Uchaguzi bavicha- mei 28. Je utaratibu ukoje?

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Natumai humu ndani ni sehemu mojawapo ambayo waleta maendeleo ya nchi hii wanapata fursa ya kupata, kupashana na pia kuchukulia hatua taarifa kamili ambacho ni muhimu kwa maendeo yetu.

Tuliambiwa uchaguzi wa BAVICHA ni tarehe 28 Mei, tungeomba walio na taarifa sahihi watujulishe kuwa je unafanyika wapi(ukumbi), na je kuna mchuzo wowote umefanyika kwa wagomea? au wote walioomba nafsi wameruhusiwa kugombea. Natumai CHADEMA,kwa maana ya uongozi unaweza kufafanua haya yote ili wapenzi na wanachama wa CHADEMA wajue kinachoendelea kuelekea uchaguzi.


Kila la kheri wagombea wote, CHADEMA na taifa kwa ujumla.
 
hadi upate viongozi wa kutoa update humu mh!
tusubiri tu nani kashinda uchaguzi
 
Back
Top Bottom