Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Kuna Uhitaji Mkubwa wa CDM Kuangalia watu wanaowasimamisha kugombea viti vya ubunge na ngazi nyingine.
1.Kwa mfano Nassari aligombea na Marehemu akamshinda kwa kura nyingi sana,wakati wa kampeni marehemu hakupiga kampeni sana kwani alikuwa mgonjwa,watu walimpigia kampeni.Sasa kama alishindwa kumshinda kipindi kile,sasa hivi ataweza kushindana na mtu aliye active?
2.Mgombea anapokua ameshindwa kuna mambo mengi hua yanatokea,kuna kutofautiana ,kufarakana na mengine mengi,Nassari wont be an exception.Sasa kumrudisha mtu huyo huyo inaweza kuwa na Double implication.Badala ya kushinda mnaweza mkapoteza kura zaidi.Kwa mfano jinsi kura za CDM zilivyoshuka kule UZINI kutoka 600 mwaka 2010 hadi 200 mwaka huu.
3.Kipindi hiki CCM wanaweza kumweka kijana ambapo pia itaongeza tension kwa sababu vijana ambao ndio tegemeo la CDM watagawanyika.
3.Kwa mtazamo wangu naona ateuliwe mtu mwingine mpya mwenye maneno mapya kwa wana Arumeru na sio kumrudia huyu jamaa.Gap aliyopigwa ilikua kubwa sana.
Sumary alikuwa ana nini kipya kama si maneno yake yale yale?