Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 139
Mie nafikiri ni tamaduni zetu,
Chukulia tu hata profesa wa ulaya mnapanda basi naye wasipokwambia huyu ni prof hutatambua. hii kitu ya kungangania ina misingi yake inabidi kuingoa kwanza sio swala la ukomavu wa demokrasia tu.
..ni kweli, sio swala la Demokrasia tu nakuunga mkono. unapozungumzia Utamaduni unazungumzia ustaarabu wa jamii fulani, yaani the level of civilisation..as far as our politics game is concerned bado hatuja staarabika,hatu practice siasa kama sayansi kama wanavyofanya wenzetu,sisi tunasema siasa ni mchezo mchafu, na kwa kuwa tuna i define hivyo basi hata ushiriki wetu katika siasa unakuwa na malengo mengine machafu tofauti na kuitumikia nchi kwa heshima na taadhima..tunatumia siasa kama fursa ya kutimizia mahitaji ya nafsi zetu ndo maana linapokuja swala la kuachia madaraka inakuwa ngumu kuwa na smooth transfer of power from one regime to the other..wenzetu wa tumikia nchi zao with honor and the intention to leave a legacy, hapa kwetu wanasiasawetu wanashiriki tu ili baadhi ya malengo yao yatimie..