Uchaguzi jimbo la BUBUBU zanzibar

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
waungwana leo uchaguzi jimbo la bububu unafikia tamati, hadi sasa mambo yanaenda shuwari. wananchi wamejitokeza kwa wingi.

tutajua nani kidume ni BHAA wa CCM au ISSA KHAMIS ISSA wa CUF.
 
Back
Top Bottom