Elections 2010 Uchaguzi huo unakuja Watanzania akili kichwani, It is about time tuwaondoe hawa Watu

Inviolata

Member
Apr 23, 2009
70
2
Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu hii nzuri iliyoharibiwa na viongozi wapenda rushwa na wasiojali maisha ya wananchi wao. Mimi, wewe, yule tuungane kwa pamoja tuwabwage hawa watu. Kinachokatisha tamaa kidogo ni kwamba hata upinzani wenyewe upo upo tu! (NOT VERY PROMISSING)! Hata sina uhakika ni nani katika Upinzani anayeweza akaleta mabadiliko?? In my opinion kwenye upinzani angalau Dr Slaa! What do u think guys?
 
Hatuwezi kuwabwaga bcoz our teeming populations in the rural areas especially is made of sheep instead of humans! They will vote from their hearts and not from their heads! That's the simple answer my friend!
 
Back
Top Bottom