Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

Hakuna namna CCM inaweza kushinda uchaguzi bila kubebwa na polisi, tume ya uchaguzi, umwagaji mkubwa wa fedha na silaha yao kubwa sana KUNUNUA SHAHADA ZA WAPIGA KURA hasa.

Phinehas pambana hadi kieleweke

CHADEMA tunaomba mtupe raha watanzania kw akuimwaga CCM huko Busanda.

Yaani mwili unasisimka kusoma hii taarifa
 
Phinias Magesa jina liko common, kwa wanaomfahamu hebu tupeni wasifu wake! asante
 
CCM imwekea pingamizi mgombea wa CUF jimbo la Busanda baada ya kumbaini kuwa si mtanzania. Mgombea huyo ambaye awali alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA kabla CUF kumchukua baada ya kuahidi kumlipia fomu na gharama zote mpaka sasa hajaanza kampeni. Habari kutoka Busanda zinaeleza kuwa mgombea huyo aliwekewa pingamizi kwa kuwa alizaliwa na wazazi mchanganyiko. Baba yake akiwa mjerumani na mama yake akiwa ni mtanzania. Habari kutoka Busanda zinaeleza kuwa mgombea huyo hajawahi kula kiapo cha kutangaza kuwa raia wa Tanzania baada ya kutimiza miaka 18 kama sheria inavyohitaji.

Awali viongozi wa CCM walimpuuza mgombea huyo, hata hivyo uamuzi wa haraka ulichukuliwa baada ya kubainika ya kuwa mgombea huyo anadhaminiwa na kundi la mafisadi. Katika kura za maoni kwenye jimbo hilo CCM iligawanyika katika makundi matatu ya wagombea. Kundi moja ni lile lililo nje ya mtandao maslahi. Kundi lingine ni la wagombea wa upande wa mtandao maslahi ambao kampeni zao katika kura za maoni zilikuwa zikidhaminiwa na mafisadi. Kundi la tatu, ni lile ambalo halikuwa na upande wowote. Inaelezwa kuwa mgombea wa CCM aliyepitishwa kugombea hakuwa na kundi lolote na hali hiyo ilimsadia kupita katika kura za maoni. Kupitishwa kwake kumelichukiza kundi la mafisadi ambalo limeamua kumfadhilia mgombea wa CUF aweze kumshinda wa CCM. Habari zinaeleza kuwa uamuzi huo ulifikiwa hivi karibuni baada ya wawakilishi wa mafisadi hao kukataliwa na mgombea wa CHADEMA. Kutokana na kuvuja kwa habari hizo za mgombea wa CUF kugharamiwa na mafisadi ndipo CCM ikaamua kumwekea pingamizi kuhusiana na uraia wake.

...........ndiyohiyo
 
Wanamaanisha mgombea huyu Oscar Ndalawah hakuwa mtanzania?
 
Ndio huyo huyo. Baba yake Mjerumani. Mama yake Mtanzania. Yeye alipaswa kutangaza akifika miaka 18 kama ni mtanzania au ni mjerumani. Chama kimegundua kuwa hakusema!. Wewe unasemaje? Ni mtanzania mliyecheza naye vifuu?

Kama hamna ushahidi ndio tumeshawapiga bao

.......ndiyohiyo
 
Kwani huyo jamaa alizaliwa wapi? Ana umri gani? Amewahi kuwa na passport ya nchi gani? Amekulia wapi?
 
Ndio huyo huyo. Baba yake Mjerumani. Mama yake Mtanzania. Yeye alipaswa kutangaza akifika miaka 18 kama ni mtanzania au ni mjerumani. Chama kimegundua kuwa hakusema!. Wewe unasemaje? Ni mtanzania mliyecheza naye vifuu?

Kama hamna ushahidi ndio tumeshawapiga bao

.......ndiyohiyo

Sijacheza naye chandimu wala sindimba bali nilikuwa nataka kupata uhakika. Hili ni bao lingine kwa wapenda Demokrasia, simjui vyema lakini kainzi ketu itabidi kafuatilie kwa makini ili tuweze kujua. Tunaomba wenye taarifa zake watuletee humu.
 
Duh..kumbe Tanzania mtoto hachukui uraia wa Mama (by default)..??!!
Mimi nilidhani mtu akizaliwa TZ anakuwa raia moja kwa moja, kumbe mh!
Lakini pingamizi likikubaliwa inaweza kuwa nafasi ya Chadema kuipiga bao CCM maana watabaki wawili tu (wenye nguvu)
 
Habari za punde ambazo nimezipata kutoka Geita zinasema wagombea waliowekewa pingamizi walikuwa ni CCM na CUF lakini Mratibu wa Uchaguzi mkoa wa Mwanza Bw. Isaack Ndassa alisema baada ya kupitia mapingamizi hayo waliyatupia mbali na kampeni zinaendelea.
Hivi tunavyoongea Seif Sharif Hamad katinga Busanda na kesho wanazindua Kampeni za CUF. Bado nafuatilia kwa kina kujua kama hilo lipo. Nimemtuma mdau mmoja kuongea na Hamad kwa uhakika zaidi.
 
CCM imwekea pingamizi mgombea wa CUF jimbo la Busanda baada ya kumbaini kuwa si mtanzania. Mgombea huyo ambaye awali alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA kabla CUF kumchukua baada ya kuahidi kumlipia fomu na gharama zote mpaka sasa hajaanza kampeni. Habari kutoka Busanda zinaeleza kuwa mgombea huyo aliwekewa pingamizi kwa kuwa alizaliwa na wazazi mchanganyiko. Baba yake akiwa mjerumani na mama yake akiwa ni mtanzania. Habari kutoka Busanda zinaeleza kuwa mgombea huyo hajawahi kula kiapo cha kutangaza kuwa raia wa Tanzania baada ya kutimiza miaka 18 kama sheria inavyohitaji.

Awali viongozi wa CCM walimpuuza mgombea huyo, hata hivyo uamuzi wa haraka ulichukuliwa baada ya kubainika ya kuwa mgombea huyo anadhaminiwa na kundi la mafisadi. Katika kura za maoni kwenye jimbo hilo CCM iligawanyika katika makundi matatu ya wagombea. Kundi moja ni lile lililo nje ya mtandao maslahi. Kundi lingine ni la wagombea wa upande wa mtandao maslahi ambao kampeni zao katika kura za maoni zilikuwa zikidhaminiwa na mafisadi. Kundi la tatu, ni lile ambalo halikuwa na upande wowote. Inaelezwa kuwa mgombea wa CCM aliyepitishwa kugombea hakuwa na kundi lolote na hali hiyo ilimsadia kupita katika kura za maoni. Kupitishwa kwake kumelichukiza kundi la mafisadi ambalo limeamua kumfadhilia mgombea wa CUF aweze kumshinda wa CCM. Habari zinaeleza kuwa uamuzi huo ulifikiwa hivi karibuni baada ya wawakilishi wa mafisadi hao kukataliwa na mgombea wa CHADEMA. Kutokana na kuvuja kwa habari hizo za mgombea wa CUF kugharamiwa na mafisadi ndipo CCM ikaamua kumwekea pingamizi kuhusiana na uraia wake.

...........ndiyohiyo

Nimeongea na Msimamizi wa uchaguzi Geita amekanusha habari hiyo, siyo kweli tena anasema wagombea wote ni halali na wanaendelea na kampeni. sasa fuatilia vyema vyanzo vyako. Inasemekana kwamba hali ya CCM ni mbaya zaidi sasa sijui huenda mbinu hiyo mpya wanataka kuitumia ili kuweka mambo sawa.
 
Kwani Rostam alizaliwa wapi na wazazi wake walizaliwa wapi?

Rostam alizaliwa hospital ya mission iliyoko kijiji cha Mwamalwa, mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai, katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz. Aidha babu yake na bibi yake walizikwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiishi tokea ujana wao. Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954.... Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliongoza mkoa wa Tabora kwa kufaulu darasa la saba, alipata maksi 148 kati ya 150
 
Rostam alizaliwa hospital ya mission ilioko kijiji cha mwamalwa,mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai,katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz.Aidha babu yake na bibi yake walizkwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiihi tokea ujana wao,Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954....Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliomgoza mkoa wa tabora kwa kufaulu darasa la saba.alipata maksi 148 kati ya 150

alizaliwa mwaka gani? inaonekana unajua mengi..
 
Du labda walitaka iwe hivyo kupunguza nguvu kambi ya cuf....kweli 2010 itakuwa balaa kubwa sijui itakuwaje yetu macho ila tunataka amani tu idumishwe.....
 
Rostam alizaliwa hospital ya mission ilioko kijiji cha mwamalwa,mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai,katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz.Aidha babu yake na bibi yake walizkwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiihi tokea ujana wao,Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954....Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliomgoza mkoa wa tabora kwa kufaulu darasa la saba.alipata maksi 148 kati ya 150

kama hilo ni kwei ina maana haiwezekani mwaka 1969 kuwa alikuwa anaongoza matokeo ya mtihani wa mkoa!!

Mkuu DIKTETA

Aliyeongoza kufaulu darasa la saba 1969 ni Rostam mwenyewe au Babu yake.? Naomba ufafanuzi hapo kidogo mkuu...
 
Back
Top Bottom