Uchaguzi igunga;-CHADEMA mikononi mwa CCM

80% au zaidi ya wanasiasa wa vyama vyote walikuwa ccm na baadae waligeuka na kuwa wapinzani kwakweli hata vinara kama Dr. Slaa, Said Arfi, Mrema, Maalim Seif na wengine taja, sasa huyo mwlkuhama tatizo nini
 
in-short CHADEMA IS DEAD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ha, ha haaaaaa......!! Kawasiliane kwanza na Kifo cha mende.
Kweli katika hii safari ya mamba naona kenge wanaongezeka kila leo, ha, ha, haaaa..!!
Walianza kwa kuchokonoa kwamba Lipumba wa CUF ndiye anakubalika Igunga.
Wakadai CUF ndiyo ilichukua nafasi ya pili Igunga kwenye uchaguzi wa 2010.
Wakatishia kuwa bila upinzani kuungana CCM itaitwaa Igunga.
Mara wakamkumbuka aliyekuwa mgombea wa CUF mwaka jana Leonard Mahona.
Wakatamba kuwa bila Rostamu Mahona wa CUF hana upinzani Igunga
Basi CUF haraka haraka wakatuma kikosi na kupiga kambi Igunga.
Sina hakika sana katika muda huo wamebaini kitu gani huko Igunga.
Lakini hii ya Kifo cha mende, takeurabu na wengineo inatupa mwanga ha, ha, haaaaaa....!!
 
80% au zaidi ya wanasiasa wa vyama vyote walikuwa ccm na baadae waligeuka na kuwa wapinzani kwakweli hata vinara kama Dr. Slaa, Said Arfi, Mrema, Maalim Seif na wengine taja, sasa huyo mwl kuhama tatizo nini
 
lets wait an see wananchi wa Igunga kazi kwao kendelea kukaa na magamba au kuamua kuiokomboa tabora pamoja na nchi nzima. its time to stand up hii nchi magamba wanaipeleka pabaya. Infact hapa tulipo ni zaidi ya pabaya kma m2 anaweza kuuza wanyama 126 na kupewa leave with pay bila kufunguliwa kesi ni pabaya indeed. wanaigunga regardless yupo huyo Kashndye au nani. chagua peopleees poweeeerrrrrr.
 
80% au zaidi ya wanasiasa wa vyama vyote walikuwa ccm na baadae waligeuka na kuwa wapinzani kwakweli hata vinara kama Dr. Slaa, Said Arfi, Mrema, Maalim Seif na wengine taja, sasa huyo mwl kuhama tatizo nini

...hata mambo ya jana tu huwezi kulinganisha na ya leo! mbona hata mtoto wa darasa la nne anajua vitu gani vya kulinganisha..
 
Yatasemwa mengi ktk hili wanaigunga wenyewe chini ya uongozi imara wa kamati kuu ya CDM watatuletea mgombea imara.
 
na saiz hapa ninapoandika mwalimu kashinde yupo ma ,weka hazina wa ccm mkoa wa tabora
 
haya yote ni mawazo na mnasema alkuwa anampigia RA na BABA Ridhwan kampen mtu huyu mnaye mtuhumu yawezekana amebadili fikra na kipind hicho alkuwa anaandaa mtandao na anajiandaa kugombea ubunge 2015. hivyo hakuna amjuae Mwl joseph wa sasa na umakin wa CC ya CDM n mkubwa kulko vyama vyote Tanzania
 
Kwa sasa tulipo hakuna namna yoyote ya kuweza kuwadanganya umma kuwa CCM ina watu,lakini kwa sababu wewe mwenyewe unaonekana muoga,subiri kazi itakayofanywa Igunga.
 
Back
Top Bottom