
  • Prof. Lipumba (3%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (0%, 0 Votes)
  • Mutamwega (1%, 0 Votes)
    Total Voters: 115
Hizo hazijachakachuliwa, we subili kidogo.
 
chadema kwa kuvamia mitandao bana. kila kona wanatafuta ili wajitilie kura.
kwa wananchi sifuri
Kila mtu, hata wewe ungeweza kutoa maoni yako hapo. Kusema kuwa watu fulani wamevamia sio sahihi. Natumaini nimetumia lugha ambayo umeweza kuielewa.
 
  • Dr. Slaa (90%, 109 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (6%, 7 Votes)
  • Prof. Lipumba (3%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (1%, 1 Votes)
  • Mutamwega (0%, 0 Votes)
Total Voters: 121
 
  • Dr. Slaa (90%, 109 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (6%, 7 Votes)
  • Prof. Lipumba (3%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (1%, 1 Votes)
  • Mutamwega (0%, 0 Votes)
Total Voters: 121

Ningekuwa MOD ningeifuta hiii thread, mana inatushusha hadhi hapa JF. Inatufanya tuonekana darasa la saba kama yule mgombea mwenza wetu wa Chadema.

Results bila structure ya polls hazitupi picha yeyote. Je wapiga kura wanajitolea kupiga kura au radio zinawapigia simu watu at random kuomba watoe maoni yao? Je watu hao wanatoka maeneo gani ya nchi, umri gani? Je njia zipi zimetumika kuzuia duplication au polls ni kama hizi za JF ambapo mtu moja akiwa na IDs 40 anampa Dr Slaa kura 40? Je takriba mwendesha kura anatarajia sample ya kiasi gani?

Kama maswali haya hayana majibu ni bora Mod akaifuta aibu hii. JF we can do better.
 
Nani kati ya hawa utamchagua kuwa rais wako?

  • Dr. Slaa (90%, 109 Votes)
  • Jakaya Kkiwete (6%, 7 Votes)
  • Prof. Lipumba (3%, 4 Votes)
  • Hashimu Lungwe (1%, 1 Votes)
  • Mutamwega (0%, 0 Votes)
 
Back
Top Bottom