Uchaguzi arumeru mashariki funzu kwa lowasa na mafisadi wanzako.

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Uchaguzi uliomalizika arumeru ni funzu kwa lowasa na mafisadi wenzie kama mkapa ambao wanaona bado wanamvuto kwa kwa jamii ya Tanzania.lowasa anaidanganya nafsi yake kwa kuona watanzania ni wajinga wanajua kujiuzulu kwake alionewa.apime kampeni 2010 jina lake lilitumika kuipa upinzani wabunge, wengi arusha jina lake liliusishwa na dr batilda matokea tuliona,arumeru ameshiriki matokeo yake ndio hayo .2015 akitia mguu kwenye uraisi magamba bye bye.
 
Funzu? Yawezekana ni human error ktk Heading! Na kwenye contents? Overjoyed by ushindi wa CHADEMA? Anyway hongera sana . VIVA CDM.
 
Back
Top Bottom