Uchaguzi Arumeru-2010: Chadema(27,000) na CCM (32,000),Toa Analysis

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,094
103,330
Katika uchaguzi uliopita 2010, Nassari wa CHADEMA alipata kura 27,000 wakati Sumari wa CCM ambaye alishinda na kuwa Mbunge wa jimbo alipata kura 32,000. "Mwaka 2010 niligombea ikiwa muda mfupi tu baada ya mimi kuhitimu masomo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuleta changamoto kubwa katika uchaguzi huo na rekodi zangu zinajieleza kwa kura nilizopata," anaisema kamanda Nassari. "Kwa sasa nimejipanga sana nikiwa na mtaji wa kura zaidi ya 27,000 na vyama vingine hasa CCM, hawana tena nafasi ya kupenya katika jimbo hili, nina imani kama tutaungana viongozi, wanachama na mashabiki wa CHADEMA tutashinda kwa urahisi," anazidi kufunguka kamanda Nassari...............Magamba kwisha habari yao Wanajamvi, kwa matokeo hayo mnaweza kusema nini, hasa ukizingatia nguvu ya umma kwa kipindi hiki ikiwa hot kupita kipindi chote, Naomba kuwasilisha
 
Hata mtoto wa chekechea anajua CDM itashinda.CCM na CCM B wanakwenda kusindikiza ingawa kuna tetesi hapa Arusha kwamba CCM na CCM B wanaweka mgombea mmoja
 
Hata mtoto wa chekechea anajua CDM itashinda.CCM na CCM B wanakwenda kusindikiza ingawa kuna tetesi hapa Arusha kwamba CCM na CCM B wanaweka mgombea mmoja
hilo linaonekana hata kwa kipofu na kusikika hata kwa kiziwi, CCM hawaombolezi kifo cha Summari, wanaomboleza kupoteza jimbo, R.IP Summari, ila kuhusu Arumeru utatusamehe bure CDM
 
Wewe umemaliza unataka sisi tuongeze nini? Subiri aje Rejao, FF na MS utaona comment zao!............. Ama kweli MAGAMBA siku ya kufa nyani miti yote huteleza!.....
 
Mkuu Sunzu hizo takwimu siyo za kweli.Matokeo ya jimbo hilo kwa mujibu wa NEC Nassari alipata kura 19,000s dhidi ya 30,000s za Marehemu Sumari..Ukweli kuna shughuli pevu pale CDM inabidi kujizatiti vilivyo.
 
Katika uchaguzi uliopita 2010, Nassari wa CHADEMA alipata kura 27,000 wakati Sumari wa CCM ambaye alishinda na kuwa Mbunge wa jimbo alipata kura 32,000. "Mwaka 2010 niligombea ikiwa muda mfupi tu baada ya mimi kuhitimu masomo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuleta changamoto kubwa katika uchaguzi huo na rekodi zangu zinajieleza kwa kura nilizopata," anaisema kamanda Nassari. "Kwa sasa nimejipanga sana nikiwa na mtaji wa kura zaidi ya 27,000 na vyama vingine hasa CCM, hawana tena nafasi ya kupenya katika jimbo hili, nina imani kama tutaungana viongozi, wanachama na mashabiki wa CHADEMA tutashinda kwa urahisi," anazidi kufunguka kamanda Nassari...............Magamba kwisha habari yao Wanajamvi, kwa matokeo hayo mnaweza kusema nini, hasa ukizingatia nguvu ya umma kwa kipindi hiki ikiwa hot kupita kipindi chote, Naomba kuwasilisha

Hata Igunga mlikuja na Takwimu hihivi mkaangukia pua, lile jimbo hata agombee nani halitoki kwa CCM :shock::juggle:
 
Natumai uchaguzi huu utatupa picha nyingine ya mwelekeo wa kifo cha CCM.
 
Kamanda wa Vita jembe Mwigulu unsona hao vilaza wanaojips matumsin hewa? Kams igunga baba' , kawashikishe afsbu. Kwanza wanasema uongo nasari alipats elfu 19 sio 27. Watashanga. Tunakuaminia baba Mwigulu
 
Upeo wako umefikia hapo
 
kwanza hizi takwimu ni UONGO MTUPU.nasari alipata 19000 na sumari alipata 32000.kwa hiyo hakuna kitu apa.kajipange upya
 
Hata mtoto wa chekechea anajua CDM itashinda.CCM na CCM B wanakwenda kusindikiza ingawa kuna tetesi hapa Arusha kwamba CCM na CCM B wanaweka mgombea mmoja
kaka kule Arumeru hakuna njaa? tunataka tupeleke msaada haraka saana kabla ya kampeni kuanza. wembe uliowanyoa igunga tunaubadilisha upande wa pili.
 
Kamanda wa Vita jembe Mwigulu unsona hao vilaza wanaojips matumsin hewa? Kams igunga baba' , kawashikishe afsbu. Kwanza wanasema uongo nasari alipats elfu 19 sio 27. Watashanga. Tunakuaminia baba Mwigulu
Mkuu wewe ni kilaza kiasi hicho au? Umeandika nini hapo au ulikuwa unatetemeka? Kweli mkisikia CDM kiny......... chagonga chu....... CDM A. M- Reloaded......
 
Kamanda wa Vita jembe Mwigulu unsona hao vilaza wanaojips matumsin hewa? Kams igunga baba' , kawashikishe afsbu. Kwanza wanasema uongo nasari alipats elfu 19 sio 27. Watashanga. Tunakuaminia baba Mwigulu

Hivi inaonekana akili yako haina akili kwa sababu ulivyoandika sijui ni kirumi au?.................
 
Katika uchaguzi uliopita 2010, Nassari wa CHADEMA alipata kura 27,000 wakati Sumari wa CCM ambaye alishinda na kuwa Mbunge wa jimbo alipata kura 32,000. “Mwaka 2010 niligombea ikiwa muda mfupi tu baada ya mimi kuhitimu masomo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuleta changamoto kubwa katika uchaguzi huo na rekodi zangu zinajieleza kwa kura nilizopata,” anaisema kamanda Nassari. “Kwa sasa nimejipanga sana nikiwa na mtaji wa kura zaidi ya 27,000 na vyama vingine hasa CCM, hawana tena nafasi ya kupenya katika jimbo hili, nina imani kama tutaungana viongozi, wanachama na mashabiki wa CHADEMA tutashinda kwa urahisi,” anazidi kufunguka kamanda Nassari...............Magamba kwisha habari yao Wanajamvi, kwa matokeo hayo mnaweza kusema nini, hasa ukizingatia nguvu ya umma kwa kipindi hiki ikiwa hot kupita kipindi chote, Naomba kuwasilisha
Hizo takwimu ulizoweka hapo juu ni za uongo.....Zimekaa kimahaba zaidi, zinapotosha kwa kiwango kikubwa....

Matokeo rasmi ya NEC ni haya hapa chini...

doc.jpg
2010 Parliamentary Election Results - As receveid by NEC
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,66162.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,12334.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
2650.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
1760.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
880.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
880.16
SPOILT VOTES1,2972.33
TOTALS55,698100

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 
Kuna Uhitaji Mkubwa wa CDM Kuangalia watu wanaowasimamisha kugombea viti vya ubunge na ngazi nyingine.

1.Kwa mfano Nassari aligombea na Marehemu akamshinda kwa kura nyingi sana,wakati wa kampeni marehemu hakupiga kampeni sana kwani alikuwa mgonjwa,watu walimpigia kampeni.Sasa kama alishindwa kumshinda kipindi kile,sasa hivi ataweza kushindana na mtu aliye active?

2.Mgombea anapokua ameshindwa kuna mambo mengi hua yanatokea,kuna kutofautiana ,kufarakana na mengine mengi,Nassari wont be an exception.Sasa kumrudisha mtu huyo huyo inaweza kuwa na Double implication.Badala ya kushinda mnaweza mkapoteza kura zaidi.Kwa mfano jinsi kura za CDM zilivyoshuka kule UZINI kutoka 600 mwaka 2010 hadi 200 mwaka huu.

3.Kipindi hiki CCM wanaweza kumweka kijana ambapo pia itaongeza tension kwa sababu vijana ambao ndio tegemeo la CDM watagawanyika.

3.Kwa mtazamo wangu naona ateuliwe mtu mwingine mpya mwenye maneno mapya kwa wana Arumeru na sio kumrudia huyu jamaa.Gap aliyopigwa ilikua kubwa sana.
 
Hata Igunga mlikuja na Takwimu hihivi mkaangukia pua, lile jimbo hata agombee nani halitoki kwa CCM :shock::juggle:

CDM hawakumsimamisha mgombea 2010 Igunga. Acha kupotosha umma. Kwakukusaidia, cuf waliingia na mtaji wa kura 11,000 wakaangukia pua. Chezea kitu ingine siyo CDM.
 
Back
Top Bottom