engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
UCHAGUZI MKUU 2011/2012:Kwa kuzingatia mwongozo wa katiba ya jumuiya ya waTanzania waishio nchini ALGERIA (ATSA). Tume ya uchaguzi chini ya mwenyekiti RAYMOND MAUKI inapenda kuwatangazia majina ya wagombea katika nafasi mbalimbali kama ifuatavyo::
UWEKA HAZINA
: Sarah Swai
: Salehe Chande
UWAZIRI MKUU:
Helena Merchant
Heri Mohamed Abdallah
UMAKAMUU WA RAISI: Twalib Yusuph Mwinshehe
URAIS:
Ali Abbas Ramadhan
Gilbert Mkenda
Gibson Kilingo
NB:Kuchelewa kutolewa majina ya wagombea ni kutokana na mchujo mkali uliokuwa ukiendelea kutokana na wagombea kuwa wengi hivyo kulazimika kutumia busara za ziada.Pia tume imefikia mapendekezo mbalimbali kuhusu uongozi wa jumuiya yetu ambayo yatawasilishwa siku ya uchaguzi(22/12) mjini Bourmedes.Tume inawatakia maandalizi mema ya uchaguzi.
source: Wavuti - Habari