Uchaguzi: Bububu - Zanzibar hali si shwari

Tanzania inapita ktk wakati mgumu kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakuna hata jambo moja ktk mambo muhimu ambalo kwa sasa linafanyika vizuri/sawasawa.

Naomba kukanushwa.
 
Kwani chadema wako huko kama hawako sahau kutoa tamko...mwaka 2001 watu wengi sana walikufa chama gani kitishiwa kufutwa...

Mkuu wangu Kamanda Mbowe alisema wazi tuko tayari kufuata maelekezo ya karani kuliko huyu msajili mlevi.
 
Nitarudi wakipeana taraka!.. Ndoa hii lazima ivunjike. Ndugu wa mume wanamiliki ofisi zote. Bibi anarambishwa asali.
 
Tanzania inapita ktk wakati mgumu kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakuna hata jambo moja ktk mambo muhimu ambalo kwa sasa linafanyika vizuri/sawasawa.

Naomba kukanushwa.

Mengi saana yanafanyika:
1. Vasco Dagama bado anaendelea kutalii!
2. Mashindano ya kuhujumu bandari, TANESCO, na madini bado inaendelea;
3. Kichapo kinatembezwa kila mahali posipo na vurugu kujenga nidhamu ya woga. n.k.
 
Inshort CCm kama kawaida yao na mbinu zao chafu kupeleka wapiga kura wasio wakaazi na mambo mengine....ndio imepelekea hayo yote....kituo cha television cha serikali ya Zanzibar kilionesha watu wakihojiwa na wakasemausiku wa kuamkia leo kumepelekwa watu wengi kutoka mashamba kwenda jimbo la bububu wakiongozwa na defender ya FFU....akili kichwani mwako
 
Mengi saana yanafanyika:
1. Vasco Dagama bado anaendelea kutalii!
2. Mashindano ya kuhujumu bandari, TANESCO, na madini bado inaendelea;
3. Kichapo kinatembezwa kila mahali posipo na vurugu kujenga nidhamu ya woga. n.k.

Of coz, Jenerali Ulimwengu alisema tulikukuwa wazuri kwenye mambo ya upuuzi.Hayo sina shaka na perfomance ya mkulu!

Ila nalilia mambo muhimu na yenye tija kwa jamii yetu sasa na baadaye.
 
Iwe isiwe hapa chadema inahusika. Hayo ni maneno tunayo tarajia kutoka kwa wasemaji wa ccm. Mia
 
Back
Top Bottom